Wizara ya Afya, mnawaachiaje watu wenye dalili ya Corona waendelee na shughuli zao?

Wizara ya Afya, mnawaachiaje watu wenye dalili ya Corona waendelee na shughuli zao?

Watu wasipotoshane incubation ya Corona ni 2-14 days,kuna MTU anasema 6-14 which is wrong.

Kwa wagonjwa licha ya vipimo pia wanngalia historia ya mgonjwa huko alipooka yaani kama zile chanjo za yellow fever.

Ulaya wao wamegundua application ya simu inayokuwezesha kugundua mgonjwa aliyekaribu yako,nadhani hata TZ serikali watakuwa nayo .

Yaani ukipita karibu yangu km in Corona simu inapiga alarm noma sana hiyo app
 
mkui, Jambo usilolijua ni sawa na uck wa giza. Kila mwenye mafua na homa wakiwekwa karanteen watawekwa wangapi?? There is nothing dangerous like the "fear of unknown". Cha msingi ni kuchukuwa tahadhari katika ngazi zote kuanzia ngazi ya familia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninachojua Blaks hawaugui corona.... Tulieni.
 
Tanzania ni nchi mbaya sana si mahali salama mikutano ya siasa ya upinzani wananukiliza kila pembe isifanyike lakini hili jambo wanashindwa kudhibiti. Hwawapendi raia wao

Yule wa Ruwanda leo alipoingia alikuwa negative baada kwenda zake home siku mbili tatu yeye mwenyewe amejihisi hayuko sawa akaenda hospitali mwenyewe kupimwa tena positive.

Sasa utagundua ni kwa kiasi gani Waziri anacheza na maisha ya Watanzania.
 
Mkuu hakuna Mtanzania atakayekufa kwa CORONA Mungu ameamua kuturehemu, ngoma hii sio yetu.
Tumezunguka sana jangwani na Ukimwi, malaria, tb nk.
Yatosha tulivyoteseka ni muda wa kurehemiwa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa viongozi wa wizara ya Afya ambao ni madaktari, elimu yao ichunguzwe, hivi kweli walipitia medical school au?
Utawalaumu bure wataalam wetu huku ukijua wazi tatizo lipo wapi.

Hii sio sawa.

Mtaalam yeyote, wakiwemo hawa wa kwetu, Shirika la Afya Duniani (WHO) likishatoa mwongozo; kamwe hawawwezi kujiamria tu wenyewe wafanye kivyao.
Hili lielewe wazi.

Na kama ukiona mtaalam anafanya kufuata maagizo ya kisiasa, basi yeye huenda ni mwanasiasa, anatafuta maslahi, au ndio tena afanyeje bali kutii amri!
 
Unadhani Corona ina chama, wewe leta mambo ya vyama sasa watu wanaongea mambo serious unaleta utoto

Sent using Jamii Forums mobile app
We ndio upo serious?!

Kama wewe upo serious unahisi wizara uhusika ukiandika hapa ndio sehemu sahihi kufikisha kwa kile ulichokusudia kiwafikie?

kama sio siasa kumbe nini au hujui kufikisha kero uhusika serikalini uambiwe?
 
Ni heri ithibitike kuwa ipo ili watu waanze kutumia akili. Rais mzima anasema hata usiku msipigane mabusu na patakuwa na raha tu halafu anasema eti tunapambana na corona? Naona sasa wana show zao za kusalimiana kwa miguu!
Usisahau hiyo staili ya kusalimiana (karibuni watadai) ameigundua yeye!!!!

Bila shaka itakuwa ni sehemu ya kampeni za uchaguzi. Bango moja litaonyesha mguu wa yule mama wa Kijerumani....
Vichekesho kweli!
 
Hii katuni ya kipanya nimeanza kuielewa!
masoudkipanya_B9OFAe2DHHu.jpeg
 
Duh I can't believe vipimo vyetu, je ni kweli vinauwezo wa kubaini Covid -19?
Ilitakiwa wawekwe Quarantine kwa Muda wa Siku 14 kama Sheria ya Kimataifa.
 
Sijui kwanini nahisi corona inaweza kuwa ishaingia lkn kwa uzito wa viongozi wetu hawajasanuka chochote kama wenzetu Kenya na Rwanda walivyosanuka. Tuchkue tahadhari kubwa wandugu na Mola atuepushie mbali
 
Back
Top Bottom