Wizara ya Elimu: Wanafunzi wa imani ya Rastafari kusoma wakiwa na rasta asili

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Jamani someni na hii hapa

9D33E7D8-3AAC-425A-A844-91B660C89AFF.jpeg
 
Hiyo barua ya mwaka 2020
Hivi mwendazake hakupata hii barua/taarifa kweli na atoe maoni/mtazamo wake..

Kuna sehemu nimeona mtumishi wa Umma idara ya Afya ni Rastafari, hili kwenye utumishi wa Umma halina shida?
 
Yes mkuu huku nikifuga rasta wananiletea nongwa , imenibidi kuvaa tu baragashia ili kuficha Rasta zangu.
 
Ni hatua nzuri kuelekea uhuru wa kuabudu, lakini sisi marastafari hatukubaliani na hayo masharti ya kupata vibali. Huko ni bado kumpa mtu uhuru kamili wa kuabudu. Mi nikiamua kuwa rastafari na kufuga rasta we ni nani wa kunipa masharti yote hayo ya kufuata?
 
Inabidi kuwa hivyo mfano bodaboda wanaharibu maana ya Rasta.
 
Rasta ni utamaduni wa kiafrika, sasa hawa wanahubiri tufuate utamaduni huku wanaupinga!!! Unafiki mkubwa. Juzi nimeshangaa kuwa kumbe wazaramo zamani hata wanaume walikuwa wanasuka nywele. Leo hii tukiona mwanaume amesuka tutaambiwa siyo utamaduni wa muafrika.
 
Tofautisheni ushoga na Rastafarian nyie mpo Kama mashoga. Na sio rasta kiimani
 
Hawaharibu. Rasta ni asili yetu waafrika. Kitendo tu cha mtu kuomba kibali ili afuge rasta ni kwenda kinyume na maadili yetu na utumwa wa kitamaduni.
Hapa Tz hizo Rasta zenu mnanyoa pembeni ni ushoga na sio rasta
 
Ni hatua nzuri kuelekea uhuru wa kuabudu, lakini sisi marastafari hatukubaliani na hayo masharti ya kupata vibali. Huko ni bado kumpa mtu uhuru kamili wa kuabudu. Mi nikiamua kuwa rastafari na kufuga rasta we ni nani wa kunipa masharti yote hayo ya kufuata?
Hakuna alikulazimisha kuhudhuria shule ya seeikali. Anzisha shule yako.
 
Back
Top Bottom