PostGE2025 Wizara ya Afya yazidi kuuthibitishia ulimwengu kuhusu Serikali ya Samia kuficha ukweli wa Mauaji ya kutisha yaliyofanywa kipindi cha Uchaguzi

PostGE2025 Wizara ya Afya yazidi kuuthibitishia ulimwengu kuhusu Serikali ya Samia kuficha ukweli wa Mauaji ya kutisha yaliyofanywa kipindi cha Uchaguzi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kuna mambo mengine hata mjinga awezi kuwa mjinga ila kuna wajinga waliowekwa hapa hata JF imefungiwa na bado wanatumia VPN kutetea serikali ujinga wake.

Uwezi kusema fake video na bado unaona mashuka MSD.
Apo sasa yaani hio mochwari ni mwananyamala linganisha ile ya ally kibao na hio video ni penyewe kbs ila haya matahira yanakanusha ungesee
 
Ni kosa kubwa kumpa Kilaza madaraka. Hata Plato aligundua jambo hili miaka mingi iliyopita. Mtu mwenye akili ya ya kati (ya kuunga unga vyeti! Mara QT, mara kurisiti, nk) afanye kazi ya kiwango chake! Na mtu mwenye akili nyingi, maarifa ya kutosha na maono ya mbali, ndiyo apewe nafasi ya kuongoza wengine.
 
Nenda Youtube katafute mochwari mwanayamala kisha angalia rangi ya ukuta, milango agalia na terazo chini, kisha rudi kwenye video husika
Hapana shaka pale ni Mwananyamala hospital...watu wameuliwa sana na ndiyo maana tunasisitiza hiyo D9 Gen Z wasitoke kizembe ,wakitoka kiboya maafa yatakuwa mara tatu ya mwanzo.
 
Hii wizara ya afya imekupuka kukanusha kitu ambacho ni kweli, hii inazidi kuwaharibia zaidi.

Wizara ya afya hivi haijui kuwa kuna software za kuthibitisha kuwa video fulani ni feki au la?
 
Ni kosa kubwa kumpa Kilaza madaraka. Hata Plato aligundua jambo hili miaka mingi iliyopita. Mtu mwenye akili ya ya kati (ya kuunga unga vyeti! Mara QT, mara kurisiti, nk) afanye kazi ya kiwango chake! Na mtu mwenye akili nyingi, maarifa ya kutosha na maono ya mbali, ndiyo apewe nafasi ya kuongoza wengine.

sikubaliani na wewe hapo kwenye “ukilaza”, hii ni evil, na evil people are smart, kilaza ana uwezo mdogo wa kujua madhara ya maamuzi yake hivyo kuna mazingira ambayo unaweza kumsamehe kilaza kwa kuwa hana uwezo, lkn evil anajua anachokifanya hata anapanga, tena wakati mwingine kwa muda mrefu sana tu.

hivyo siyo ukilaza bali ni evil, evil haina elimu, kuna madaktari bingwa wanaua watu kwa makusudi tena wanaua watu wengi tu, imethibitishwa sehemu nyingi tu, mfano dr.mengele wa hitler alikuwa smart but evil, kuna marubani wanacrush ndege iliyobeba watoto wa shule kwenye miamba na kuua wote hiyo ni evil siyo ukilaza …
 
Ndio maana walipowasha mtandao tu, wakatuma sms za vitisho, ili tusione ukatili huu.
 
Uupuuzi!! Wasichojua ni kwamba kuna teknologia ya kutambua video ya kutengeneza na video halisi, hii ni video halisi, Kama waliweza kusema waliyoandamana ni vijana toka nchi jirani, kama waliweza kusema video na picha zinazosambaa mtandaoni ni za kutengeneza kwa AI, watashindwa nini kukana video hiyo inayoonesha maiti zaida ya 100 zimetapaka mochwari, mbaya zaidi baadhi ya watu wameweza kutambua ndugu zao waliyouawa kupitia video hiyo, halafu unatuambia ni ya kutengeneza, basi tupatie video halisi kama hiyo ni fake, kama ni fake maana yake kuna halisi(Original), hakuna fake kama original haipo.. Uwepo wa fake kuna original.....
 
Back
Top Bottom