Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Na huko wizarani ni wala rushwa utazani ni enzi za Costanto Mahalunyo akiwa pale wizarani miaka hio rwashwainyo nje nje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MAUA yako mkuuAngalizo nzuri.
Ni vyema ubalozi wenyewe kutangaza kuhusu ufadhili wa masomo nje ya nchi kwa umma ili kuepuka madhila na utapeli. Baadhi ya njia za kufanya hivyo zinaweza kujumuisha:
1. Kuandaa tovuti rasmi ya ubalozi inayotolea maelezo kamili kuhusu ufadhili unaotolewa, pamepuatia tarehe za maombi, vigezo vya usahihi, na namna ya kuwasilisha maombi.
2. Kufanya matangazo ya umma kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii ya ubalozi, ili kuhakikisha habari zinasambazwa kwa watu wanaohitaji.
3. Kushirikiana na taasisi za elimu na mashirika mengine ya jamii ili kusambaza taarifa kuhusu fursa hizi za ufadhili.
4. Kutoa miongozo na ushauri kwa watu binafsi wanaoomba ufadhili ili kuepuka madhila na kuongeza uwazi.
Lengo kuu ni kuhakikisha kwamba taarifa za ufadhili zinapatikana kwa uwazi na wazi kwa wale wanaohitaji, ili kuwezesha mchakato wa maombi kuwa wa haki na wa uwazi.
Tatizo sio yeye tatizo ni mfumo! Kuna raia behind the scene ni mafias
Kinachotufanya waafrika wengi tuwe hivyo ni ile hali ya kwamba Je akirudi kutoka ughaibuni, kazi yangu si ataichukua?! Ngoja abaki hapa hapa
unadhani mtoto wa Mwigulu atakuja kusomea chuo hapa Bongo?!
Labda baba yake afanye uzalendo tu ila kama dogo yupo TIS hapo unadhani hata Feza atasoma kweli huyu?!
Hakuna tatizo Mkuu!Kweli mkuu .
Pia mkuu Mimi nina ndoto za kwenda nje Kusoma na kufanya MAISHA .
Ila sijajua natoka vipi hivyo natamani kuwa na closed na watu wenye ndoto za kwenda au ambao wapo tayari nje hivyo Kama UPO nje au unajua chochote kuhusu kutoka niachie hata Email yako .
Then Nina cheti cha kufundisha wageni lugha ya kiswahili nahitaji kuwapata hawa wageni mkuu .
Huu ni uhuni!Ninaposema kuwa hawa jamaa ni wahuni sidhani kama mnanielewa?! Wameweka tangazo tarehe 2 Agosti na deadline ni tarehe 8 Agosti aisee ni majanga.
Naombeni maadmin waweke hii:
Sambazeni kwa wadogo zenu wapate nafasi.