Wivu na chuki ya maendeleo mbaya sana: Waigbo wa Nigeria ndio kabila lenye akili na uwezo mkubwa kibiashara, wanakomolewa ila bado wanadunda

Mchaga anamkimbiza nani Bongo hii?

Wachaga wanamiliki Mikoa mingapi hapa Tzn?
Mkuu kwa kipimo kidogo kabisa cha utajiri wa kibongo bongo, Kuna kabila lipi limeweza walau kujenga kwao kama wachaga ?

Kasulu kwa waha ?
Makete kwa wakinga?
Simiyu kwa wasukuma ?

Nchi yenye amani kama Tz unajisifu vp una maendeleo wakati huko kwenu hakumeremeti ?
 
Nigeria kuna makabila 371 ila kuna makabila matatu maarufu

1. Hausa = Hili ndio kabila lenye watu wengi zaidi Nigeria na Afrika, Hawa wapo nyuma sana mambo ya elimu na hata huko kwao hakuna sana maendeleo miji imejaa omba omba lakini ndio walioshikilia power ya nchi kwenye siasa, Jeshini wamejazana wao na kazi za serikali nyingi wamejaa wao. Tatizo la hili kabila ni ubinafsi mtu akipata ni yeye na ukoo wake. Wengi ni wasilamu na maeneo yao mengi huongozwa kwa mifumo ya kiarabu, machifu wa mikoa yao hujulikana kama Emir. picha ya mfano ipo chini

Nigeria imewahi kufanyiwa mapinduzi mara kadhaa, mara nyingi wahusika wakiwa kabila hili ikitokea hawajampenda rais hasa asipotokea kwao japo mara ya mwisho kufanyika mapinduzi ni miaka ya 90s.

Wananufaika sana kushika power ya nchi sababu hata kama hawana elimu hizi tenda nono huwa wanapeana wao, vyeo vinono wanapeana wao, visima vingi vya mafuta ambavyo mikoa ya mbali isio yao wanamiliki wao, Ndiko anakotokea Tajiri Aliko Dangote.

Haya ni majibu ya chat-gpt kwa swali nililoiuliza "sehemu inayoongoza umaskini Nigeria"

Kaskazini Magharibi na kaskazini mashariki zimejaa wahausa

View attachment 2882554

2. Yoruba - Hawa wapo Kusini Magharibi, ndio wasomi zaidi kwenye taifa hilo, na kwa sasa hata raisi anatokea huko, wengi wanategemea ajira kuendesha maisha yao, elimu kwao ndio kipaumbele japo kuna tatizo kubwa sana la ajira huko Nigeria, Pia wasanii wengi kama kina Davido na wanamichezo wengi hutokea huko. ila udhaifu wao nao hawana umoja sana.

3. Igbo - Hawa licha ya kwamba kwao ni Nigeria ya Mashariki kusini, wametapakaa sehemu nyingi Nigeria hasa kwenye majiji yenye fursa za biashara kama Lagos na Abuja, Hawa ndio wengi tunawaona kwenye muvi, maisha yale ya muvi za kinaijeria yanaonyesga zaidi maisha na tamaduni za waigbo sio wanaijeria wote, muvi hizi zilifanya hata wengi kuamini Nigeria imejaa wakristo ilhali Nigeria ni nchi iliyojaa waislam.

Walitaka wawe na nchi yao wenyewe na kukawa na vita ya jeshi la Nigeria dhidi yao mwaka 1970, Jeshi la Nigeria lilikuwa kubwa sana na lenye nguvu likawachapa, kuanzia hapo Serikali ya Nigeria ilihakikisha hawa watu hawaji kuinuka tena, hakuna maendeleo yanapelekwa huko kwao hata barabara ni changamoto, wana akili za darasani lakini hata wasome vipi suala la ajira wanatengwa sana, kwenye mambo ya siasa nako wanatengwa sana hawapewi vyeo vikubwa, jeshini nako wanachujwa sana.

