Wito: Watu Wenye Uwezo, Tujitokeze Tujitolee Kumsaidia TAL na Kuisaidia Chadema to Play Real Politics, No Reforms No Election ni Utopian Politics!.

Nimeshauri mara kadhaa,CHADEMA waende kwenye uchaguzi. Utekelezaji wa NO REFORM NO ELECTION haupo kabisa. CHADEMA haiwezi kuzuia uchaguzi.. ni vioja tu vya kitoto,waende wakapambane kwenye box,na wakalinde kura. Vinginevyo baada ya uchaguzi,CHADEMA itapotea mazima
 
Nje ya tuvifungu twa sheria, Lissu ni mweupe kabisa.. Mwambie aache kuongelea katiba, ajadili uchumi, structure ya utumishi wa umma, kilimo, pension, solution ya tatizo LA ajira, uvuvi, solution ya tatizo LA machinga, madini, ustawi wa jamii, hapo utamuona anapuyanga tu
Wewe mtu mmoja unaweza kuvijua na kuvijadili vyote hivyo? Hakuna mtu wa namna hiyo hapa Duniani. Au hujui nini maana ya organization structure?
 
Nimeshauri mara kadhaa,CHADEMA waende kwenye uchaguzi. Utekelezaji wa NO REFORM NO ELECTION haupo kabisa. CHADEMA haiwezi kuzuia uchaguzi.. ni vioja tu vya kitoto,waende wakapambane kwenye box,na wakalinde kura. Vinginevyo baada ya uchaguzi,CHADEMA itapotea mazima
Mkuu CHADEMA ilipata mmbunge mmoja 2020 vipi ilipotea mazima? CCM iliyozoa kura 99% lakini bado inapata wakati mgumu sana kuendesha chama na serikali.
 
Ushauri wangu kwa CDM ni huu;
1. Waunganishe chama kwa dhati. Hii inawezekana tu kama watawakaribisha na kutambua mchango na uwezo wa wale ambao walikuwa upande wa Freeman Mbowe. Watu kama Kigaila, Suzan Kiwanga na Mwalimu wana uwezo mkubwa wa uhamasishaji na ku organise at the grassroot level. Watu kama Ntobi, Nyerere na wengine ni wapambanaji wazuri sana. Watu kama Ruge wasiachwe pembeni.
2. Waepuke lugha za uchonganishi kama aliyotumia Lissu dhidi ya Aidan. Inawezekana kuwa hampendi lakini athamini mchango wake na constituency yake. Watu kama Mchome wajibiwe hoja zao kwa heshoma badala ya kukimbilia kuwatuhumu kuwa wanatumiwa.
3. Wakubali mjadala na mwana siasa yeyote kwa sababu itatoa nafasi za bure kunadi sera zao na kuonyesha udhaifu wa upande wa pili. Lissu hapungukiwi kitu kufanya mdahalo na Wasira. Hata Chalamila akiomba mdahalo wamkubalie.
4. Waangalie namna ya kushirikiana na Halima Mdee, Esther Bulaya na wengine ambao wanaonyesha utayari wa kuipambania Chadema. Talent zao zinahitajika. Wanaweza kuwapa masharti kuwa hawataruhusiwa kugombea uongozi kwa miaka 10.
5. Wajiandae kwa dhati kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka huu na ile ya 2029 na 2030.
6. Wajiandae kupambana ili kuhakikisha kuwa Katiba Mpya inapatikana kabla ya 2028.
7. Waboreshe website yao kwa kutoa kipaumbele kwa wanachama na viongozi wa chini kuliko hawa wa kitaifa.
8. Wawatangaze zaidi wake wote ambao wameumizwa kwa ajili yq chama chao. Wahakikishe waatu kama Mzee Kibao, Soka, Saa Nane hawauliwi. Watu kama yule mama aliyekaa ndani kwa muda mrefu wakatiwa kesi ya Mbowe waenziwe. Wanasheria wao wapambanaji nao waenziwe. Wakina Martin nao waenziwe. Wale vijana waliokuwa kila siku wanatembelea mahabusu waenziwe.
9. Wawe na mfumo wa wazi wa kuchangia kwa hali na mali.

