Wanafanya hivyo ili kudhibiti watakaomua kujifugia tu bila kuwa Rasta.Ni hatua nzuri kuelekea uhuru wa kuabudu, lakini sisi marastafari hatukubaliani na hayo masharti ya kupata vibali. Huko ni bado kumpa mtu uhuru kamili wa kuabudu. Mi nikiamua kuwa rastafari na kufuga rasta we ni nani wa kunipa masharti yote hayo ya kufuata?
na mtu akijifugia kuna tatizo gani? Huo si ndiyo utamaduni wetu waafrika. Kijana wa kimasai anaruhusiwa kuwa na rasta shuleni?Wanafanya hivyo ili kudhibiti watakaomua kujifugia tu bila kuwa Rasta.
Uniform,usafi na malezi.....sijajua kama miongozo inaruhusu watumishi wa uma kuwa Rasta...kwahiyo hayo malezi nadhan wanaanza kuyatekeleza ukiwa shuleni.na mtu akijifugia kuna tatizo gani? Huo si ndiyo utamaduni wetu waafrika. Kijana wa kimasai anaruhusiwa kuwa na rasta shuleni?
Ndio maana unatakiwa kufuata sheria. Acha kuleta bangi zako.Shule za serikali ni za wote, zinaendeshwa kwa kodi zetu. siyo za babaako.
Sheria zinatakiwa kuwa za haki. usikariri tu kufuata sheria, kufuata sheria, je ni za haki?Ndio maana unatakiwa kufuata sheria. Acha kuleta bangi zako.
Acha bange, rastafari ni imani, same to singasinga na hatuwezi kusema tuwajengee shule zao Jamii zote hizi.Na bado tutaruhusiwa kupiga na kitu cha Arusha. Nchi yetu sote
Mimi genius nataka kuwafumbueni macho ...NYUMA YA KIVULI CHA RASTAFARI KUNA USHOGA AMBAO NI TUNU YA CCM KWA SASA HIVYO KUSINGIZIA RASTAFARI NI KISINGIZIO TU CHA KUBUST WATOTO WA KIUME KUJIREMBA KAMA WANAWAKE HIVYO TAMAA YA MABASHA WA CCM KUTIMIA ....mimi binafsi hata HIJABU kwa wanafunzi napinga ni upumbavu tu wanafunzi wa sikuizi wamekuwa wachafu kwa sababu ya mahijabu ....nashauri zuzu sa100 kupiga marufuku vazi la hijabu mashuleni haraka sana . Wanafunzi wavae kama zamani tu ...mbona majeshini hakuna huo upumbavu wa mavazi

Kwani rasta za kina mama zina shida gani?Hivi mwendazake hakupata hii barua/taarifa kweli na atoe maoni/mtazamo wake..
Kuna sehemu nimeona mtumishi wa Umma idara ya Afya ni Rastafari, hili kwenye utumishi wa Umma halina shida?
Hata kuropoka ropoka kama unavyoropoka ni ushogaHapa Tz hizo Rasta zenu mnanyoa pembeni ni ushoga na sio rasta
We ni Mwalimu kweli? Mbona hata Barua hujasoma vizuri na unasema mama anaupiga mwingi? Angalia kwanza barua ni ya liniHakika Mama Anaupiga Mwingi
Je sisi waalimu je? Maana nataka kufuga rasta hila nahofia hii Ajira yangu uchwara ya ualimu maana Mimi Ni Rastafarian bealiver japo situmii Bangi.
Si ndio hapo , amekurupuka tu huyu ticha uchwaraWe ni Mwalimu kweli? Mbona hata Barua hujasoma vizuri na unasema mama anaupiga mwingi? Angalia kwanza barua ni ya lini
Labda ras mtima nyongoHakika Mama Anaupiga Mwingi
Je sisi waalimu je? Maana nataka kufuga rasta hila nahofia hii Ajira yangu uchwara ya ualimu maana Mimi Ni Rastafarian bealiver japo situmii Bangi.
Unyanyapaa wa kijinga sana, waislamu hupewa kibali wapi kuvaa hijab? Muafrika bado ni mtumwa.Ni hatua nzuri kuelekea uhuru wa kuabudu, lakini sisi marastafari hatukubaliani na hayo masharti ya kupata vibali. Huko ni bado kumpa mtu uhuru kamili wa kuabudu. Mi nikiamua kuwa rastafari na kufuga rasta we ni nani wa kunipa masharti yote hayo ya kufuata?
Rasta ni utamaduni wa kiafrika, sasa hawa wanahubiri tufuate utamaduni huku wanaupinga!!! Unafiki mkubwa. Juzi nimeshangaa kuwa kumbe wazaramo zamani hata wanaume walikuwa wanasuka nywele. Leo hii tukiona mwanaume amesuka tutaambiwa siyo utamaduni wa muafrika.
Bora mimi mjinga kuliko nyinyi wapumbafuu ....sasa kila mtu akija na dini yake kutakuwa na shule kweli kesho ikija dini ya kutembea tako moja uchi kisha wapuuzi wa sisiemu wakakubali wenye hiyo dini kufuata huo mfumo mashuleni ....wewe unaonaje ..wakristo wakitaka kitimoto kipikwe shuleni au nguruwe wafugwe mashuleni wewe unasemajeHakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sana
Nchi hii na hii hali ya maharage Kg 3,800/= siku ikifika wakaruhusu bangi hakuna atakayekuwa mzima maana wothe watawehuka.Na bado tutaruhusiwa kupiga na kitu cha Arusha. Nchi yetu sote