dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 23,782
- 54,213
... kwa hiyo ajali za moto hukumba watoto shule za wadogo tu au sio? Nadhani msisitizo na viwango viwekwe kwa shule zote kuanzia za watoto hadi maeneo mengine ambako watu huishi kwa mikusanyiko mikubwa. Kwani ajali ikiteketeza wazee wanaolelewa kwenye makambi ndio haitakuwa na shida kisa ni wazee? Au moto ukiteketeza wagonjwa mahospitalini tudai wagonjwa watibiwe majumbani?Hao wazazi wanaopeleka watoto wadogo shule wanaohitaji malezi ndio wana matatizo na hawana huruma kwa watoto waliowazaa wenyewe, dah nilisikitika wale watoto waliokufa kagera wazazi kama hatuwezi kulea ni Bora kuacha kuzaa sasa.
Hoja ya msingi ni mazingira rafiki kila mahali binadamu wanapoishi kwa mikusanyiko iwe suleni, mahospitalini, majeshini, n.k. Shule za watoto wadogo ziwe na mazingira rafiki kwa ajili ya watoto wadogo. Wasiokidhi vigezo wasipewe vibali vya kuendesha shule za aina hiyo; hivyo kwa shule za wakubwa, n.k.
By the way, tafiti zinaonesha wengi wa wanaoingia kwenye utendaji kwa wingi (wanaokamata fursa kwa wingi) kwa kizazi hiki ni waliosoma boarding since early childhood.