TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Kwasasa karantini haifanyi kazi hakuna pesa ya kumuhudumia mshukiwa
Jmn si wamewafanyia uchunguzi wakagundulika hawana. Tatizo liko wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Cdm kila kitu siasa? Unafikiri wizara ya afya wapuuzi kama unavyowachukulia? Nchi haiwezi kuendeshwa kwa mihemko
Kwani ulaya na pengine duniani wanakowekana karantini hawapimani? Tuwe makini na afya za Watanzania. Nasisitiza kuwa, tuwe makini sana.Jmn si wamewafanyia uchunguzi wakagundulika hawana. Tatizo liko wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wizara haijaweka ithibati ni hatari Sana. Mungu aturehemu!Hajielewi huyu, analiweka Taifa zima rehani kwa sababu ya ukosefu wa ithibati katika mambo ya maana yenye kuhusu maisha ya wananchi
Utawalaumu bure wataalam wetu huku ukijua wazi tatizo lipo wapi.Hawa viongozi wa wizara ya Afya ambao ni madaktari, elimu yao ichunguzwe, hivi kweli walipitia medical school au?
We ndio upo serious?!Unadhani Corona ina chama, wewe leta mambo ya vyama sasa watu wanaongea mambo serious unaleta utoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Usisahau hiyo staili ya kusalimiana (karibuni watadai) ameigundua yeye!!!!Ni heri ithibitike kuwa ipo ili watu waanze kutumia akili. Rais mzima anasema hata usiku msipigane mabusu na patakuwa na raha tu halafu anasema eti tunapambana na corona? Naona sasa wana show zao za kusalimiana kwa miguu!
Logic ya mleta mada ni kwamba kwa kuwa walionyesha dalili za Corona walipaswa kuwekwa garentini. Unafahamu kuwa waziri mkuu wa Canana hana Corona ila amewekwa garentini kutokana na dalili peke yake?Jmn si wamewafanyia uchunguzi wakagundulika hawana. Tatizo liko wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app