Amandla....
Mtaji namba mmoja wa chama cha kisiasa ni wanachama.
Ni watu hao hao wanatofautiana kwa hoja hizo hizo ila wanakubaliana kuheshimu mawazo ya wengine.
Lakini kujifanya inajenga chadema ya walionyoka Lissuism ,nakuapia hata miaka mia lengo hilo haliwezekani
Uongozi mpya msiwe maziwa lala fanya kazi acha mbwembwe za mufilisi.
 
Wanabodi

Nimemsikiliza TAL kwenye kipindi cha dakika 45 cha ITV kuhusu falsafa yake ya No Reforms No Election.
View: https://www.youtube.com/live/u5PkOqrHdZI?si=Mtma0U4QBfJ8TJ6x

Japo hakuna ubishi kuhusu umahiri wa TAL kama mwanasheria, mwanasiasa, mbunge, mnadhimu mkuu wa upinzani, M/Mwenyekiti wa Chadema, lakini TAL kama Mwenyekiti wa Chadema, anahitaji msaada mkubwa kusaidiwa na watu wenye uwezo, ili aweze kubadilika kutoka TAL mwanaharakati into TAL Stateanship!.

TAL lazime abadilike kuachana na vibwagizo vya uanaharakati, into real politics vinginevyo anakwenda kuizamisha Chadema kwenye a pit latrine!.

Hivyo hili ni bandiko la wito, kwa Watanzania wowote wazalendo wa kweli wa nchi hii, na wenye mapenzi mema na nchi yetu, wenye uwezo, wa kumsaidia TAL na kuisaidia Chadema, tujitokeze tujitolee kumsaidia TAL ili aweze, na kuisaidia Chadema ili iweze to play the real politics of reality, hii falsafa ya TAL ya "No Reforms No Election" is not real!, ni utopian politics!.
TAL alipoulizwa maandalizi ya uchaguzi, amesema Chadema haifanyi maandalizi yoyote bila reforms ni no election!.
Hizi ni utopian politics, sii TAL wala Chadema wana uwezo wa kuzuia uchaguzi Mkuu usifanyike!.

Mmoja wa washauri hao wa bure wa kujitolea ni huyu Mwana JF Maarufu sana, Mkuu Mzee Mwanakijiji , msikilizeni hapa amewashauri nini Chadema na amemshauri nini TAL.
View: https://youtu.be/GUjpxNTSdig Ushauri huu ulitolewa kwa TAL miaka 5 iliyopita, Chadema mtafuteni huyu mtu atawasaidia sana!.

Mimi pia kwa upande wangu, nimeisha wasaidia sana Chadema kwa kuwashauri,

Natoa wito, kwa watu wowote wenye uwezo, tujitokeze tujitolee kumsaidia TAL na kuisaidia Chadema, uchaguzi mkuu wa 2025 ni fursa adhimu kwa Chadema kuichangamkia.

TAL na Chadema Wasaidiwe!.

Paskali

Lucas Mwashambwa , Tlaatlaah , Pascal Mayalla
Natamani kuona hizi constructive criticism muwe mnazifanya na huko chamani kwenu CCM.

Muwe unakemea maovu ya huko pia kuliko Ile tabia ya kusifia kupita kiasi haipendezi.

Nawasiliana Sana pia kila lakheli kwenu.

Kwa Sasa kijijini MPUMBWI.
 
Pascally lisu hahitaji msaada wowote kwa msiomuelewa alichokisema kina baraka za chama na kimeeleweka,

Itakuwa ni ujinga miaka nenda miaka rudi kushiriki chaguzi ambazo mwenyekiti na mgombea urais kupitia ccm ndio anayeteua wasimamizi wa uchaguzi huo huo unakuwa sio utoto tu bali mnaonekana hampo seriously.

