Wizara ya Elimu: Wanafunzi wa imani ya Rastafari kusoma wakiwa na rasta asili

Wizara ya Elimu: Wanafunzi wa imani ya Rastafari kusoma wakiwa na rasta asili

Ni hatua nzuri kuelekea uhuru wa kuabudu, lakini sisi marastafari hatukubaliani na hayo masharti ya kupata vibali. Huko ni bado kumpa mtu uhuru kamili wa kuabudu. Mi nikiamua kuwa rastafari na kufuga rasta we ni nani wa kunipa masharti yote hayo ya kufuata?
Wanafanya hivyo ili kudhibiti watakaomua kujifugia tu bila kuwa Rasta.
 
na mtu akijifugia kuna tatizo gani? Huo si ndiyo utamaduni wetu waafrika. Kijana wa kimasai anaruhusiwa kuwa na rasta shuleni?
Uniform,usafi na malezi.....sijajua kama miongozo inaruhusu watumishi wa uma kuwa Rasta...kwahiyo hayo malezi nadhan wanaanza kuyatekeleza ukiwa shuleni.
 
Its well and good..., To each his / her own....

Usilazimishe Imani yako au unachokiona sawa kiwe sawa kwa wengine; so long as hazinuki wala kuwabughudhi wala kuwaziba wengine wasiweze kuona ubao sioni tatizo,....
 
Jamani someni na hii hapa

View attachment 2480317
Mimi genius nataka kuwafumbueni macho ...NYUMA YA KIVULI CHA RASTAFARI KUNA USHOGA AMBAO NI TUNU YA CCM KWA SASA HIVYO KUSINGIZIA RASTAFARI NI KISINGIZIO TU CHA KUBUST WATOTO WA KIUME KUJIREMBA KAMA WANAWAKE HIVYO TAMAA YA MABASHA WA CCM KUTIMIA ....mimi binafsi hata HIJABU kwa wanafunzi napinga ni upumbavu tu wanafunzi wa sikuizi wamekuwa wachafu kwa sababu ya mahijabu ....nashauri zuzu sa100 kupiga marufuku vazi la hijabu mashuleni haraka sana . Wanafunzi wavae kama zamani tu ...mbona majeshini hakuna huo upumbavu wa mavazi
 
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sana

Hivi mwendazake hakupata hii barua/taarifa kweli na atoe maoni/mtazamo wake..

Kuna sehemu nimeona mtumishi wa Umma idara ya Afya ni Rastafari, hili kwenye utumishi wa Umma halina shida?
Kwani rasta za kina mama zina shida gani?
 
Hakika Mama Anaupiga Mwingi

Je sisi waalimu je? Maana nataka kufuga rasta hila nahofia hii Ajira yangu uchwara ya ualimu maana Mimi Ni Rastafarian bealiver japo situmii Bangi.
We ni Mwalimu kweli? Mbona hata Barua hujasoma vizuri na unasema mama anaupiga mwingi? Angalia kwanza barua ni ya lini
 
Hakika Mama Anaupiga Mwingi

Je sisi waalimu je? Maana nataka kufuga rasta hila nahofia hii Ajira yangu uchwara ya ualimu maana Mimi Ni Rastafarian bealiver japo situmii Bangi.
Labda ras mtima nyongo
 
Ni hatua nzuri kuelekea uhuru wa kuabudu, lakini sisi marastafari hatukubaliani na hayo masharti ya kupata vibali. Huko ni bado kumpa mtu uhuru kamili wa kuabudu. Mi nikiamua kuwa rastafari na kufuga rasta we ni nani wa kunipa masharti yote hayo ya kufuata?
Unyanyapaa wa kijinga sana, waislamu hupewa kibali wapi kuvaa hijab? Muafrika bado ni mtumwa.
 
Rasta ni utamaduni wa kiafrika, sasa hawa wanahubiri tufuate utamaduni huku wanaupinga!!! Unafiki mkubwa. Juzi nimeshangaa kuwa kumbe wazaramo zamani hata wanaume walikuwa wanasuka nywele. Leo hii tukiona mwanaume amesuka tutaambiwa siyo utamaduni wa muafrika.

Uzungu na uarabu umeharibu tamaduni za mwafrika
 
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sana
Bora mimi mjinga kuliko nyinyi wapumbafuu ....sasa kila mtu akija na dini yake kutakuwa na shule kweli kesho ikija dini ya kutembea tako moja uchi kisha wapuuzi wa sisiemu wakakubali wenye hiyo dini kufuata huo mfumo mashuleni ....wewe unaonaje ..wakristo wakitaka kitimoto kipikwe shuleni au nguruwe wafugwe mashuleni wewe unasemaje
 
Back
Top Bottom