Wito: Watu Wenye Uwezo, Tujitokeze Tujitolee Kumsaidia TAL na Kuisaidia Chadema to Play Real Politics, No Reforms No Election ni Utopian Politics!.

Kingine ni hiki, No reform no election ni Uamuzi wa Kamati Kuu ya Chama na wenye baraka za Mkutano mkuu, hakuna atakayeubadilisha.

Halafu mnataka Chadema iingie kwenye uchaguzi kwa hali hii ambayo mwamuzi wa mwisho ni Mchengerwa ili iweje, Mnataka wauawe wanachadema wangapi ili muelewe hoja ya Chadema?
Mchengerwa anahusika nini na Uchaguzi Mkuu.Pamoja na ujinga wako hujui tofauti ya Uchaguzi Mkuu na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
 
We nae why chaguzi mbili matumizi mabaya ya ela uchaguzi uwe mmoja.

Kumbuka saiv watanzania sio wa miaka ya 70 😁😂
 
Nimegundua watu wengi sana hawajaelewa maana ya no reform no election ...Hata huyu Pascal, da hatari sana...

Haimanisha no reform no election .... Kwamba isipofika reform hakutakuwa na uchaguzi.... Maana yake huwezi kuiita huo ni uchaguzi wakati hakuna mabadiliko ...Utafanya lakini hautakuwa ni uchaguzi... Pascal na wengineo muelewe maana ni hiyo
 
Hao w
Ushauri wangu kwa CDM ni huu;
1. Waunganishe chama kwa dhati. Hii inawezekana tu kama watawakaribisha na kutambua mchango na uwezo wa wale ambao walikuwa upande wa Freeman Mbowe. Watu kama Kigaila, Suzan Kiwanga na Mwalimu wana uwezo mkubwa wa uhamasishaji na ku organise at the grassroot level. Watu kama Ntobi, Nyerere na wengine ni wapambanaji wazuri sana. Watu kama Ruge wasiachwe pembeni.
2. Waepuke lugha za uchonganishi kama aliyotumia Lissu dhidi ya Aidan. Inawezekana kuwa hampendi lakini athamini mchango wake na constituency yake. Watu kama Mchome wajibiwe hoja zao kwa heshoma badala ya kukimbilia kuwatuhumu kuwa wanatumiwa.
3. Wakubali mjadala na mwana siasa yeyote kwa sababu itatoa nafasi za bure kunadi sera zao na kuonyesha udhaifu wa upande wa pili. Lissu hapungukiwi kitu kufanya mdahalo na Wasira. Hata Chalamila akiomba mdahalo wamkubalie.
4. Waangalie namna ya kushirikiana na Halima Mdee, Esther Bulaya na wengine ambao wanaonyesha utayari wa kuipambania Chadema. Talent zao zinahitajika. Wanaweza kuwapa masharti kuwa hawataruhusiwa kugombea uongozi kwa miaka 10.
5. Wajiandae kwa dhati kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka huu na ile ya 2029 na 2030.
6. Wajiandae kupambana ili kuhakikisha kuwa Katiba Mpya inapatikana kabla ya 2028.
7. Waboreshe website yao kwa kutoa kipaumbele kwa wanachama na viongozi wa chini kuliko hawa wa kitaifa.
8. Wawatangaze zaidi wake wote ambao wameumizwa kwa ajili yq chama chao. Wahakikishe waatu kama Mzee Kibao, Soka, Saa Nane hawauliwi. Watu kama yule mama aliyekaa ndani kwa muda mrefu wakatiwa kesi ya Mbowe waenziwe. Wanasheria wao wapambanaji nao waenziwe. Wakina Martin nao waenziwe. Wale vijana waliokuwa kila siku wanatembelea mahabusu waenziwe.
9. Wawe na mfumo wa wazi wa kuchangia kwa hali na mali.

Amandla....

Hao uliowataja no 1, asilimia kubwa hawakubaliki na kwa sasa hawana msaada kwa chama...na siasa za sasa kuelekea uchaguzi mkuu....
 
Utasemaje kuwa Freeman Mbowe hakubaliki wakati alipata karibu nusu ya kura zilizopigwa? Suzan Kiwanga anekipagania sana chama na ushawishi mkubwa kwa wanachama wengi. Kigaila ndie aliyesimamia uchaguzi mnaosifia kuwa ni mfano wa kuigwa. Na ni mmoja wa viongozi wa CDM anaeweza kuinua watu kutokana na passion yake. Na alikuwa point man kwenye masuala ya grassroots. Catherine Ruge alikataa kujiunga na wenzie wa Covid 19 na amekipambania sana chama. Ni mchambuzi mzuri sana wa masuala ya uchumi.

Mkiwatenga hawa kwa sababu walikuwa upande wa pili itakuwa hasara kwenu. Na itathibitisha kwa nini CCM walimtaka Lissu ashinde na sio Mbowe maana walijua hana uwezo wa kukiunganisha chama.

Amandla...
 
Nimegundua watu wengi sana hawajaelewa maana ya no reform no election ...Hata huyu Pascal, da hatari sana...

Haimanisha no reform no election .... Kwamba isipofika reform hakutakuwa na uchaguzi.... Maana yake huwezi kuiita huo ni uchaguzi wakati hakuna mabadiliko ...Utafanya lakini hautakuwa ni uchaguzi... Pascal na wengineo muelewe maana ni hiyo
Mkuu, mbona unajichanganya? Utasemaje " No reform no elections haimaanishi no reform no election?

