MchunguZI
JF-Expert Member
- Jun 14, 2008
- 4,011
- 2,185
- Thread starter
- #61
Haya yameibuka tena. Hebu niambie nchi gani ya maana ambayo ina shule za boarding kwa watoto wadogo. Au unazungumzia shule za watoto yatima. Ulipoandika Dunia nzima .... nikaona ni dalili za ufahamu mdogo.... "kwa ujinga wa wazazi"; kwamba wazazi wote wanaopeleka watoto boarding ni wajinga!
Ni jukumu la serikali kuweka na kusimamia miongozo na viwango vya mazingira ya kujifunzia kwa watoto ambavyo watoa huduma (shule) wanatakiwa kuvifuata na sio kufuta kabisa boarding kwa watoto wadogo. Sio Tanzania pekee yenye boarding kwa watoto.