Wizara ya Afya waanza kampeni ya kumsafisha Hayati Magufuli

Sema wapumbavu wenzio, kwani ukivaa barakoa unapungukiwa nini? Kama huna hela ya kununua barakoa, ndugu zako watakuwa na hela ya kukununulia jeneza. Wala haina haja ya kuvaa. Mpumbavu kama wewe ukiondoka ni faida kwetu kwa taifa
 
Usipoteze muda na nguvu yako kubishana na hii mizwazwa.. kuhusu corona na hali ya uchumi TZ
Wenyewe choka mbaya kimaisha toka mwanzo, kwahiyo hata uchumi ukiyumba hawaoni tofauti ilimradi akipata mia mia zake tumbo liende choo...
Utakesha hapa....kubishana na mtu anakwambia mungu kaisaidia TZ isipate corona
Na akimwona mzungu njaa anaganga hapa TZ, yeye anaona watalii wamejaa.....
 
Magufuli hakuamini kama kuna corona? hivi sio Magufuli huyo huyo mliyokuwa mnasema alikuwa anakimbilia Chato kila corona inapokuwa kali?
 
Sema wapumbavu wenzio, kwani ukivaa barakoa unapungukiwa nini? Kama huna hela ya kununua barakoa, ndugu zako watakuwa na hela ya kukununulia jeneza. Wala haina haja ya kuvaa. Mpumbavu kama wewe ukiondoka ni faida kwetu kwa taifa
Watoto wadogo na kuna baadhi ya maradhi mtu akiwa nayo humletea shida kuvaa barakoa.
 
Mfalme hapingwi hadharani, lakini ni dhahiri wengi walikuwa waoga.
Sasa hivi Magufuli hayupo na rais wa sasa anavaa barakoa ila je muamko wa uvaaji barakoa ukoje? hao mawaziri tu walikuwa hawavai hata baada ya kufa Magufuli, sasa hapo utasema walikuwa wanamuogopa nani?
Maana hata huyo Mama samia kachelewa kuvaa hizo barakoa hadi sijui aliposhauriwa Kenya huko.
 
Njaa mbaya?
 
Well noted... Ni majinga sana haya, hayawezi kabisa kuunganisha mambo. Ndio ugonjwa alikuwa nae mwendazake
 
Tunamshukuru Mungu kwa vile kazi yake haina makosa. Na wewe mshukuru kwa kutuondolea udhia.

Udhia ni wewe uliyebaki
Mshukuru Mungu kwa pumzi anayokupa bureee na uache kutukana aliowachukua
 
Wote tutakufa lakini shetani yule alizidi kuwatesa wenzie. Utadhani yeye hakuwa na damu, nyama na mifupa...
Udhia ni wewe uliyebaki
Mshukuru Mungu kwa pumzi anayokupa bureee na uache kutukana aliowachukua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…