Vita vilipoisha akaunti zote za wa igbo zilifungwa na kutaifishwa, kabla ya vita waigbo ndio walikuwa wanashikilia uchumi wa Nigeria na wafanyabiashara wengi walikuwa waigbo, vita ilipoanza wafanyabiashara wengi waliuawa na mali zao ziliporwa, akaunti zilifungwa, baada ya vita familia nyingi walipewa noti ya pauni 20 tu na ilibidi wasafiri umbali mrefu kuzibadili ziwe pesa za Nigeria na huko bado walipata usumbufu, hii ilikuwa ni kuwakomoa.

Lakini amini usiamini hata ushindane na samaki kuogelea kwa kumuweka kilomira nyuma bado atakupita tu, wa igbo kufikia mwaka 1990 tayari walikuwa wameshaanza kutengeneza mabilionea, hadi kufikia sasa Nigeria watu wenye pesa nyingi zaidi ni waigbo, wengi ni wamiliki wa viwanda, miji mikubwa imegeuzwa kuwa maeneo ya maduka, n.k. ni kawaida sana kukuta kijana wa Igbo mwenye miaka 35 ana utajiri wa kutisha (Ni kweli wapo wanaofanya biashara haramu lakini ni aslimia ndogo sana ya waigbo wanaofanya biashara kihalali )

Lakini kumbuka kwamba nserikali ilikuwa na lengo la kuwamaliza kabisa wasije kuinuka tena, mafanikio yao yamekuwa ni mwiba na tofauti na ilivyotegemewa, Serikali inayoongozwa na wahausa na wayoruba kwa kiasi flani inaendeleza itikadi za kuwadidimiza, wanabomoa nyumba zao kwa notisi za siku 2 kwa visingizio vya ajabu, wanachoma masoko yao, wanabomoa maduka yao, n.k. lakini hawa jamaa bado wanadunda tu, siri yao ni ushirikianao, umoja na mshikamano.

Wana akili za shuleni lakini wanakosa motisha ya kusoma sana kwasababu wanabaguliwa kwenye system, wengi husoma ili kumalizana tu na mambo ya shule waanza kujitafuta kivyao ama waongeze nguvu biashara za family. Ni tofauti kwa upande wa wayoruba wanapata motisha zaidi ya kusoma sababu wao angalau wanaweza kupata ajira kwenye system japo Nigeria ni nchi yenye tatizo kubwa sana la ajira na bado kuna wale wahausa wanapeana sana ajira za kiukoo bila kuwekea uzito elimu,

Haya ni matokeo ya mtihani wa taifa wa sekondari 2023, hao wote wanne wanoongoza ni waigbo

Siri yao kubwa zaidi tofauti na wenzao ni kwamba wana umoja, wanabebana wakijua muda wowote tatizo likimtokea flani basi kesho linaweza kumkukuta mwengine na pia hawajasahau walikotoka (kila christmas wana utaratibu wa kurudi vijijini kwao), wanajua wanabaguliwa na kufanyiwa figisu hivyo inabidi waaminiane na wasaidiane sana, wana system yao imejizolea umaarudu inaitwa Igbo apprenticeship system, ni kwamba wafanyabiashara wote wa igbo wamejiwekea utaratibu wa kuchukua ndugu zao vijijini kuwaleta mjini wawafundishw biashara kisha baada ya miaka mitano hadi 10 nao wanawapa mitaji kuanzisha biashara zao, hivyo hata moja akifanyiwa figisu kuna wengine zaidi wanaendeleza mapambano na kuboresha mbinu za kibiashara.

picha hii inaonyesha mfano wa hio system, hata iwe biashara ndogo watafundishana na kushirikiana kuikuza, mtu hadi awe na kiwanda unaweza kuta alianza kutengeneza viatu kwa mikono mwenyewe ila alipoleta wenzake wa ziada ndio uzalishaji ukaongezeka, Biasahra inaendelezwa hadi kuanza kuuza viatu nje ya nchi. (Umoja ni nguvu kubwa sana)

Bro nimefika huko vijijjin kwa hawa jamaa hizo nyumba zilizopo huko. Masaki isubir. Jamaa ni bilionea tupu. Ambra
 
Wahausa wapo kama wasukuma mtu mmoja kuwa na watoto 20 kawaida. Ila wanapenda jeshi kama wakurya.
 
