Nakumbuka alisema "mungu oyeee" wakati analitangazia Taifa kuwa Tanzania hakuna corona!Hii ndio tunaita kubadilisha gia angani eeh? 🤣🤣
Sasa ulitaka aseme shetani hoyee?Nakumbuka alisema "mungu oyeee" wakati analitangazia Taifa kuwa Tanzania hakuna corona!
Watanzania wengi mno ni wanafiki wakubwa, na hata sasa wote mnaobwatuka humu, barakoa hamvai!! ni unafiki tu wa kijinga na kulaumu wengine wakati hata wewe hapo ulipo, huna barakoa wala huzingatii chochote, ajabu zaidi, upo, na korona hupatiLazima tutafute utaratibu wa kudhibiti viongozi, Mwendazake alivuruga kabisa hili swala la Corona, huwezi kuwalaumu Watanzania kugeuka matomaso, haiwezekani serikali inageuka geuka namna hii, washike lipi.
Yule yule Madam Gwajima aliyetamba kuishinda Corona, leo anataka watu waanza kuvaa barakoa!! Rais alipaswa kuondoa uongozi wote wa Wizara ya Afya kwanza, hawana moral authority ya kuwaambia watu wachukue tahadhari ya Corona.
Sio tuliaminishwa, Bali ni ukweli kwamba, Zipo nchi ambazo ziliagiza barakoa ktoka nchi zingine, baada ya kufikishwa zilionekana kuwa na virusi vya CoronaUkweli ni kwamba watu tuliaminishwa kuwa Tanzania hakuna korona na kuhusu kujikinga kwa barakoa tuliaminishwa barakoa zina korona,hivyo kwa serikali hii baada ya kubadilisha gia angani wanapata shida sana kuelimisha watu kuhusu kujikinga,ndio maana mtaani watu tupo tupo tu na ukimwona mtu kavaa barakoa tunamshangaa,ndio maana kwa sasa wizara wanajaribu kurejea maneno ya mwenda zake kwa sehemu alizo jaribu kuhimiza watu kuchukua taadhari ya kujikinga na korona,wanajaribu kumtumia kwa vile yeye ndiye aliye tufanya tuamini hakuna korona.ukweli ni kwamba mzee alituondoa hofu kiasi kilichopitiliza
Hili tangazo kiboko Kila mahali magufuli.muacheni baba wa watu apumue Tena msimshirikishe Corona yenu kabisaManeno aliyokua anayaongea hayati na kuwakalilisha wananchi wake, sasa imekua ngumu kwa Wananchi kuelewa kila ukiwaambia kitu utasikia Mbn Magufuli alisema hivi, mbn Magufuli alisema vile!
Wananchi wamekua wagumu kuvaa Barakoa Hongera wizara Ya Afya kwa View attachment 1827811kutoa Elimu Mujarab
Magufuli na Corona kweli??mambo ya aibu kabisa.
thibitisha madai yako.Angekufa na korona?😀
Umeona kitu gani MNH wamesema kuhusu Uviko-19?JPM alikuwa sahihi katika kushughulika na Korona. Huyu mama anatupotosha na kutuuza ili apate mikopo ya mabeberu.