DOKEZO Wizara ya Afya, Je, kuna mlipuko wa ugonjwa wa macho?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Huwezi amini nmeisoma hii heading na kumpasia simu rafiki yangu ambaye tangu jana tunahangaika na tatizo hili.

Na sijachukua precautions zozote kwa hiyo kama ni kuambukizwa basi i'm the next.
๐Œ๐š๐ฌ๐จ๐ค๐จ ๐ค๐š๐ฆ๐š ๐Š๐š๐ซ๐ฎ๐ฆ๐ž, ๐ˆ๐ฅ๐š๐ฅ๐š ๐ง๐š ๐Š ๐ค๐จ๐จ ๐ก๐ฎ๐ฎ ๐ฎ๐ ๐จ๐ง๐ฃ๐ฐ๐š ๐ฎ๐ง๐š๐ค๐ฎ๐š ๐ค๐ฐ๐š ๐ค๐š๐ฌ๐ข ๐ฒ๐š ๐š๐›๐จ๐จ๐ ๐ค๐š๐ž๐ง๐ข ๐œ๐ก๐จ๐ง๐ฃ๐จ ๐ญ๐ฎ
 
Habari wana Jf poleni na majukumu ya kazi na pilika pilika za January hii....

Naomba niende kwenye point ya kukumbushana kuhusu yanayojiri Huku mitaani na Masokoni ambapo wengi wetu tunasaka ridhiki zetu huko,...

Kumekua na ugonjwa mpya wa Macho ambao muathiriwa anakua anatokwa na Machozi huku macho yakibadilika rangi na kwa ya rangi nyekundu mithiri ya mtu anaetumia sigara kubwa pia huambatana ma kutokwa na uchafu sehemu ya Macho hii ni hatari huku mtaani tumeanza kuwa na mashaka kiasi cha kutoaminiana katika kutizamana katika Nyuso hii ni hatari kwa hapa Mjini.

Mamlaka fuatilieni mapema kabla halijawa janga kamili.

Nawasilisha.
๐Ÿ™„๐Ÿ™„
 
Attachments

  • IMG_20240113_003425.jpg
    IMG_20240113_003425.jpg
    31 KB · Views: 7
Habari wana Jf poleni na majukumu ya kazi na pilika pilika za January hii....

Naomba niende kwenye point ya kukumbushana kuhusu yanayojiri Huku mitaani na Masokoni ambapo wengi wetu tunasaka ridhiki zetu huko,...

Kumekua na ugonjwa mpya wa Macho ambao muathiriwa anakua anatokwa na Machozi huku macho yakibadilika rangi na kwa ya rangi nyekundu mithiri ya mtu anaetumia sigara kubwa pia huambatana ma kutokwa na uchafu sehemu ya Macho hii ni hatari huku mtaani tumeanza kuwa na mashaka kiasi cha kutoaminiana katika kutizamana katika Nyuso hii ni hatari kwa hapa Mjini.

Mamlaka fuatilieni mapema kabla halijawa janga kamili.

Nawasilisha.

Red eye,huu ugonjwa ni common sana maeneo ya pwani.
 
Back
Top Bottom