OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
wakati aliwaambia watu barakoa zina corona,akawakebehi waliovaaMagufuli na Corona kweli??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakati aliwaambia watu barakoa zina corona,akawakebehi waliovaaMagufuli na Corona kweli??
SweetieUmeona kitu gani MNH wamesema kuhusu Uviko-19?
Niambie LaviiiiiSweetie
Vaa barakoa Juu na chiniNiambie Laviiiii
Lazima tutafute utaratibu wa kudhibiti viongozi, Mwendazake alivuruga kabisa hili swala la Corona, huwezi kuwalaumu Watanzania kugeuka matomaso, haiwezekani serikali inageuka geuka namna hii, washike lipi.
Yule yule Madam Gwajima aliyetamba kuishinda Corona, leo anataka watu waanza kuvaa barakoa!! Rais alipaswa kuondoa uongozi wote wa Wizara ya Afya kwanza, hawana moral authority ya kuwaambia watu wachukue tahadhari ya Corona.
Juu sawa,ila chini mtihani.Vaa barakoa Juu na chini
Huyo Rais yeye alivaa lini barakoa wakati alivyokuwa Makamu wa rais?Lazima tutafute utaratibu wa kudhibiti viongozi, Mwendazake alivuruga kabisa hili swala la Corona, huwezi kuwalaumu Watanzania kugeuka matomaso, haiwezekani serikali inageuka geuka namna hii, washike lipi.
Yule yule Madam Gwajima aliyetamba kuishinda Corona, leo anataka watu waanza kuvaa barakoa!! Rais alipaswa kuondoa uongozi wote wa Wizara ya Afya kwanza, hawana moral authority ya kuwaambia watu wachukue tahadhari ya Corona.
Hayati Magufuli alifanikiwa sana katika kuthibiti hofu ya corona ndiyo maana mpaka sasa hivi tunadunda salama salimini. Angalia majirani zetu pamoja na lockdown zao ikiwemo kutumia chanjo bado corona inawapiga sana tu. Tutamkumbuka sana Jemedari Magufuli. Nyinyi wapinga kila kitu tumeshawazoea ingawaje kwenye mioyo yenu inawasuta sana tu.Lazima tutafute utaratibu wa kudhibiti viongozi, Mwendazake alivuruga kabisa hili swala la Corona, huwezi kuwalaumu Watanzania kugeuka matomaso, haiwezekani serikali inageuka geuka namna hii, washike lipi.
Yule yule Madam Gwajima aliyetamba kuishinda Corona, leo anataka watu waanza kuvaa barakoa!! Rais alipaswa kuondoa uongozi wote wa Wizara ya Afya kwanza, hawana moral authority ya kuwaambia watu wachukue tahadhari ya Corona.
Nani huyo Maalim seif?Na alisema iko kama titi moja hivi!?
Hivi kama ile ya madaktari bado inaambukiza
Je hizi za kushona tena za vitamba vya masisiemu itakuaje?
Tatizo la korona haibezwi
Itakukula fasta kama alivyoliwa yule mtu
Sijui huko aliko kama anaendelea kuibeza
Mkuu achana na huyo nyumbu unapoteza nguvu zako bure kumweleza haelezeki.Sio tuliaminishwa, Bali ni ukweli kwamba, Zipo nchi ambazo ziliagiza barakoa ktoka nchi zingine, baada ya kufikishwa zilionekana kuwa na virusi vya Corona
mf, Us aliagiza barakoa kutoka uchina, tuliona kwa macho yetu, zikirudishwa
Ni kwa nini mtu useme waliaminishwa na wakati ni kweli kulionekana kuwepo barakoa zenye virusi?
It's just another way of celebrating God. Haina tofauti na wale wanaosema haleluya.Nakumbuka alisema "mungu oyeee" wakati analitangazia Taifa kuwa Tanzania hakuna corona!
Tangazo linahusu colona, si corona.Tena msimshirikishe Corona yenu kabisa
Kuaminishwa kuwa hakuna corona na kuaminishwa kuwa huo uvaaji wa barakoa unazuia maambukizi ya corona vyote ni sawa tu. Niangalia matumizi sahihi ya uvaaji barakoa yenye kutakiwa ili ndio huo uvaaji wa barakoa ulete tija huwa nabaki najiuliza hivi kweli uvaaji wetu huu wa barakoa ndio tunaamini tunajikinga na corona?Ukweli ni kwamba watu tuliaminishwa kuwa Tanzania hakuna korona na kuhusu kujikinga kwa barakoa tuliaminishwa barakoa zina korona,hivyo kwa serikali hii baada ya kubadilisha gia angani wanapata shida sana kuelimisha watu kuhusu kujikinga,ndio maana mtaani watu tupo tupo tu na ukimwona mtu kavaa barakoa tunamshangaa,ndio maana kwa sasa wizara wanajaribu kurejea maneno ya mwenda zake kwa sehemu alizo jaribu kuhimiza watu kuchukua taadhari ya kujikinga na korona,wanajaribu kumtumia kwa vile yeye ndiye aliye tufanya tuamini hakuna korona.ukweli ni kwamba mzee alituondoa hofu kiasi kilichopitiliza
Madhara yake ni yapi ni kwamba watu walikufa na kuumwa corona kwa sababu ya kutovaa barakoa?wakati aliwaambia watu barakoa zina corona,akawakebehi waliovaa
Kuhusu corona alimtanguliza Mungu na Mungu aliiponya nchi yetu na corona!! Ndiyo maana uko hapa mzima wa afya!! Corona haipo hata wanaoitafuta kwa tochi na kuwatishia watu na wimbi la tatu hawajafanikiwa kuipata wala kuiona! Mungu akipewa nafasi huwa hashindwi!! Tunatishiwa na nyoka aliyekwisha kupondwa kichwa nani atatishika?... duh! Ukisikia U-turn ndio kama hivi sasa! Alisisitiza watu wavae barakoa za kushona mbona yeye hakuwahi kuzivaa ili kuonesha mfano! Kuhusu Corona wakubali tu kwamba alichemka.
Shetani is always dirtyKwani aliwahi kuchafuka?
Shujaa JPM
Aendelee kulala salama