The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,498
- 14,946
Wanayakataa mpaka mashuka ya MSD
Diploma ya ulimu. Tena ya kuunga unga. Halaf unampa wizara nyetiHivi huyo Jenista Mhagama nae ana elimu za hapa na pale [mambo mbalimbali] kama boss wake mwenye division 0!
Irushe video yako kwa dada Mange au hapa JF halafu itatufikia.Natamani ningewaonesha na ya mortuary ya mloga.
Oya noma sana!
Naona baada ya kuwapiga spana wameifutaKwenye page yao mbona hamna hii post au wameifuta?
Wamekula kona wameifuta baada ya kuwapiga spanawamepost wapi, mbona sioni Twitter wala IG? au wamefuta?
Shida ni kukosa akiliKila wanachofanya kina backfire
You can't fool all the people, all the time
Ni lability! Wasiwasi wake upo sahihi!mange
Weka screenshot twende nao sawaKuna mambo mengine hata mjinga awezi kuwa mjinga ila kuna wajinga waliowekwa hapa hata JF imefungiwa na bado wanatumia VPN kutetea serikali ujinga wake.
Uwezi kusema fake video na bado unaona mashuka MSD.
Kuna wajinga wanakwambia AI wakina muriro hii nchi na nasikia wanatengeza makaburi ya ulinzi kama takataka ambayo hata ICC na wachuguzi wataweza kufikia na kuwekwa kambi ya jeshiNenda Youtube katafute mochwari mwanayamala kisha angalia rangi ya ukuta, milango agalia na terazo chini, kisha rudi kwenye video husika
Wameshafuta kwenye ukurasa waoAnguko Kuu la CCM na Serikali yake halitotokana na jambo lingine lolote lile zaidi ya kukosa akili.
Kukosa kwao akili ndo kumesababisha wawapuuze Wananchi na madai yao ya ukweli kisha kukimbilia kuwateka, kuwaua na kuwapoteza hali iliyopelekea hasira za Wananchi kupanda na kufikia kikomo na hatimaye kufanyika maandamano ya Oktoba 29.
Kukosa akili kwa CCM ndiko kulikosababisha Waendekeze ufisadi badala ya kuelekeza fedha nyingi katika masuala yanayoondoa changamoto za Wananchi mfano maji safi na salama, miundombinu bora, umeme, huduma bora za hospitali pamoja na ajira kwa vijana. Matokeo yake Wananchi wamewachoka na kuzidisha hasira dhidi yao na sasa wako tayari kufanya chochote ili kuwatoa madarakani.
Wiki hii Kamishna ya Kamisheni ya Umoja wa Mataifa aliibua tuhuma nzito kuhusu Mauaji Makubwa yaliyofanyika nchini Tanzania huku Serikali ikihusika kuficha ukweli na kuzuia miili ya watu kuzikwa na ndugu zao.
Tukio la Wizara ya Afya kukanusha video halisi na ya kweli iliyochukuliwa na Mtumishi mzalendo kweli ikionesha miili ya watu hasa vijana zaidi ya 200 katika mochwari moja ya hospitali ya Mwananyamala linazidi kuthibitisha kuwa anguko kuu la Serikali ya Samia na CCM ambalo liko obvious si kwa sababu nyingine yeyote ile ila ni kukosa akili.
Katika dunia ya sasa hakuna video ya kweli ambayo itarushwa mitandaoni alafu unaweza kanusha sio kweli.
Teknolojia kwenye dunia ya sasa imekuwa sana kiasi kwamba kuna mifumo ya ku verify uhalisia wa video, ilichukuliwa kwenye kifaa kipi? na kurushwa kutoka kwenye kifaa kipi? Na lini? Hivyo kwa kusema Video fulani ni feki ni kama unajitia mwenyewe hatiani na kuuthibitishia ulimwengu kuwa kumbe ni kweli unaficha ukweli kuhusu mauaji uliyofanya.
Tamko hili la Wizara ya Afya bila shaka limeuthibitishia ulimwengu kuwa, Serikali ya Tanzania ilifanya mauaji makubwa kipindi cha Uchaguzi na imefanya kazi kubwa sana kuficha huo ukweli hivyo kustahili kuwajibishwa.
Tamko la Wizara ya Afya linathibitisha kuwa ni kweli Serikali ya Tanzania haipaswi kujichunguza kwa mauaji ya kutisha iliyofanya na zaidi inapaswa kuchunguzwa na kuchukuliwa hatua kali na Jumuiya ya Kimataifa ikiwemo Viongozi wake hasa Samia na Wakuu wake wa vyombo vya dola kufikishwa Mahakama ya ICC.
Anguko la Samia na Serikali yake lipo obvious. Alishauriwa sana akashupaza shingo na kwa alipofika hakuna anayeweza kumuokoa. Bahati mbaya kwa namna mnavyojitoa uhafamu kukanusha masuala ya kweli ndivyo mnavyozidi kumuweka kwenye sehemu mbaya.
View attachment 3502511
Wamefuta baada ya kushambuliwa na maelfu na watu kuweka picha nyingine za eneo hilo kithibitisha mazingiraKwenye page yao mbona hamna hii post au wameifuta?