Lisu ni mwanasiasa shupavu mwenye uelewa wa hali ya juu wa siasa za Tanzania, sio mlafi wa madaraka sio mpenda rushwa hivyo kuna sehemu anataka waTz tutambue kuwa ccm imetuchezea muda mrefu ikiwemo wewe pascally ndio maana unaona kama alichokisema lisu hakiwezekani.

Vyovyote itakavyokuwa tayari lisu kupitia chama chake chadema ameshachora mstari na ameshafungua uelewa kwa Tz wafahamu tatizo lipo wapi,

Viazazi vitamkumbuka kwa msimamo huo aliouonesha aidha afanikiwe au asifanikiwe
 
Wanabodi

Nimemsikiliza TAL kwenye kipindi cha dakika 45 cha ITV kuhusu falsafa yake ya No Reforms No Election.
View: https://www.youtube.com/live/u5PkOqrHdZI?si=Mtma0U4QBfJ8TJ6x

Japo hakuna ubishi kuhusu umahiri wa TAL kama mwanasheria, mwanasiasa, mbunge, mnadhimu mkuu wa upinzani, M/Mwenyekiti wa Chadema, lakini TAL kama Mwenyekiti wa Chadema, anahitaji msaada mkubwa kusaidiwa na watu wenye uwezo, ili aweze kubadilika kutoka TAL mwanaharakati into TAL Stateanship!.

TAL lazime abadilike kuachana na vibwagizo vya uanaharakati, into real politics vinginevyo anakwenda kuizamisha Chadema kwenye a pit latrine!.

Hivyo hili ni bandiko la wito, kwa Watanzania wowote wazalendo wa kweli wa nchi hii, na wenye mapenzi mema na nchi yetu, wenye uwezo, wa kumsaidia TAL na kuisaidia Chadema, tujitokeze tujitolee kumsaidia TAL ili aweze, na kuisaidia Chadema ili iweze to play the real politics of reality, hii falsafa ya TAL ya "No Reforms No Election" is not real!, ni utopian politics!.
TAL alipoulizwa maandalizi ya uchaguzi, amesema Chadema haifanyi maandalizi yoyote bila reforms ni no election!.
Hizi ni utopian politics, sii TAL wala Chadema wana uwezo wa kuzuia uchaguzi Mkuu usifanyike!.

Mmoja wa washauri hao wa bure wa kujitolea ni huyu Mwana JF Maarufu sana, Mkuu Mzee Mwanakijiji , msikilizeni hapa amewashauri nini Chadema na amemshauri nini TAL.
View: https://youtu.be/GUjpxNTSdig Ushauri huu ulitolewa kwa TAL miaka 5 iliyopita, Chadema mtafuteni huyu mtu atawasaidia sana!.

Mimi pia kwa upande wangu, nimeisha wasaidia sana Chadema kwa kuwashauri,

Natoa wito, kwa watu wowote wenye uwezo, tujitokeze tujitolee kumsaidia TAL na kuisaidia Chadema, uchaguzi mkuu wa 2025 ni fursa adhimu kwa Chadema kuichangamkia.

TAL na Chadema Wasaidiwe!.

Paskali

Hoja yako haieleweki kabisa,mbona hoja ya Lissu inaeleweka mnaogopa nini kufanya hayo mabadiliko ili kila mtu afurahie kura yake,tunataka uwazi(kama uchaguzi wa chadema).Tunatumia mabilioni kwenye uchaguzi afu mnaleta ujanja ujanja kwenye kuhesabu kura,kuna haja gani sasa ya uchaguzi si mjiweke tu madarakani.Kama viongozi wa nchi wameshindwa kumwelewa Lissu basi tunaongozwa na vilaza sn aisee.
 
Lucas Mwashambwa , Tlaatlaah , Pascal Mayalla
Natamani kuona hizi constructive criticism muwe mnazifanya na huko chamani kwenu CCM.

Muwe unakemea maovu ya huko pia kuliko Ile tabia ya kusifia kupita kiasi haipendezi.

Nawasiliana Sana pia kila lakheli kwenu.