Maeneo wanayotokea waigbo hayana maendeleo sababu serikali haipeleki maendeleo (wanakomolewa kwa bita ya 1970) lakini bado watu wake wana maendeleo sababu ni jamii ya biashara na pesa wanazotafuta huko kwenye majiji makubwa zinarudi vijijini kutunza ndugu zao wasilale njaa, kujenga shule, kujenga hospitali, n.k.

Wahausa wamejenga mabarabara huko kwao lakini maendeleo ya mtu moja moja bado yapo chini sana, upigaji upo juu sana, omba omba kibao wapo zaidi miji ya wahausa.

Hii ni chat gpt imeweka wazi nigeria ya kaskazini ndio inaongoza kwa umaskini

View attachment 2882550
Hizi article zipo nyingi jaribu kufuatilia kule nairland ...Nchi hiyo kuna ukabila huwezi kuelezea sehemu moja...kila mtu anavutia upande wake ila maisha ya hao jamaa ni ile kama hauna kitu hauna thamani.

Wapenda sifa na showoffs kama wahaya ni yoruba... Wazee wa kumwaga pesa .

Halafu Nijeria unaweza kuta watu hawamkubali mtu fulani kisa tu kabila tofauti.
 
Wapenda sifa na showoffs kama wahaya ni yoruba... Wazee wa kumwaga pesa .
Sifa zinawacost wayoruba hata yule Hushpapi alikamtwa kwajili ya showoff

Lagos ni mji wa wayoruba ila wanaotengeneza pesa ni waigbo
 
Nigeria kuna makabila 371 ila kuna makabila matatu maarufu

1. Hausa = Hili ndio kabila lenye watu wengi zaidi Nigeria na Afrika, Hawa wapo nyuma sana mambo ya elimu na hata huko kwao hakuna sana maendeleo miji imejaa omba omba lakini ndio walioshikilia power ya nchi kwenye siasa, Jeshini wamejazana wao na kazi za serikali nyingi wamejaa wao. Tatizo la hili kabila ni ubinafsi mtu akipata ni yeye na ukoo wake. Wengi ni wasilamu na maeneo yao mengi huongozwa kwa mifumo ya kiarabu, machifu wa mikoa yao hujulikana kama Emir. picha ya mfano ipo chini

Nigeria imewahi kufanyiwa mapinduzi mara kadhaa, mara nyingi wahusika wakiwa kabila hili ikitokea hawajampenda rais hasa asipotokea kwao japo mara ya mwisho kufanyika mapinduzi ni miaka ya 90s.

Wananufaika sana kushika power ya nchi sababu hata kama hawana elimu hizi tenda nono huwa wanapeana wao, vyeo vinono wanapeana wao, visima vingi vya mafuta ambavyo mikoa ya mbali isio yao wanamiliki wao, Ndiko anakotokea Tajiri Aliko Dangote.

Haya ni majibu ya chat-gpt kwa swali nililoiuliza "sehemu inayoongoza umaskini Nigeria"

Kaskazini Magharibi na kaskazini mashariki zimejaa wahausa

View attachment 2882554

2. Yoruba - Hawa wapo Kusini Magharibi, ndio wasomi zaidi kwenye taifa hilo, na kwa sasa hata raisi anatokea huko, wengi wanategemea ajira kuendesha maisha yao, elimu kwao ndio kipaumbele japo kuna tatizo kubwa sana la ajira huko Nigeria, Pia wasanii wengi kama kina Davido na wanamichezo wengi hutokea huko. ila udhaifu wao nao hawana umoja sana.

