Freyzem JF-Expert Member Joined Jun 29, 2013 Posts 10,120 Reaction score 24,667 Jan 14, 2023 #41 Mwifwa said: Hivi mwendazake hakupata hii barua/taarifa kweli na atoe maoni/mtazamo wake.. Kuna sehemu nimeona mtumishi wa Umma idara ya Afya ni Rastafari, hili kwenye utumishi wa Umma halina shida? Click to expand... Nadhani hili halikupigiwa sana kelele kipindi chake! Angelisemea tu jukwaani! Kuna mmoja pia, nilimuona ni Rastafari!!
Mwifwa said: Hivi mwendazake hakupata hii barua/taarifa kweli na atoe maoni/mtazamo wake.. Kuna sehemu nimeona mtumishi wa Umma idara ya Afya ni Rastafari, hili kwenye utumishi wa Umma halina shida? Click to expand... Nadhani hili halikupigiwa sana kelele kipindi chake! Angelisemea tu jukwaani! Kuna mmoja pia, nilimuona ni Rastafari!!