Wizara ya Afya waanza kampeni ya kumsafisha Hayati Magufuli


Uzi huu unaakisi madhara hasi yatokanayo na awamu yake:

 
Huyo Rais yeye alivaa lini barakoa wakati alivyokuwa Makamu wa rais?
 
Hayati Magufuli alifanikiwa sana katika kuthibiti hofu ya corona ndiyo maana mpaka sasa hivi tunadunda salama salimini. Angalia majirani zetu pamoja na lockdown zao ikiwemo kutumia chanjo bado corona inawapiga sana tu. Tutamkumbuka sana Jemedari Magufuli. Nyinyi wapinga kila kitu tumeshawazoea ingawaje kwenye mioyo yenu inawasuta sana tu.
 
Na alisema iko kama titi moja hivi!?
Hivi kama ile ya madaktari bado inaambukiza
Je hizi za kushona tena za vitamba vya masisiemu itakuaje?
Tatizo la korona haibezwi
Itakukula fasta kama alivyoliwa yule mtu
Sijui huko aliko kama anaendelea kuibeza
Nani huyo Maalim seif?
 
Mkuu achana na huyo nyumbu unapoteza nguvu zako bure kumweleza haelezeki.
 
Kuaminishwa kuwa hakuna corona na kuaminishwa kuwa huo uvaaji wa barakoa unazuia maambukizi ya corona vyote ni sawa tu. Niangalia matumizi sahihi ya uvaaji barakoa yenye kutakiwa ili ndio huo uvaaji wa barakoa ulete tija huwa nabaki najiuliza hivi kweli uvaaji wetu huu wa barakoa ndio tunaamini tunajikinga na corona?
 
... duh! Ukisikia U-turn ndio kama hivi sasa! Alisisitiza watu wavae barakoa za kushona mbona yeye hakuwahi kuzivaa ili kuonesha mfano! Kuhusu Corona wakubali tu kwamba alichemka.
Kuhusu corona alimtanguliza Mungu na Mungu aliiponya nchi yetu na corona!! Ndiyo maana uko hapa mzima wa afya!! Corona haipo hata wanaoitafuta kwa tochi na kuwatishia watu na wimbi la tatu hawajafanikiwa kuipata wala kuiona! Mungu akipewa nafasi huwa hashindwi!! Tunatishiwa na nyoka aliyekwisha kupondwa kichwa nani atatishika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…