3. Igbo - Hawa licha ya kwamba kwao ni Nigeria ya Mashariki kusini, wametapakaa sehemu nyingi Nigeria hasa kwenye majiji yenye fursa za biashara kama Lagos na Abuja, Hawa ndio wengi tunawaona kwenye muvi, maisha yale ya muvi za kinaijeria yanaonyesga zaidi maisha na tamaduni za waigbo sio wanaijeria wote, muvi hizi zilifanya hata wengi kuamini Nigeria imejaa wakristo ilhali Nigeria ni nchi iliyojaa waislam.

Walitaka wawe na nchi yao wenyewe na kukawa na vita ya jeshi la Nigeria dhidi yao mwaka 1970, Jeshi la Nigeria lilikuwa kubwa sana na lenye nguvu likawachapa, kuanzia hapo Serikali ya Nigeria ilihakikisha hawa watu hawaji kuinuka tena, hakuna maendeleo yanapelekwa huko kwao hata barabara ni changamoto, wana akili za darasani lakini hata wasome vipi suala la ajira wanatengwa sana, kwenye mambo ya siasa nako wanatengwa sana hawapewi vyeo vikubwa, jeshini nako wanachujwa sana.

Vita vilipoisha akaunti zote za wa igbo zilifungwa na kutaifishwa, kabla ya vita waigbo ndio walikuwa wanashikilia uchumi wa Nigeria na wafanyabiashara wengi walikuwa waigbo, vita ilipoanza wafanyabiashara wengi waliuawa na mali zao ziliporwa, akaunti zilifungwa, baada ya vita familia nyingi walipewa noti ya pauni 20 tu na ilibidi wasafiri umbali mrefu kuzibadili ziwe pesa za Nigeria na huko bado walipata usumbufu, hii ilikuwa ni kuwakomoa.

Lakini amini usiamini hata ushindane na samaki kuogelea kwa kumuweka kilomira nyuma bado atakupita tu, wa igbo kufikia mwaka 1990 tayari walikuwa wameshaanza kutengeneza mabilionea, hadi kufikia sasa Nigeria watu wenye pesa nyingi zaidi ni waigbo, wengi ni wamiliki wa viwanda, miji mikubwa imegeuzwa kuwa maeneo ya maduka, n.k. ni kawaida sana kukuta kijana wa Igbo mwenye miaka 35 ana utajiri wa kutisha (Ni kweli wapo wanaofanya biashara haramu lakini ni aslimia ndogo sana ya waigbo wanaofanya biashara kihalali )

Lakini kumbuka kwamba nserikali ilikuwa na lengo la kuwamaliza kabisa wasije kuinuka tena, mafanikio yao yamekuwa ni mwiba na tofauti na ilivyotegemewa, Serikali inayoongozwa na wahausa na wayoruba kwa kiasi flani inaendeleza itikadi za kuwadidimiza, wanabomoa nyumba zao kwa notisi za siku 2 kwa visingizio vya ajabu, wanachoma masoko yao, wanabomoa maduka yao, n.k. lakini hawa jamaa bado wanadunda tu, siri yao ni ushirikianao, umoja na mshikamano.

Wana akili za shuleni lakini wanakosa motisha ya kusoma sana kwasababu wanabaguliwa kwenye system, wengi husoma ili kumalizana tu na mambo ya shule waanza kujitafuta kivyao ama waongeze nguvu biashara za family. Ni tofauti kwa upande wa wayoruba wanapata motisha zaidi ya kusoma sababu wao angalau wanaweza kupata ajira kwenye system japo Nigeria ni nchi yenye tatizo kubwa sana la ajira na bado kuna wale wahausa wanapeana sana ajira za kiukoo bila kuwekea uzito elimu,

Haya ni matokeo ya mtihani wa taifa wa sekondari 2023, hao wote wanne wanoongoza ni waigbo