Kwa Sasa kijijini MPUMBWI.
CCM ni chama imara na chenye mfumo imara wa kiuongozi. Ni Chama ambacho kwa kila jambo kuna utaratibu wake wa kulishughulikia na kulitatua kwa mujibu wa katiba ,sheria,kanuni, miongozo na taratibu za chama
 
Unaona Sasa Lucas ujibuji wako haiwezekani wewe kila Mara uwe ni kusifia tuu.

Kuna muda inabidi ushauri,maoni ,kukosoa inatoa walakini ukiwa YES MAN..

Ni hatari mnoo kua na watu wa ndio..kila kitu jibu ni ndio.

Ngoja niende hapa sehemu nikachangie KODI YA SERIKALI 😊
 
Nje ya tuvifungu twa sheria, Lissu ni mweupe kabisa.. Mwambie aache kuongelea katiba, ajadili uchumi, structure ya utumishi wa umma, kilimo, pension, solution ya tatizo LA ajira, uvuvi, solution ya tatizo LA machinga, madini, ustawi wa jamii, hapo utamuona anapuyanga tu
Lakini ukiacha uchawa utaona Samia kabakiza kuuza mlima Kilimanjaro tu,hapo jiulize kizimkazi strategy yao kwenye eneo hili vipi.
Watumishi wanasubiri meimosi kuombaomba kimatonya yule mgogo,kilimo bado tunategemea mvua,matatizo ya kijamii yanayozalisha ukosefu wa ajira yametengenezwa na watawala. Reforms ni lazima.
 
Na ndio mtaonyesha ukomavu. Hamuwezi kuruhusu hisia zenu ziwazuie kufika katika nchi ya ahadi. Hapo ndipo Mbowe anapomzidi Lissu. Mbowe aliweza kuziba put na kumkubali Lowassa awe mgombea wa chama kwa kutambua uwezo wake wa kukiongezea chama chake kura na wabunge. Angekuwa Lissu wa sasa, Lowassa angetolewa nje na hivyo kumfanya shame NCCR Mageuzi na hivyo kukipa chama hicho kuwa na nguvu mpya.

Halima na Esther B bado wanakipenda CDM. Wakati wakiwa nyikani hawajawahi kukisemea vibaya chamaa hicho au kukubali kutumika kukivunjia heshima kama walivyofanya wakina Lijualikali na wenzake. Mbona Aidan alikiuka agizo la kutoingia Bungeni lakini mwisho wa siku ameonyesha commitment yake kwa chama chake.

Amandla...
Hakuna mahali popote ambapo Mungu aneagiza tumsamehe Shetani

Lingine usilolijua ni hili, Lowassa hakuletwa na Mbowe, ni Kamati Kuu ndio ilimkubalia kugombea Urais kupitia Chadema, Mbowe hana mamlaka hiyo wala hakuwahi kuwa nayo
 
Tatizo la Tanzania ni kukosa uadilifu, jambo la No Reforms No Election lilitakiwa lisiwe jambo la kuwekewa vikwazo. Maana ni kitu kizuri kwa mustakhabali wa muda mrefu wa taifa letu.

Ilitakiwa vyama vyote iwe CHADEMA, CCM, CHAUMMA, ACT-Wazalendo kesho vinaweza kuwa vyama vya upinzani.

Hivyo jambo hili la No Reforms No Election linatakiwa limalizwe kwa kufanyiwa kazi kikamilifu ili kwa miaka 200 ijayo lisiibuke tena kutoka kambi ya upinzani.

CCM isishangilie kutokuwepo No Reforms No Elections kwani ni suala la kijambazi, wizi, kukosa uandilifu na hali hii siyo ya kuichekelea:

Mwandishi mchambuzi Maurice Larkin katika kitabu chake hapa chini matatizo aliyoyaona nchini Ufaransa yanashabiana na ya Tanzania ya 2025 :

FRANCE SINCE THE POPULAR FRONT
Government and People 1936 - 1986
Chapter 2
'La Republic des Députés' Politics in the 1930s

.....In France the President of the Republic was still lamenting that ' it is as though political debate was not a competition between two points of view, but the confrontation of two rival and mutually exclusive truths ....its style is that of a war of religion '
 
Back
Top Bottom