DOKEZO Wizara ya Afya, Je, kuna mlipuko wa ugonjwa wa macho?

DOKEZO Wizara ya Afya, Je, kuna mlipuko wa ugonjwa wa macho?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Wewe nae acha vituko vyako kwenye jambo la kutisha naogopaaaa.
Hapa nimeona Dr. Victoire anasema hauna dawa sijui itakuwaje! 😭😭
Mikwara tu dawa ipo mm Kuna majamaa nafanya nao Kazi walikua wanatumia dawa flan......ngoja antumie picha watsup afu takuandikia jina
 
Kuna Mtumishi wa kanisani kwetu yeye na familia yake wanaumwa macho..

Yaani baba Mtumishi amevimba macho...
 
Kuna Mtumishi wa kanisani kwetu yeye na familia yake wanaumwa macho..

Yaani baba Mtumishi amevimba macho...
Ohoooo! Pole yake

Mwambie anawe uso Kwa maji ya vugu vugu yenye mchanganyiko ya mabaki ya mwili wa mke wa nuhu(Nacl) pia aende pharmacy kuchukua pharmadexegent
 
Nyie nawe, nendeni mkanawie maji ya baharini itakuwa mnaumwa Nairobi red eyes.Huu ugonjwa huwa unakuja na kuondoka.Si mara ya kwanza. Na mgonjwa anapona vizuri tu,sema ni rahisi sana kuambukizana.
Taarifa kama hizi ndio hutakiwa kutolewa mapema ili watu wajue namna ya kufanya kabla hali haijawa mbaya zaidi
 
Mzee hiyo siku watu wengi watakuwa ndani ya tinted glass huwezi amini.
Tena kwa msongamano huu wa mwendokasi
 
Mm mwenyew tangu jana macho yanawasha na yote nimekundu yameanza kuvimba kama Kuna ka mlipuko hvi tupewe taarifa, nmetumia dawa Lakin bado sijapata nafuu yan machoz yanamwagika tu nanimekundu yanawasha
Jana jioni niliqmua kwenda pale udsm kufanya utafiti japo nijue wao kama chuo wamepewa tahadhari gani. Kwa ninavyofaham sehem kama hizi tafmhadgmhari hutolewa mapema.

Nilipata japo sehem ya kuanzia.
Wakuu tuwe makini japo sijajua ukubwa wa tatizo.
Screenshot_20240113_104703.jpg
Screenshot_20240113_104542.jpg
 
Hivi hapa nimekaa na mwanangu Sadiq ana taulo mkononi machozi yanamtiririka kama kapigwa.

Kingine hii hali tumezoea kuiona wakati wa kiangazi ambacho kwa wingi hutawaliwa na vumbi but mara hii ni msimu wa mvua ugonjwa umeibuka.
 
Jibu: NDIO

 
Back
Top Bottom