Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
Aise!Mi nina mifano ya wanaume wa 2 madon waliwaachia nyumba na magari
1.) Makyao telecom engineer kisa mkewe alimwekea sumu kwenye chakula mdada wa kazi akamshtua
2.) Advocate mawalla arusha hivyo hivyo sumu na kumcheat
Hao wanaume hapo juu Wana ukwasi wa kutosha ila walisalimu amri na kusepa hii kitu acha kabisa
[emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961].
Ni kugonga na kutupa kule
Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app