Inawezekana ukawa na point lakini umeshindwa kuielezea.

Amandla...
 
Anayesema tumshauri Lissu kuhusu uchaguzi ni wakili na mwandishi wa habari anayesema kuwa huwa halipwi bali anajitolea .

Ameshindwa kukishauri chama chake kumchukulia hatua , basi kama sio chama bali yeye kama private citizen na mwanachama anajisikiaje mtu aliyesema kauli kama hii.

Matokeo ya uchaguzi huamuliwa na anayehesabu na sio wapiga kura na zipo mbinu nyingi za kushinda uchaguzi ipo haramu, nusu haramu na halali na mtu huyu hata sio mtumishi wa tume ya uchaguzi ila anaweza kufanya yote hayo kutokea nje na anazungumza mbele ya camera na huku akiwa anacheka! , hata kama mtu angekuwa mjinga kiasi gani anawezaje kwenda kupoteza muda ikiwa anajua box la kura halitoi kiongozi bali wapo wanaowaamulia watu kupata viongozi wasio chaguo lao?

Kweli waliosema common sense is not common hawakukosea.

Uchaguzi sasa ni sawa na ujinga wa mtu mweusi kwenye sanduku la kura na hivyo ni upotevu wa rasilimali muda na fedha.

Kipande cha video kwa ushahidi zaidi,

View: https://youtu.be/bsMYAk6cWaE?si=KDoQYSP1P-QIO00W

Cc JokaKuu Tindo
 
Anayemshauri Lissu alishindwa kuwashawishi wajumbe hata wampe kura sawa na idadi ya vidole vyake vya mikono.
View attachment 3243079
Huyu Pascal Mayalla yumo CCM lakini cha ajabu hata hajui kuwa yeye huko ni mwongeza idadi tu ya wavaa mashati ya kijani mbele ya ma - godfathers wa chama lakini chama kama chama na fursa zake, kina wenyewe eti...

Hicho chama (CCM ) Mr Pascal Mayalla kiko mikononi mwa wenye pesa zao. Kilishauzwa kitambo sana. Wewe na vijisenti vyako vya kukodisha spika moja kwa ajili ya kupigia kampeni, huna lolote humo....!!

Kuwania nafasi yoyote ya uongozi ndani ya CCM, ni aidha ukubali kuwaabudu ma - godfathers wa chama ili wakutambulishe au uwe na mapesa mengi ya kuwahonga wapigara kura ambao hata hivyo, hawa nao ni sharti wapate maelekezo ya "go ahead" toka kwa ma - godfathers hao..

Ona sasa hapa Mr Pascal Mayalla, uliambulia kura 1 tu sijui yako ama ya kuachiwa tu maana inawezekana hata ile yako iliibiwa🤣🤣🤣

Yaani akili ya Pascal Mayalla iko completely corrupted kiasi cha kushindwa kufikiri vizuri...

Mfano, ni kwanini huyu Pascal Mayalla asifikiri kuwa, hivi inawezekana vipi ktk wapiga kura maelfu waliomsikiliza wakati akiomba kura jimbo la Kawe wawe hawakumwelewa kiasi cha kupata kura 1 tu tena ya kupewa tu? Kwanini asitambue moja kwa moja kuwa, hapa kilichoamua si sanduku la kura bali iko nguvu nyingine isiyo ya kawaida, nguvu ya uovu..?

Sasa katika situation kama hiyo☝🏻☝🏻☝🏻kila mtu mwenye akili na ufahamu anamshangaa anayejiita "msomi wa sheria" ndugu Pascal Mayalla anapokuwa na kichwa kigumu na kizito kuelewa mantiki rahisi kabisa ya movement ya NO REFORMS, NO ELECTION kiasi cha eti kuiita "utopian politics..."

This is not not utopian movement constructed from utopian politics as he thinks...

Hii ni movement yenye kulenga kuleta usawa ktk mifumo yetu ya chaguzi na utawala wa nchi hii. Hii si movement ya kumpa au kumsaidia Tundu Lissu na CHADEMA kwa chochote na lolote bali ni movement yenye faida kubwa kwake pia huyu mwanasiasa masikini wa akili na ufahamu ndugu Pascal Mayalla..!!

Hii ni movement inayolenga kufanya kura yako iwe ya thamani na ihesabiwe...!!
 
Utasemaje kuwa Freeman Mbowe hakubaliki wakati alipata karibu nusu ya kura zilizopigwa? Suzan Kiwanga anekipagania sana chama na ushawishi mkubwa kwa wanachama wengi. Kigaila ndie aliyesimamia uchaguzi mnaosifia kuwa ni mfano wa kuigwa. Na ni mmoja wa viongozi wa CDM anaeweza kuinua watu kutokana na passion yake. Na alikuwa point man kwenye masuala ya grassroots. Catherine Ruge alikataa kujiunga na wenzie wa Covid 19 na amekipambania sana chama. Ni mchambuzi mzuri sana wa masuala ya uchumi.

Mkiwatenga hawa kwa sababu walikuwa upande wa pili itakuwa hasara kwenu. Na itathibitisha kwa nini CCM walimtaka Lissu ashinde na sio Mbowe maana walijua hana uwezo wa kukiunganisha chama.

Amandla...
Soma vizuri reference sio Mbowe, usome vizuri wanazungumziwa waliotajwa ...
 
Back
Top Bottom