Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tenageza ya Ulaya wakati facilities zetu bado mbovu!!Namfikilia mtoto wa miaka 6, 7 ambaye hata kuoga anakumbushwa. Anafundishwa kutumia sabuni, kunawa mikono, kupenga kamasi, hata homa anaambiwa na mzazi/mlezi, nk. leo anapelekwa boarding ambako kuna watoto 100 wanaohitaji huduma kama hiyo, akalelewe na mtu kwa mshahara tu, na siyo upendo.
Tuache ulimbukeni! Ni bahati mbaya inapelekea kupoteza maisha ya watoto.
Hii ni sehemu ya mpango mkubwa na mpana wa kuharibu familia na hatimaye jamii uliobuniwa na Shetani a.k.a NWO.Kwa mtu makini ataona hili likiendea wazi kabisa.Zipo taarifa za kuaminika kabisa kwamba katika shule za bweni wapo agents walio penyezwa kwa siri wakiwa kama wanafunzi au waalimu kwa nia moja tu:kuharibu maadili ya watoto.Sasa kama wazazi hatutakuwa makini,tutaishia kuvuna mabua.Link ifuatayo inaonyesha uhalisia wa uharibifu na vita inayoendelea dhidi ya familia na jamii.
We are at war. The very foundation and stability of the traditional family,is being formidably attacked from every direction
Hii ni sehemu ya mpango mkubwa na mpana wa kuharibu familia na hatimaye jamii uliobuniwa na Shetani a.k.a NWO.Kwa mtu makini ataona hili likiendea wazi kabisa.Zipo taarifa za kuaminika kabisa kwamba katika shule za bweni wapo agents walio penyezwa kwa siri wakiwa kama wanafunzi au waalimu kwa nia moja tu:kuharibu maadili ya watoto.Sasa kama wazazi hatutakuwa makini,tutaishia kuvuna mabua.Link ifuatayo inaonyesha uhalisia wa uharibifu na vita inayoendelea dhidi ya familia na jamii.
We are at war. The very foundation and stability of the traditional family,is being formidably attacked from every direction
Hata wajinga hufanya tafiti, Boss! ikimaanisha matokeo ya tafiti zao ni ya kijinga. Ulaya iliwahi kusema kama wewe, tafiti ziliwaambia ushoga ni tabia ya kuzaliwa nayo, genetical. Je, leo hii baada ya kufanikiwa kuwaingiza wengi kwenye tabia hiyo unayasikia tena mambo ya genetical?
Kilichozungumziwa hapa ni watoto kuingizwa mazingira hatarishi kwa ujinga wa wazazi. wewe unaleta mambo ya watu wazima, wazee na mara unasema tafiti sijui za nini! Kwani mzee anahitaji kufundishwa kupenga kamasi? Nani kasema ajali hazipo duniani?
Tatizo la kuleaMimi nasema mtoto aende boarding akiwa advance sikuhizi watoto Wana maliza mapema ni vizuri wazazi tuwalee watoto mpaka wapevuke ndio tuwapeleke boarding.
Ni siku ya 4 naangalia comment hii na kuwaza kwa undani sana. Kuna wakati tuliambiwa FEZA schools pia zilikuwa na jambo nyuma ya pazia. Hawa wanaoanzisha shule za boarding, yawezakuwa ni biashara tu lakini, kweli yabidi tukubali na mengine ya ziada. Baadhi wanatoa ofa ya ada kwa watoto fulani kama kivutio.Sometimes nashawishika kuwa kuna jambo nyuma ya pazia.
Hapa mimi next year nitakuwa mhanga kwenye hili. Kijana wangu anaingia darasa la saba na siku zote nilikuwa naye home. Ila kulifanyika kikao cha shule kwa wazazi wa wanafunzi wanaotajia kuingia darasa la saba. Wazazi na walimu na uongozi wa shule wakafikia maamuzi kwamba watoto wate watakaa bweni mwakani.Wazazi hawajui tu ila wanawafelisha sana watoto kuwabwaga boarding school katika umri mdogo.
Alafu shule nyingine + wazazi bila hata aibu utawasikia, "Darasa la nne na la saba ni lazima." Ukiwauliza huo ulazima unatokana na nini. Eti bila hivyo matokeo yatakuwa mabaya. Kweli uache kumkomalia mtoto kusoma darasa la I, II, III ukitarajia kwamba boarding school ndo itafanya muujiza darasa la IV au VII?🤔🤔
Mi ndo maana huwa nasema sitopelekeshwa na shule hata siku moja. Maadam ada inalipwa basi ikibidi ntamuhamisha dogo kadri inavyobidi ili asije akakumbana na mbwembwe za kipuuzi.
Ni watu wachache sana sadly.Kwa kulitambua hili,nimeanza kazi ya kutafsri hili bandiko kwa kiswahili,labda itasaidia ku-raise awareness.Kiukweli hali ni mbaya sana.Uko sahihi 100%
Hio ndio sababu kubwa kabisa kuliko zote. Je ni wangapi waweza kung'amua? Probably 1/1,000,000. Ni shida!
Saikolojia ya elimu inaniambia kuwa mtoto mdogo hafaulishwi kwa kusoma mda mwingiHapa mimi next year nitakuwa mhanga kwenye hili. Kijana wangu anaingia darasa la saba na siku zote nilikuwa naye home. Ila kulifanyika kikao cha shule kwa wazazi wa wanafunzi wanaotajia kuingia darasa la saba. Wazazi na walimu na uongozi wa shule wakafikia maamuzi kwamba watoto wate watakaa bweni mwakani.
