Wizara ya Afya yatoa taarifa ya kuenea kwa ‘Red Eyes’. Yawataka Wananchi kuchukua tahadhari

Wizara ya Afya yatoa taarifa ya kuenea kwa ‘Red Eyes’. Yawataka Wananchi kuchukua tahadhari

Tiba za wazazi hizi..
Mshua wangu ye anakwambia mafua yakibana, chukua maji tia na tuchumvi weka puani.
Binafsi sijawahi kujaribu sbb naelewa maji yakifika kisogoni yanavyouma.
Tonsillitis! Mama anaingiza kidole hadi kooni anayabinya yanapasuka halafu anakupa maji ya chumvi unywe

After hapo homa inakata na Tonsillitis unapona.
 
Huu ugonjwa kila mwaka lazima utokee
Wabongo wanajifanya kama ndiyo mara ya kwanza kutokea

Ova
 
Back
Top Bottom