Wizara ya Elimu ipitie upya Mtaala wa Masomo ya Sayansi wa A-Level

Bas broo angu kfanya vzr mwanae kapasua vzr olevel ila akamua kumtafutia mist mbeya uko akapige diploma yake ya ujenzi
 
πŸ˜…πŸ˜…umeandika kwa hisia sana ,kila mtu ana story ya kipekee kuhusu msoto wa advance ,kila mtu ana kumbukumbu ambayo haitafutika kamwe kuhusu Advanced level muhimu ni kushukuru Kam haukupotea njia ,na kuangukia Cbe ,au Sua kulima matikiti .kufeli chuo hakuumi ila kufeli Advance eh bhana.
 
Binafsi topic za mathematics nilisaidiwa na Brother kuzicover karibu za form six zote ,bila yey ningepitia TIA ,au ningekua napiga diploma college ukoπŸ˜…
 
Noma sana... inauma zaidi umefanya ile matriculation ukafaulu ila kwenye kuchaguliwa points haziruhusu... ikumbukwe cut off points kwa UDSM nadhani kuna kozi moja ilikuwa 4.5 ila halafu nyingine zote zilkuwa 5.5... na kwa jinsi watoto wanavyopelekeana moto miaka hii itakuwa hata hiyo 5.5 hupenyi.
 
Ila watu wa sayansi mna uwanja mpana sana wa kusomea mambo mengi kwasababu wengi form four mmefanya vizuri. Kuna mwanangu mmoja alipiga zero form six PCM. Alichofanya ni kutumia matokeo ya form na kuanza diploma mambo ya maabara. Alipomaliza akafanya kazi kidogo Azam akajiendeleza degree DIT... tunavyoongea tayari yuko kwa mkemia mkuu na ni afisa mkubwa. Kimaisha anatuchapa bakora karibu wote ambao six tulipita salama. Nashauri vijana tusisomee sifa. Kuliko uende kusoma kozi ambayo haina madili au ajira za kutosha kisa upate sifa bora uende zako hata chuo cha nyuki ukitoka huko unafuga zako nyuki na kuuza asali. Wengi wa watu waliosomea sifa wanahangaika mtaani.
 
Kwa mimi naona vijana wasome tu, hizo topics zinatosha sana.
 
Matriculation = wewe muhenga
 
Hapa bongo mtoto anaetaka kwenda advance apate division one single digit 7,8au 9.vinginevyo aende technical.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…