Siri yao kubwa zaidi tofauti na wenzao ni kwamba wana umoja, wanabebana wakijua muda wowote tatizo likimtokea flani basi kesho linaweza kumkukuta mwengine na pia hawajasahau walikotoka (kila christmas wana utaratibu wa kurudi vijijini kwao), wanajua wanabaguliwa na kufanyiwa figisu hivyo inabidi waaminiane na wasaidiane sana, wana system yao imejizolea umaarudu inaitwa Igbo apprenticeship system, ni kwamba wafanyabiashara wote wa igbo wamejiwekea utaratibu wa kuchukua ndugu zao vijijini kuwaleta mjini wawafundishw biashara kisha baada ya miaka mitano hadi 10 nao wanawapa mitaji kuanzisha biashara zao, hivyo hata moja akifanyiwa figisu kuna wengine zaidi wanaendeleza mapambano na kuboresha mbinu za kibiashara.

picha hii inaonyesha mfano wa hio system, hata iwe biashara ndogo watafundishana na kushirikiana kuikuza, mtu hadi awe na kiwanda unaweza kuta alianza kutengeneza viatu kwa mikono mwenyewe ila alipoleta wenzake wa ziada ndio uzalishaji ukaongezeka, Biasahra inaendelezwa hadi kuanza kuuza viatu nje ya nchi. (Umoja ni nguvu kubwa sana)

Lagos ndio jiji kubwa zaidi Nigeria na Africa
View attachment 2882598
View attachment 2882599

Jiji hili kwa asili lipo Nigeria ya Kusini Magharibi walipo Wayoruba lakini ndio kimbilio la waigbo wengi kwenda kytajirikia kwa kutumia uwezo wao mkubwa waliojaliwa kibiashara, Karibu asilimia 60 za biashara katika jiji hili ni waigbo na wanaendeleza ile system yao ya apprenticeship wanazidi kukua, WANACHAPISHA PESA THEY MAKE IT RAIN!!

View attachment 2882602

Sasa ubaya ni kwamba wanachapisha pesa kwenye sehemu ambayo kwa asili ni ya wayoruba ina ndio hapo sasa inachangia wachukiwe kwa kufanyiwa figisu za kubomolewa makazi, kuchomewa maduka, n.k. na hata sasa ukiingia twitter ukisechi semolition igbo unakutana na post kibaoo tu maduka yanavunjwa.

Masoko makubwa ya Lagos yamejaza wa igbo kama

Baligun Market - Ni kariakoo ya Lagos ila ni kubwa sana kuzidi Kariakoo na ina msongamano sana

View attachment 2882611

Idumota - Ni kariakoo nyingine ya Lagos ila bado ni kubwa kuzidi hii ya Tz
View attachment 2882612

Computer Village - Hii ni kama kariakoo nzima iwe imejaza masoko maalum ya mambo ya electronics kama simu, laptops, speaker, tv, n.k.

View attachment 2882605

Ladipo Market - Hii ni kama kariakoo nzima ijae maduka ya spea za magari

View attachment 2882608

mkuu umeni inspire sana na story yako!!
Nimejifunza kitu
 
Ukisoma histori ya vita ya biafra utaona Jeshi la nigeria lilishashindwa kupambana na hawa watu hadi baadae Muingereza alipoingilia kati na kuwasapot jeshi la nijeria
 
Real Estate biashara za Kujenga na kukodisha Nyumba, Hotels, n.k. jamaa wamewekeza vilivyo - Hapa sasa hata Wayoruba wanajikuta kwenye mji wao wanalipa kodi kwa wageni ili wapate pa kulala,

View attachment 2882619

Viwanda vingi sanaaaa, vingi mno vinamilikiwa na hawa waigbo hapo Lagos,

View attachment 2882618

Masoko makubwa ya Lagos yamejaza wa igbo kama

Baligun Market - Ni kariakoo ya Lagos ila ni kubwa sana kuzidi Kariakoo na ina msongamano sana

View attachment 2882611

Idumota - Ni kariakoo nyingine ya Lagos ila bado ni kubwa kuzidi hii ya Tz
View attachment 2882612

Computer Village - Hii ni kama kariakoo nzima iwe imejaza masoko maalum ya mambo ya electronics kama simu, laptops, speaker, tv, n.k.