Sina ujanja. Itabidi nikubali tu kijana amalize shule ya msingi.
Ni kweli! Muache amalize shule. Shule zinaendeshwa kwa njama kubwa. Vikao vya aina hiyo, huwa kuna watu walionunuliwa, kazi yao ikiwa ni kuhakikisha waendeshaji wa shule wanapitisha mambo yao. Wanajua wakikaa bweni, ada itapanda wapate faida. Elimu imekuwa biashara. Hii ni hali inayotia mashaka sana juu ya shule za private.Hapa mimi next year nitakuwa mhanga kwenye hili. Kijana wangu anaingia darasa la saba na siku zote nilikuwa naye home. Ila kulifanyika kikao cha shule kwa wazazi wa wanafunzi wanaotajia kuingia darasa la saba. Wazazi na walimu na uongozi wa shule wakafikia maamuzi kwamba watoto wate watakaa bweni mwakani.
Sina ujanja. Itabidi nikubali tu kijana amalize shule ya msingi.
Upo sahihi Mkuu ipo shule jirani hapa eti mtoto akifika darasa la sita na la Saba wanalazimisha wazazi uwapeleke watoto huko boarding wakati tulipokua tumewapeleka darasa la kwanza hilo walisema kwa wale wanaotoka mbali nikasema hili hapana naomba uamisho sijawahi kufikiri kumuacha mtoto wa shule ya msingi alale shuleni...nikamuamisha nipo nae nyumbani na shule anakwenda hizo shule zina watoto wadogo hadi unatingisha kichwa aisee...Mkuu nakubaliana na wewe 100%.Niseme wazi bila kumung'unya maneno.
Ni ujinga wa hali ya juu kumpeleka mtoto wa chini ya miaka 13 boarding school,kwa kuwa this is the time when his/her character is being molded.
Mzazi mwenye akili anapenda tabia ya mtoto wake ifanane na yake,and this can only be achieved by staying with him/her and mold his character.
Wazazi please note this,ukimlea mtoto kama utakavyo wewe, hata akikua hataiacha tabia uliyo impart kwake.
So unataka mtoto awe shoga, mtumia unga, mvuta bangi na mwenye tabia za kishenzi za mtaani? Mpeleke boarding kabla ya miaka 13, nakuhakikishia atakuwa na tabia za kishenzi.
Shule hizo ni mpango mkakati wa kuharibu watoto mkuu.Waalimu na watoto wenyewe wanatumika kama agents.Kwa bahati mbaya wazazi wengi ni mambumbu sana katika jambo hili.Upo sahihi Mkuu ipo shule jirani hapa eti mtoto akifika darasa la sita na la Saba wanalazimisha wazazi uwapeleke watoto huko boarding wakati tulipokua tumewapeleka darasa la kwanza hilo walisema kwa wale wanaotoka mbali nikasema hili hapana naomba uamisho sijawahi kufikiri kumuacha mtoto wa shule ya msingi alale shuleni...nikamuamisha nipo nae nyumbani na shule anakwenda hizo shule zina watoto wadogo hadi unatingisha kichwa aisee...
Hivi masomo gani Hayo jamani ya kuanzia SAA 11 asubuhi. Mwenyewe Nilikuwa za serikali tena Nakumbuka LA NNE mwaka 98 nilipata kama mia NNE masomo Fulani ivi sema nimeyasahau jamani.kuna shule ipo kigamboni inaitwa Excle hawa wanasema lazima darasa I la nne na la saba wakae boarding, lakini mtoto ukienda kumuona amebaki mifupa, ooh bila kukaa boarding hata pata matokeo mazuri maana masomo yanaanza saa 11 alfajiri. Waziri kataza hii kitu hata sisi tulisoma day mpaka secondary ndiyo tulienda boarding school
Sasa si ubora mzazi unakaa na mwanao na kumshape kuliko huko boarding maana ukiwa kazini una meet mtoto jioni akitoka shule kuliko huko boarding, mwenyewe nilisoma boarding naichukia silipendi na hapo nilikuwa nimeshakuwa mkubwa Ila nilikuwa napata tabu, sembuse mtoto wa primary naona Hadi hurumaTatizo la kulea
Nyie hamliwezi kwasasa,
Kwasababu wengi wenu ni Waajiriwa na Watafutaji,hamtaki kubaki na kulewa Watoto wenu,Mtoto analelewa na Housegirl katika mazingira tatanishi.....
Ndio maana wakaona wao kwa akili zao(zembe)Bora wawapeleke Mashule ya Bweni
Wanawapa tu watoto mzigo msingi mtoto ana Soma boarding ili iweje wakati kuna mashule mengi tu unaendaSaikolojia ya elimu inaniambia kuwa mtoto mdogo hafaulishwi kwa kusoma mda mwingi
Huwa najiuliza kama unaona kulea huwezi bora usizae. Unampeleka mtoto 4years boarding eti sababu uko busy??? Umoja na mshikamano wa taifa lolote unaanzia kwenye ngazi ya familia ila sasa tunapoteza thamani ya familia, wazazi hatuwapi watoto wetu malezi badala yake tunatumia pesa kubomoa familia na kunaandaa taifa la watu wasiokua na upendo wala mshikamano.
Hata mtoto apate As kila level kama hana values za jamii yake, hajielewi hata thamani yake wala thamani ya jamii yake ni bureeeee