PostGE2025 Wizara ya Afya warudisha hewani chapisho la Video za maiti Mwananyamala huku wakiwa wamefunga "Comment"

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Screenshot_20251116_111157_Instagram.jpg

Screenshot_20251116_113344_Instagram.jpg

Waambieni hao wazee na vijana wajinga huko ofisini Dunia ilikofika si kwa kuficha ukweli kwa kuweka uongo unaoweza kuthibitishwa na watu hata bila kutumia nyenzo za uthibitishaji wa video halali au iliyohaririwa au kutengenezwa na AI.

Halafu kufunga "comment" siyo njia ya kufanya watu waamini upumbavu wenu ila mnajikorogea sumu zenu wenyewe ambazo wakati wa kuzinywa imefika.

Aibu yenu Wizara ya afya, kwa ujinga kama huu ndio maana umekuwa mkificha madudu mengi kwenye hospitali za umma na kusababisha vifo ambavyo vingeweza kudhibitiwa.

Haya tuelewe kipi ni Video ya Kenya 2007 au ni ya kutengenezwa, hebu acheni kuwaza kwa kutumia meno badala ya ubongo na huku video inaonekana wazi ni halisi na ni Mwananyamala

Pia Soma:

Kwa sasa Samia hasafishiki hata mumloweke kwenye jiki, doa alilonalo halotoki mkiendelea kusugua mtachana hiyo nguo.

Mmejazana wajinga watupu mkidhani mlivyofanikiwa kuendesha nchi kwa uongo kwa miaka zaidi ya 60 mtafanikiwa tena kipindi hiki ambacho watu taarifa tunazipata bila kutegemea hayo maredio na mativii mliyoyafanya matumwa yenu, au mnadhani kuna anayeamini taarifa zenu kenge nyie.
 
View attachment 3502603

:PostGE2025 - Wizara ya Afya imefuta post ya kukanusha video ya Mwananyamala

Kwa sasa Samia hasafishiki hata mumloweke kwenye jiki, doa alilonalo halotoki mkiendelea kusugua mtachana hiyo nguo.

Mmejazana wajinga watupu mkidhani mlivyofanikiwa kuendesha nchi kwa uongo kwa miaka zaidi ya 60 mtafanikiwa tena kipindi hiki ambacho watu taarifa tunazipata bila kutegemea hayo maredio na mativii mliyoyafanya matumwa yenu, au mnadhani kuna anayeamini taarifa zenu kenge nyie.
Technology inavua watu. Nguo
 
Tanzania hakuna wizara ya afya.....ni kikundi cha mazezeta.....sasa kupost hii inasaidia nini?.....
Yaani wewe ufanye mauaji kwa kiwango hiki bado udhani itakuwa siri?....mortuary attendants wenyewe hawajawahi kuona maiti nyingi kwa mpigo namna hii....alafu za ndugu zao na sio wamekufa kwa kuugua ila kuna mtu kaamua kuwaua kwa makusudi ikiwemo kuwafata majumbani na kuwapiga risasi bila huruma!...
 
Kwa hio kanusho la kwanza lilikua na udhaifu ndio wakarekebisha hivyo.
 
View attachment 3502603

View attachment 3502612
Waambieni hao wazee na vijana wajinga huko ofisini Dunia ilikofika si kwa kuficha ukweli kwa kuweka uongo unaoweza kuthibitishwa na watu hata bila kutumia nyenzo za uthibitishaji wa video halali au iliyohaririwa au kutengenezwa na AI.

Halafu kufunga "comment" siyo njia ya kufanya watu waamini upumbavu wenu ila mnajikorogea sumu zenu wenyewe ambazo wakati wa kuzinywa imefika.

Aibu yenu Wizara ya afya, kwa ujinga kama huu ndio maana umekuwa mkificha madudu mengi kwenye hospitali za umma na kusababisha vifo ambavyo vingeweza kudhibitiwa.

Haya tuelewe kipi ni Video ya Kenya 2007 au ni ya kutengenezwa, hebu acheni kuwaza kwa kutumia meno badala ya ubongo na huku video inaonekana wazi ni halisi na ni Mwananyamala

Pia Soma:

Kwa sasa Samia hasafishiki hata mumloweke kwenye jiki, doa alilonalo halotoki mkiendelea kusugua mtachana hiyo nguo.

Mmejazana wajinga watupu mkidhani mlivyofanikiwa kuendesha nchi kwa uongo kwa miaka zaidi ya 60 mtafanikiwa tena kipindi hiki ambacho watu taarifa tunazipata bila kutegemea hayo maredio na mativii mliyoyafanya matumwa yenu, au mnadhani kuna anayeamini taarifa zenu kenge nyie.
Mkuu umeandika kwa uchungu sana , malipo ni hapa hapa duniani
 
Back
Top Bottom