View attachment 2882605

Ladipo Market - Hii ni kama kariakoo nzima ijae maduka ya spea za magari

View attachment 2882608
Igbo Wanachukiwa na kufanyiwa Figisu kutokana na Tabia yao moja ambayo sijaona ukiilezea....! UBINASFI....!

Igbo ni Wabinafsi sana, Igbo wana tabia kama za Watutsi wa Rwanda, na ndo maana wote wana asili moja, kwa maana wametoka Chanzo kimoja....!

Nimewahi kufanya Mishe mishe na Wanageria nje ya Nchi, hata wakiwa nje ya Nchi Bado wanabaguana, Igbo wanajiona ni bora kuliko wengine, wanajiona wana akili kuliko wengine....!

Sishangai wakibaguliwa Nigeria, hata kwa Tanzania hatuna Kabila lenye Sifa kama Igbo!

Wachagga na Wahaya wakasome kwa jinsi Igbo walivyo Wabinafsi...!

Mimi binasfi siwakubari.
 
kabila la FULAN wao ni ugaidi tu
Hao watu sio poa kabisa

Wengi wamejipenyeza kwa wahausa wanaongea kihausa lna wamtumia fursa hii kujenga undugu mkubwa na wahausa, hii imewapiga jeki wengi waweze kulamba hata teuzi nono na kujaa jeshini

Magiadi wengi huwa wanazuga wanachunga ng'ombe wakifika huko kwa waigbo wanaua watu kama kuku.
 
Hajui kitu igbo ni matapeli hao mpaka Nijeria ilipigwa ban nchi za nje ,hoa wanaiba mitihani wapo yahoo boys
.
Wanajali pesa kwa mbinu yeyote ile wanapata
Acha wivu wewe Igbo IQ zao zipo juu wapo smart darasani kama mleta uzi alivyoandika. Ni richest/ wealthiest and smartest tribe in Africa
 
Bro nimefika huko vijijjin kwa hawa jamaa hizo nyumba zilizopo huko. Masaki isubir. Jamaa ni bilionea tupu. Ambra
Anambra state ni moja ya maeneo maarufu ya wa Igbo na mwanasiasa wao ni Peter Obbi.
Hata Things follow apart yule Professor ni mu Igbo.
 
Acha wivu wewe Igbo IQ zao zipo juu wapo smart darasani kama mleta uzi alivyoandika. Ni richest/ wealthiest and smartest tribe in Africa
Mtu maarufu msomi Nigeria pengine na hata Afrika alieweza kutumia elimu yake kwa vitendo kutusaidia dunia ya leo ni Philip Emeagwali nae wa huko, Alibuni teknolojia ya kuwezesha computer ziweze kufanya kazi kwa spidi kubwa mno, hata hio somu ama laptop unayotumia inatumia teknolojia aliyoigundua inayoitwa parallel Processing, Ni teknolojia iliyoweza kuboresha kasi ya kompyuta kwa kutekeleza shughuli nyingi kwa wakati mmoja badala ya kufanya kazi moja baada ya nyingine, Mwaka 1989 alitengeneza computer lwa kuziunganisha processor elf 65 zilizoweza kupiga hesabu bilioni 3.1 kwa sekunde, Ni jambo lililoushangaza ulimwengu wa teknolojia na mchango wake ulitambulika kwa kupewa tuzo ya Gordon Bell ambayo ni kama Noble Prize kwenye mambo ya teknolojia.

1706208284498.png
 
Back
Top Bottom