Wizara ya Afya waanza kampeni ya kumsafisha Hayati Magufuli

Unateseka wewe unayeomboleza na kujichekesha km akina dada wa Casino wauzaji.... Niteseke kwa kifo cha dikteta, muuaji, mwizi wa kura? Una wazimu nini? Karma imemrudia yeye mwenyewe. Yeye ndiye msaliti ambaye hakutakiwa kuishi. Wale ambao hakutaka waishi, wanaishi. Ni sherehe kuanzia 17 March 2021 hadi mwisho wangu... Atasemwa kwa ujambazi wake hata miaka 1000 ijayo km tunavyowasema akina Hitler, Musoulin na Idd Amin. Na vitabu vitamwandika pia. Na vizazi vitasoma uzandiki wake.
Ona unavyoteseka🤣🤣🤣🤣
Hadi mishipa ya vidole imekutoka hahaha
 
Unateseka wewe unayeomboleza na kujichekesha km akina dada wa Casino wauzaji.... Niteseke kwa kifo cha dikteta, muuaji, mwizi wa kura? Una wazimu nini? Karma imemrudia yeye mwenyewe. Yeye ndiye msaliti ambaye hakutakiwa kuishi. Wale ambao hakutaka waishi, wanaishi. Ni sherehe kuanzia 17 March 2021 hadi mwisho wangu... Atasemwa kwa ujambazi wake hata miaka 1000 ijayo km tunavyowasema akina Hitler, Musoulin na Idd Amin. Na vitabu vitamwandika pia. Na vizazi vitasoma uzandiki wake.
gazeti lote hili,halafu unataka tuamini uko normal[emoji1787][emoji1787][emoji1787].

pole mkuu.
 
Back
Top Bottom