Wizara ya elimu yakana kuwapima mimba watoto wa kike kwa lazima, yasema wataendelea na masomo baada ya kujifungua

Wizara ya elimu yakana kuwapima mimba watoto wa kike kwa lazima, yasema wataendelea na masomo baada ya kujifungua

Ni kweli hawajaweka full commitment. Lakini sera ya elimu iliyopo na inayotumika sasa inataka watoto wakishajifungua warudi shule ileile waliyokuwa wanasoma.
Na the right time hua ni mwaka wa masomo unaofuata, yaani mtoto atarudia darasa.
Perfect, let it be documented as a rule/law and not somebody's mercy!
 
Hahahaha...hakuna tena yale matangazo ya boda boda na wanafunzi wanaosoma.
Pale mwanafunzi anapombwambia bodaboda mtuache tusome mtafungwaa msyuuu..Mabeberu shikamoo ndo kisa wanataka $500M..
 
Kweli mabeberu wananguvu aisee,mbwembe zoote zile na ku jimwambafy kote kumbe mbele kiza kinene!! Jamaa ameufyata amekuwa mdogoo kama piliton...ooh sisi hatupangiwi ni nchi huru sasa yako wapi? China mwenyewe kaufyata sembuse sisi!
 
Katika kile kinachoonekana kama kupiga hatua kwenye uelekeo sahihi, wizara ya elimu kupitia katibu mkuu wake Dr. Leonard Akwilapo imekanusha madai ya kuwa watoto wa kike waliopo mashuleni watapimwa mimba kwa lazima.

Taarifa hiyo iliyotolewa tarehe 06-03-2020 imefafanua kuwa kauli ya kuwapima mimba wanafunzi haikutoka wizara ya elimu, na pia hakuna sera wala sheria yoyote inayowaelekeza wakuu wa shule au mamlaka nyingine yeyote kuwapima mimba kwa lazima wanafunzi wa kike.

Pia kwenye taarifa hiyo, wizara imesema mwanafunzi atakaye bainika kuwa na ujauzito, atapewa muda wa kutosha kumttunza mtoto wake mchanga na baadaye katika muda sahihi ataruhusiwa kuendelea na masomo.
View attachment 1381582
"Na baada ya kujifungua ataruhusiwa kuendelea na elimu yake katika wakati muafaka. Aidha, serikali ina mifuko tayari ya kuwasaidia wale wote wanashindwa kuendelea na elimu yao."
Hapa kuna changa la macho maana huo muda muafaka haujawekwa wazi na aina ya elimu atakayoruhusiwa kupata binti anaepata uja uzito haijatajwa. Hamna uhakika kuwa binti mwenye ndoto ya kuendelea na masomo yake katika shule za kawaida za serikali atapewa nafasi hiyo. Sitashangaa kama anaambiwa aende VETA akasomea kupaka rangi nyumba, fundi Melania, upishi n.k. Kama ana ndoto na uwezo wa kuwa Daktari au Injinia ndio asahau.

Amandla...
 
Kweli mabeberu wananguvu aisee,mbwembe zoote zile na ku jimwambafy kote kumbe mbele kiza kinene!! Jamaa ameufyata amekuwa mdogoo kama piliton...ooh sisi hatupangiwi ni nchi huru sasa yako wapi? China mwenyewe kaufyata sembuse sisi!
Naona watu mnajenga matumaini yasiyokuwepo. Ukisoma kwa makini, barua hii haionyeshi serikali kujirudi baada ya kubanwa na Mabeberu na hasa ukiangalia kifungu cha mwisho. Hakuna kinachobadilika katika sera ya elimu ya sasa bado mtoto anayepata mimba ataweza kuendelea na masomo lakini sio kupitia mfumo rasmi wa elimu bali kwa kile serikali inachokiita "Education through alternative path"

shule.jpg
 
Katika kile kinachoonekana kama kupiga hatua kwenye uelekeo sahihi, wizara ya elimu kupitia katibu mkuu wake Dr. Leonard Akwilapo imekanusha madai ya kuwa watoto wa kike waliopo mashuleni watapimwa mimba kwa lazima.

Taarifa hiyo iliyotolewa tarehe 06-03-2020 imefafanua kuwa kauli ya kuwapima mimba wanafunzi haikutoka wizara ya elimu, na pia hakuna sera wala sheria yoyote inayowaelekeza wakuu wa shule au mamlaka nyingine yeyote kuwapima mimba kwa lazima wanafunzi wa kike.

Pia kwenye taarifa hiyo, wizara imesema mwanafunzi atakaye bainika kuwa na ujauzito, atapewa muda wa kutosha kumttunza mtoto wake mchanga na baadaye katika muda sahihi ataruhusiwa kuendelea na masomo.
View attachment 1381582

Hii habari nzuri
Natumai na ile sharia ya miaka 30 sasa itafutiliwa mbali ili baba kijacho aweze jipanga kuwa mlezi bora huku mama akipiga kitabu kama kawaida.
Sasa wale walio fungwa na kushitakiwa kwa sababu hii wanaweza onana na DPP kupanga jinsi ya kumaliza kesi
Wabunge msituangushe.
 
