😂😂😂😂🙌Tandika Konyagi OG saizi ya kati, machozi yote lazima yakauke
UnazinguaMbona hujamalizia ile story yako ya jeshini,ume tudanganya inaendelea halafu kimya.
Sehemu ya 2.Umeishia wapi?
𝐌𝐚𝐬𝐨𝐤𝐨 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐊𝐚𝐫𝐮𝐦𝐞, 𝐈𝐥𝐚𝐥𝐚 𝐧𝐚 𝐊 𝐤𝐨𝐨 𝐡𝐮𝐮 𝐮𝐠𝐨𝐧𝐣𝐰𝐚 𝐮𝐧𝐚𝐤𝐮𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐤𝐚𝐬𝐢 𝐲𝐚 𝐚𝐛𝐨𝐨𝐝 𝐤𝐚𝐞𝐧𝐢 𝐜𝐡𝐨𝐧𝐣𝐨 𝐭𝐮Huwezi amini nmeisoma hii heading na kumpasia simu rafiki yangu ambaye tangu jana tunahangaika na tatizo hili.
Na sijachukua precautions zozote kwa hiyo kama ni kuambukizwa basi i'm the next.
Sasa story ipo sehemu ya 11 kaangalie.Unazingua
Sehemu ya 2.
Mbona nimesha angalia sana siipatiSasa story ipo sehemu ya 11 kaangalie.
sUbiri nikutagMbona nimesha angalia sana siipati
🙄🙄Habari wana Jf poleni na majukumu ya kazi na pilika pilika za January hii....
Naomba niende kwenye point ya kukumbushana kuhusu yanayojiri Huku mitaani na Masokoni ambapo wengi wetu tunasaka ridhiki zetu huko,...
Kumekua na ugonjwa mpya wa Macho ambao muathiriwa anakua anatokwa na Machozi huku macho yakibadilika rangi na kwa ya rangi nyekundu mithiri ya mtu anaetumia sigara kubwa pia huambatana ma kutokwa na uchafu sehemu ya Macho hii ni hatari huku mtaani tumeanza kuwa na mashaka kiasi cha kutoaminiana katika kutizamana katika Nyuso hii ni hatari kwa hapa Mjini.
Mamlaka fuatilieni mapema kabla halijawa janga kamili.
Nawasilisha.
Mi nimempata uzuri tuu. Isipokuwa nilikuwa namtahadharisha kuwa, kwenye kutafuta "tafsida" kiswahili kimekuzwa siku hizi neno la kawaida tu linaweza likawa "tata".Wewe umefikiria amewekwe kijiko kwenye Jicho lipi?
Sawa Mkuu. Uwe na weekend njema.Ni wewe na tafsiri zako mkuu,so unajua tena kimjaacho MTU....
Sawa SawaMi nimempata uzuri tuu. Isipokuwa nilikuwa namtahadharisha kuwa, kwenye kutafuta "tafsida" kiswahili kimekuzwa siku hizi neno la kawaida tu linaweza likawa "tata".
Habari wana Jf poleni na majukumu ya kazi na pilika pilika za January hii....
Naomba niende kwenye point ya kukumbushana kuhusu yanayojiri Huku mitaani na Masokoni ambapo wengi wetu tunasaka ridhiki zetu huko,...
Kumekua na ugonjwa mpya wa Macho ambao muathiriwa anakua anatokwa na Machozi huku macho yakibadilika rangi na kwa ya rangi nyekundu mithiri ya mtu anaetumia sigara kubwa pia huambatana ma kutokwa na uchafu sehemu ya Macho hii ni hatari huku mtaani tumeanza kuwa na mashaka kiasi cha kutoaminiana katika kutizamana katika Nyuso hii ni hatari kwa hapa Mjini.
Mamlaka fuatilieni mapema kabla halijawa janga kamili.
Nawasilisha.
Sio kila ugonjwa ni uchafu bobFUA MASHUKA NDUGU
Jumaratu wengi watakuwa ndani ya tinted glassUgonjwa wa macho naona sehemu nyingi umeshambulia hapa dsm
magonjwa yote ya kuambukizwa hutokana na uchafu.Sio kila ugonjwa ni uchafu bob
Kama blood group ni moja ndiyo utaambukizwa hivyo usiwe na Shaka Sana.Huwezi amini nmeisoma hii heading na kumpasia simu rafiki yangu ambaye tangu jana tunahangaika na tatizo hili.
Na sijachukua precautions zozote kwa hiyo kama ni kuambukizwa basi i'm the next.