Wizara ya Elimu ipitie upya Mtaala wa Masomo ya Sayansi wa A-Level

Umemsahau na Eliasi kihombo.
 
Enzi zetu daah tulisoma kwa tabu sana

Yale ma Chand, muncaster, Ramsden, nelkon,

Masyllabus ya India na ulaya

Haikuwa kazi rahisi kutoboa.
Dah mzee baba umenikumbusha mbali sana nlikuwa na UP (university physics) na Muncaster langu dadeki. Ngumu kumeza ile
 
Watu wa Biology na chemistry kwa ticha Mbuga na Sir waunga!! Mchikichini moja hiyo, ukitoka pembeni kuna Muddy, hesabu kuna mwarami sio poa...!!
 
Muddy physics ivi bado yupo mchikidown pale?
 
We ni ticha dotto nini wa temeke?
 
Mtoa mada anasubiri kuwa miongoni mwa wazee watakaotoa maoni yao kwenye katiba mpya. Sidhani kama tutarudi uchumi wa kati kwa kweli
 

We kama mtu serious umeisaidia nini Nchi so far?

D ianzie 65+ wewe vyeti vyako vikibadilishwa saiv utajikuta una Division 4 mbovu sana au zero.

Fundisheni watu wapate maarifa sio wapate grades nzuri mwisho wa siku tumesoma lakini hatuna maarifa ya kutengeneza hata kijiti cha kuchokonoa meno.

Hovyo sana waafrika tunawekeza kukomoa sana na kukariri.

Afrika haitoboi kwa akili hizi tulizonazo za kuangalia grades tu
 
Advance sio kwa kila mtu pia sio lazima. Inaitwa ADVANCED or high school so why uende high bakia na ordinary inatosha later college baadaye University maisha murua
 
Huyu ana mental problem sio bure mkuu. Yaani sio lazima uwe mirembe Ile inakuwaga serious you can't your handle your mind or the people talking in your head so wakiwa wanaongea na wewe huku unaongea Basi.
Ila ukiwa kawaida wakiwa wanaongea unakuwa kawaida
 
Cha kusikitisha ni kuwa wizara haina muongozo wala vitabu vilivyotungwa kuzingatia mitaala ya elimu ya Advanced level.

Kwenye physics haijulikani ni kitabu gani mwanafunzi atumie, Chand's vya muhindi au vya mzungu.
Wametoa mwaka 2020 vya TIE ni vizuri mno mimi nimevipitia Biology na Chemistry nasema viko bomba na deep..
 
Habari ndugu naomba kujua ni culcultor zipi zimeluhusiwa kuingia nazo kwenye mtiani wa hesabu kidato cha nne..?
 
Wametoa mwaka 2020 vya TIE ni vizuri mno mimi nimevipitia Biology na Chemistry nasema viko bomba na deep..
Nakataa kwa 100% wanaovitumia nna maoni yao mengi wanasema havina maajabu,usiingize siasa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…