Wizara ya Elimu: Wanafunzi wa imani ya Rastafari kusoma wakiwa na rasta asili

Wizara ya Elimu: Wanafunzi wa imani ya Rastafari kusoma wakiwa na rasta asili

Hivi mwendazake hakupata hii barua/taarifa kweli na atoe maoni/mtazamo wake..

Kuna sehemu nimeona mtumishi wa Umma idara ya Afya ni Rastafari, hili kwenye utumishi wa Umma halina shida?

Nadhani hili halikupigiwa sana kelele kipindi chake!
Angelisemea tu jukwaani!
Kuna mmoja pia, nilimuona ni Rastafari!!
 
Back
Top Bottom