Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Perfect, let it be documented as a rule/law and not somebody's mercy!Ni kweli hawajaweka full commitment. Lakini sera ya elimu iliyopo na inayotumika sasa inataka watoto wakishajifungua warudi shule ileile waliyokuwa wanasoma.
Na the right time hua ni mwaka wa masomo unaofuata, yaani mtoto atarudia darasa.
Mkuu bepari ni bepari tuu anajua jinsi ya kukuminya ukose pumzi
Hii inaitwa ruti ndefu pumzi fupi
Sent using Jamii Forums mobile app
"Na baada ya kujifungua ataruhusiwa kuendelea na elimu yake katika wakati muafaka. Aidha, serikali ina mifuko tayari ya kuwasaidia wale wote wanashindwa kuendelea na elimu yao."Katika kile kinachoonekana kama kupiga hatua kwenye uelekeo sahihi, wizara ya elimu kupitia katibu mkuu wake Dr. Leonard Akwilapo imekanusha madai ya kuwa watoto wa kike waliopo mashuleni watapimwa mimba kwa lazima.
Taarifa hiyo iliyotolewa tarehe 06-03-2020 imefafanua kuwa kauli ya kuwapima mimba wanafunzi haikutoka wizara ya elimu, na pia hakuna sera wala sheria yoyote inayowaelekeza wakuu wa shule au mamlaka nyingine yeyote kuwapima mimba kwa lazima wanafunzi wa kike.
Pia kwenye taarifa hiyo, wizara imesema mwanafunzi atakaye bainika kuwa na ujauzito, atapewa muda wa kutosha kumttunza mtoto wake mchanga na baadaye katika muda sahihi ataruhusiwa kuendelea na masomo.
View attachment 1381582
Naona watu mnajenga matumaini yasiyokuwepo. Ukisoma kwa makini, barua hii haionyeshi serikali kujirudi baada ya kubanwa na Mabeberu na hasa ukiangalia kifungu cha mwisho. Hakuna kinachobadilika katika sera ya elimu ya sasa bado mtoto anayepata mimba ataweza kuendelea na masomo lakini sio kupitia mfumo rasmi wa elimu bali kwa kile serikali inachokiita "Education through alternative path"Kweli mabeberu wananguvu aisee,mbwembe zoote zile na ku jimwambafy kote kumbe mbele kiza kinene!! Jamaa ameufyata amekuwa mdogoo kama piliton...ooh sisi hatupangiwi ni nchi huru sasa yako wapi? China mwenyewe kaufyata sembuse sisi!
Katika kile kinachoonekana kama kupiga hatua kwenye uelekeo sahihi, wizara ya elimu kupitia katibu mkuu wake Dr. Leonard Akwilapo imekanusha madai ya kuwa watoto wa kike waliopo mashuleni watapimwa mimba kwa lazima.
Taarifa hiyo iliyotolewa tarehe 06-03-2020 imefafanua kuwa kauli ya kuwapima mimba wanafunzi haikutoka wizara ya elimu, na pia hakuna sera wala sheria yoyote inayowaelekeza wakuu wa shule au mamlaka nyingine yeyote kuwapima mimba kwa lazima wanafunzi wa kike.
Pia kwenye taarifa hiyo, wizara imesema mwanafunzi atakaye bainika kuwa na ujauzito, atapewa muda wa kutosha kumttunza mtoto wake mchanga na baadaye katika muda sahihi ataruhusiwa kuendelea na masomo.
View attachment 1381582
Mabeberu si watu wa mchezo mchezoWamebana wameachia CHEZEA UMASIKINI WEWE.. oooh tuna pesa zetu unakurupuka kutoka huko eti siwezi kutegemea wafadhili
"At the right time the subject will be given opportunity to continue with her Education"Naona watu mnajenga matumaini yasiyokuwepo. Ukisoma kwa makini, barua hii haionyeshi serikali kujirudi baada ya kubanwa na Mabeberu na hasa ukiangalia kifungu cha mwisho. Hakuna kinachobadilika katika sera ya elimu ya sasa bado mtoto anayepata mimba ataweza kuendelea na masomo lakini sio kupitia mfumo rasmi wa elimu bali kwa kile serikali inachokiita "Education through alternative path"
View attachment 1381789
Hiyo opportunity ndiyo inayoelezwa paragraph ya mwisho kabisa isome vizuri tena at inapatikana katika "wakati sahihi" sio mara baada ya kujifungua"At the right time the subject will be given opportunity to continue with her Education"
Hapa mkuu umeelewa nini? Aende Veta au arudi alipokuwa anasoma aendelee na shule?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huoni huo waraka una mkanganyiko?Hiyo opportunity ndiyo inayoelezwa paragraph ya mwisho kabisa isome vizuri tena at inapatikana katika "wakati sahihi" sio mara baada ya kujifungua
Veta, Vyuo vya maendeleo ya Jamii, Adult Education n.k. ni vyuo vya serikali na kwa mfumo wa sasa pamoja na masomo ya ufundi vyuo hivi vinatoa elimu ya form I hadi IV, na hata hizo QT na Private secondary Schools pamoja na kuwa ni shule za watu binafsi, lakini bado ni fulsa inayotolewa na serikali ku kutambua uwepo wao na kuruhusu kufanya mitihani yake ni swala la uelewa tu.Mkuu huoni huo waraka una mkanganyiko?
Serekali ina opportunity gani kwa mtoto aliyepata mimba?
Mtoto akipata mimba anafukuzwa end of story. Kwenda private/Veta sio government opportunity.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiukweli serikali haijawahi kumzuia mwanafunzi aliyeamua kuwa mzazi nafasi yakuendelea na masomo.Wataendelea wapi kwa wewe unavyofahamu?
Angalau wewe umesema ukweli.Kiukweli serikali haijawahi kumzuia mwanafunzi aliyeamua kuwa mzazi nafasi yakuendelea na masomo.
Ila hata soma tena nawatoto wenzie kwani anakuwa kapanda cheo na kuwa mtu mzima.
Ataendelea na elimu ya watu wazima kama ilivyo kawaida. Huu ndio utaratibu wetu tangu zamani.
Yani shule ya private nayo ni opportunity ya serekali?Veta, Vyuo vya maendeleo ya Jamii, Adult Education n.k. ni vyuo vya serikali na kwa mfumo wa sasa pamoja na masomo ya ufundi vyuo hivi vinatoa elimu ya form I hadi IV, na hata hizo QT na Private secondary Schools pamoja na kuwa ni shule za watu binafsi, lakini bado ni fulsa inayotolewa na serikali ku kutambua uwepo wao na kuruhusu kufanya mitihani yake ni swala la uelewa tu.