Wivu wa mapenzi ni janga kubwa mno, tuchague wa kumove nao sio hawa feminists! Au ma slay queen! Tiririka

Aise!

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
 
Uzuri most of the women i know ni submissive ni percent ndogo sana nimeona wana mawazo kama yako maana wengi waume wancheat wana shut up tu na talaka inachukuliwa kila mtu anasepa zake
 
Uzuri most of the women i know ni submissive ni percent ndogo sana nimeona wana mawazo kama yako maana wengi waume wancheat wana shut up tu na talaka inachukuliwa kila mtu anasepa zake
Mkuu wapi wanapatikana hao wanawake submissive?
hook me up with them bro!
 
Mkuu wapi wanapatikana hao wanawake submissive?
hook me up with them bro!
Nasemea kwa baadhi ya ndugu zangu walioolewa ni submissive wengi unakuta mume mlevi,malaya ila wanavumilia tu miaka nenda rudi na wanawaombea kabisa.

Ila hii ishu ya kisasi sijawahi kuona huku kwa hawa wanawake any way tupo different.

Ila haya yote yanaletwa na kuoa mwanamke mwenye tabia ya udominance au ambaye kakuzidi akili ndio yanayoleta haya 🤔
 
kweli mkuu
 
ILA MIMI NINAAMINI HIVI,
MWANAUME KUOA NISAWA NA KUJISUBMIT KWA MWANAMKE, nisawa na kuuvua utukufu wako na kujikabidhi mikononi mwake maana kinachotokea baada wedding ring me and you tunajua kuwa ni suffering.
 
Mmmh inategemea mkuuu sema mwanaume lazima utafute 💰 na power ndo ulinzi wako

Chukulia mfano jay z kamcheat beyonce mara nyingi ila demu bado yuko submissive kwake pamoja na mafanikio yote aliyonayo jay z hawezi kulilia mapenzi no way why ana 💰 and power

Cardi b hawezi kumuacha offset japo kuwa jamaa alimcheat pia 2018 why cause of money and power kamtoa demu mbali 😒

Ila wakina jeff na gates sijui walikosea wapi pamoja na kanye 🤔🤔🤔🤔 all in alll kaa chonjo 🦉
 
mkuu hiyo mifano yako hiyo mh!
beyone anapesa mkuu.
card b anapesa kuliko offset

jay na beyonce hapana mim naiyona biashara zaidi kati yao.
 
mwanamke hawezi kuwa sawa mwanaume.
nisahihi mwanaume kuwa na multiple women as long as anarudi kwa mke wake na kutimiza yote
Ndo maana waislamu wanaishi kwa amani sana hata samia mke wa 3 njoo kwa hawa vichenchede wa bonyokwa sasa 😑 kutwa kujiweka rank za juu wakati kitu pekee cha ku offer ni ke tu 🤮🤮🤮🤮🤮🤮. Watu wabachekesha sana aiseee.
Mtu hujawahi shika hata 28m maishani kutwa kujiweka level za majuu kumbe amina ndala mbovu. Samia anayeongoza na trillion awe submissive wewe usiwe submissive kwa lipi ulilonalo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
mkuu hiyo mifano yako hiyo mh!
beyone anapesa mkuu.
card b anapesa kuliko offset

jay na beyonce hapana mim naiyona biashara zaidi kati yao.
Its true ila 💰 na power vitakubeba kama dume mf. Hata domo unaona jinsi anavyowatafuna na kuwatupa kama big G 😃
 
Ni huzuni sana, mapenzi ndiyo yalikuwa kimbilio, baada ya yote kuwa magumu kwenye maisha.
Sasa hivi mapenzi ndiyo magumu na sumu. Walale mahala pema...

KATAA NDOA 10 - KUBALI NDOA 0.

#mimiteamkubalindoa# 😥
Ni rahisi sana kupata hela kwasasa kuliko kupata mapenzi ya dhati.
 
Ni hivi,
mwanamke akikuchagua mtadumu maana atakuwa submissive kwako,

she will let u be a man
victoria and david beckham situation.

when a woman truly loves you she will never mind sharing you with other woman.
 
Nakazia sana 🤐🤐🤐🤐
 
Its true ila 💰 na power vitakubeba kama dume mf. Hata domo unaona jinsi anavyowatafuna na kuwatupa kama big G 😃
Hivi unajua kwann wanawake wana prefer bad boys kuliko wenye pesa ?
kwenye power nakubaliana nawewe japo hiyo power sijui ni hipi ambayo wewe umemaanisha?
 
Hivi unajua kwann wanawake wana prefer bad boys kuliko wenye pesa ?
kwenye power nakubaliana nawewe japo hiyo power sijui ni hipi ambayo wewe umemaanisha?
Power ni kama ifuatavyo mchezaji bora wa mpira,mwanamiziki bora,mwanasiasa bora,raisi, kuwa na ukwasi mwingi,

In short
power = money 💲
Money ikiwa kubwa power ni kubwa maana utakuwa na multiple selections na unaweza kupiga chini at any time t
 
Mbona Said yule mfanyabiashara wa Mwanza muislam alimpiga risasi mke wa 7 za kichwa kisha na yeye akajiua. Alikuwa na amani sana?
Mapenzi ni vile wewe unavyochukulia.
Zamani watu walikuwa wanaoa mwanamke zaidi ya mmoja kwasababu ya nguvu kazi, hapo anapoishi ana mifugo mingi, mashamba n.k kwahiyo ilikuwa ngumu mtu kumuajiri mwenzako kwasabb ilikuwa kijijini na kila mtu yupo bize na mambo yake.
Unaoa wanawake wa 3 wa nini siyo kama tamaa ya ngono tu?
 
Ni kweli sasa kama samia yupo bize na uraisi si ana jiipoozea kwa hao wanawake wengine au vipi 😔🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…