Naona watu mnajenga matumaini yasiyokuwepo. Ukisoma kwa makini, barua hii haionyeshi serikali kujirudi baada ya kubanwa na Mabeberu na hasa ukiangalia kifungu cha mwisho. Hakuna kinachobadilika katika sera ya elimu ya sasa bado mtoto anayepata mimba ataweza kuendelea na masomo lakini sio kupitia mfumo rasmi wa elimu bali kwa kile serikali inachokiita "Education through alternative path"

View attachment 1381789
"At the right time the subject will be given opportunity to continue with her Education"

Hapa mkuu umeelewa nini? Aende Veta au arudi alipokuwa anasoma aendelee na shule?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo opportunity ndiyo inayoelezwa paragraph ya mwisho kabisa isome vizuri tena at inapatikana katika "wakati sahihi" sio mara baada ya kujifungua
 
Hiyo opportunity ndiyo inayoelezwa paragraph ya mwisho kabisa isome vizuri tena at inapatikana katika "wakati sahihi" sio mara baada ya kujifungua
Mkuu huoni huo waraka una mkanganyiko?

Serekali ina opportunity gani kwa mtoto aliyepata mimba?

Mtoto akipata mimba anafukuzwa end of story. Kwenda private/Veta sio government opportunity.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huoni huo waraka una mkanganyiko?

Serekali ina opportunity gani kwa mtoto aliyepata mimba?

Mtoto akipata mimba anafukuzwa end of story. Kwenda private/Veta sio government opportunity.

Sent using Jamii Forums mobile app
Veta, Vyuo vya maendeleo ya Jamii, Adult Education n.k. ni vyuo vya serikali na kwa mfumo wa sasa pamoja na masomo ya ufundi vyuo hivi vinatoa elimu ya form I hadi IV, na hata hizo QT na Private secondary Schools pamoja na kuwa ni shule za watu binafsi, lakini bado ni fulsa inayotolewa na serikali ku kutambua uwepo wao na kuruhusu kufanya mitihani yake ni swala la uelewa tu.
 
Wataendelea wapi kwa wewe unavyofahamu?
Kiukweli serikali haijawahi kumzuia mwanafunzi aliyeamua kuwa mzazi nafasi yakuendelea na masomo.
Ila hata soma tena nawatoto wenzie kwani anakuwa kapanda cheo na kuwa mtu mzima.
Ataendelea na elimu ya watu wazima kama ilivyo kawaida. Huu ndio utaratibu wetu tangu zamani.
 
The position remains the same.

Someni kwa makini hiyo aya ya mwisho... "The Government has systems in place that support out-of-school children who drop-out due to various reasons"

Hizo systems ni zile zile za tangu awali:

*MEMKWA (COBET)... for primary education.

*QUALIFYING TEST (QT)... for secondary education.

Mtoto anayehitimu kwa system hizo tajwa, akifaulu, anakuwa awarded the same Certificate kama wengine tu. Kisha mtoto anajoin Chuo kama kawaida.

Kimsingi, hiyo mifumo tajwa, ni rasmi na ipo mashuleni nchini kote Tanzania. Kila shule ya Msingi ina madarasa (vipindi) kwaajili ya wanafunzi wa MEMKWA. Na shule za Secondary zina vituo vya QT.

Kuna wanafunzi wengi tu leo hii wapo Vyuoni, na wametokea kwenye mifumo hiyo.

Mimi nina mfano hai kabisa. Nina ndugu yangu wa kike aliishia darasa la Saba, akaolewa. Amekuja baadaye kujiendeleza elimu ya Secondary kupitia mfumo wa QT. Mwaka juzi tulishuhudia Graduation yake pale Chuo cha Ustawi at Mwenge DSM.

So, frankly speaking, those mentioned education systems ipo na inafunction kabisa.

Changamoto kubwa kwenye mifumo hiyo ni kwamba the Government does NOT allocate adequate funding to facilitate such Programs at Schools.

-Kaveli-
 
Kiukweli serikali haijawahi kumzuia mwanafunzi aliyeamua kuwa mzazi nafasi yakuendelea na masomo.
Ila hata soma tena nawatoto wenzie kwani anakuwa kapanda cheo na kuwa mtu mzima.
Ataendelea na elimu ya watu wazima kama ilivyo kawaida. Huu ndio utaratibu wetu tangu zamani.
Angalau wewe umesema ukweli.

Ukipata mimba serekali inakufukuza kwenye mfumo wake wa elimu.

Ina maana ni mzazi kwenda private au Veta, ambayo huwezi kusema ni government opportunity.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamesalimu amri, haya yote yameletwa na wao. Walitaka ugomvi wa mawe wakisahau kuwa wanaishi nyumba ya vioo. Kuna mtu alijimwambafai na ndiyo chanzo cha shida yote hii. Nani alikuwa hajui kuwa mtoto akipata mimba ndiyo shule bye bye mpaka utangazie dunia!!! Sasa wamepigwa za uso....kiherehere chote kushney

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Veta, Vyuo vya maendeleo ya Jamii, Adult Education n.k. ni vyuo vya serikali na kwa mfumo wa sasa pamoja na masomo ya ufundi vyuo hivi vinatoa elimu ya form I hadi IV, na hata hizo QT na Private secondary Schools pamoja na kuwa ni shule za watu binafsi, lakini bado ni fulsa inayotolewa na serikali ku kutambua uwepo wao na kuruhusu kufanya mitihani yake ni swala la uelewa tu.
Yani shule ya private nayo ni opportunity ya serekali?

Tuhitimishe kwa kutokukubaliana mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom