Wizara ya elimu yakana kuwapima mimba watoto wa kike kwa lazima, yasema wataendelea na masomo baada ya kujifungua

Si kweli..
Huyu ni Zitto huyuu
 
Ila hao wanasiasa wanaotaka watoto wapigwe mimba, je watoto wao washapigwa mimba?
 
Sitaki kufahamu zaidi undani wa barua ya Wizara iliyoandikwa kwa kiingereza kwa ajili ya Watanzania ila najikita kwenye mfano mzuri wa madhara yatokanayo na kupenda mikopo na misaada ya "mabeberu": huko wilaya ya Ilelela kata ya Kiseke jijini Mwanza kuna wazungu walianzisha kituo cha "wasichana waliopata ujauzito ghafla na bahati mbaya" kwa jina la AMANI GIRLS HOME jambo la kushangaza ni kuwa mitaa yote inayozunguka kituo hicho kila wasichana 10 wenye umri wa miaka 16 hadi 20, kati yao 8 wanalea mtoto 1 au 2 asiye na baba...na bado wanashindana kufyatua ili wapate misaada kutoka kituo hicho na wafadhiri wanafurahi kuona namba ya walengwa inaongezeka!

Najiuliza kama watetezi wa ujinga huu wangependa janga hili liingie majumbani mwao!
 
Wameifuta kwenye website ile taarifa ya awali kisha wakaweka nyingine. Nimezi attach zote mbili, itakua maagizo toka juu.
 
Acha ujuaji, hiyo ni taarifa tu. Ukitaka hizo 'shall' nenda kasome sera ya elimu.
Opportunity mzee ni fulsa , na ukisema fulsa maana yke nikwenda qt, vetta nk. Kama wangetumia shall basi tungesema serikari imesalim amri! Maana ingekuwa lazima.

Kwahiyo hiyo barua mpaka uwe mweledi kuisoma lakini uwe unajua kuvunja mayai kisawasawa vinginevyo unaweza kubeba jiwe lakuponda mwizi hafu likakomea juu baada yakuona sura ya mwizi😎😎
 
Kimetekelezwa nini?Kuna kilichobadilika kutokana na misimamo ya serikali dhidi ya wenye MIMBA kurudi shule?Hayo ya kwenye tamko ni mapya?Hata hiyo Barua aliyotafsiri jamaa kawaingiza chaka coz iko clear serikali haijasalim amri

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Nenda ka download sera ya 2014 acha uvivu, ukiipata soma kipengele 3.3 kisha uje uendelee kubisha.
Sera ya nini wakati tamko liko hapa na umeleta mwenyewe?Kwamba shida ni Lugha au nini?

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Katibu amebadili gia angani, soma tena uzi linganisha hizo nyaraka mbili. Atakua kapigiwa simu na mzee baba.
Ingia wizara ya Elimu, Hiyo barua sio ya leo. Pili Hata barua uliyopost mbona iko wazi?Shida ni Lugha au nini?

Senti bai yuzingi tecno T301
 
πŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
 
Wameifuta kwenye website ile taarifa ya awali kisha wakaweka nyingine. Nimezi attach zote mbili, itakua maagizo toka juu.
Hata hiyo ya awali mbona iko clear na Hakuna kilichobadilika?Mkuu hujui kiingilish?

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Wewe hata hiyo Barua ya kwanza mbon iko clear?Shida lugha?

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Wanaongea vitu wasivyovijua.Hata huo waraka hakuna kilichobadilika ila kwakua Tanzania Lugha ya Malkia ni shida ndio maana wanaongea vitu vya ajabu ajabu.

Senti bai yuzingi tecno T301

..usilaumu upande mmoja.

..kweli inawezekana tatizo ni uelewa wa WASOMAJI.

..lakini pia inawezekana MUANDISHI naye ana matatizo na lugha ya watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…