Wizara ya elimu yakana kuwapima mimba watoto wa kike kwa lazima, yasema wataendelea na masomo baada ya kujifungua

Wizara ya elimu yakana kuwapima mimba watoto wa kike kwa lazima, yasema wataendelea na masomo baada ya kujifungua

Rudia kusoma, kama hauoni tofauti unalo tatizo mahala.
Mkuu lugha inakusumbua sana. Barua ya kwanza iko clear kabisa na hamna serikali iliposalim amri. Labda tueleze aya gani au quote hapo unapoona serikali imebadili msimamo ktk hiyo Barua yako ya kwanza.

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Opportunity mzee ni fulsa , na ukisema fulsa maana yke nikwenda qt, vetta nk. Kama wangetumia shall basi tungesema serikari imesalim amri! Maana ingekuwa lazima.

Kwahiyo hiyo barua mpaka uwe mweledi kuisoma lakini uwe unajua kuvunja mayai kisawasawa vinginevyo unaweza kubeba jiwe lakuponda mwizi hafu likakomea juu baada yakuona sura ya mwizi[emoji41][emoji41]
Huyo jamaa Lugha imamsumbua sana

Senti bai yuzingi tecno T301
 
..usilaumu upande mmoja.

..kweli inawezekana tatizo ni uelewa wa WASOMAJI.

..lakini pia inawezekana MUANDISHI naye ana matatizo na lugha ya watu.
Unaweza onesha wapi muandishi kachemka au hajaeleweka?Shida iliyopo hapo ni LUGHA.

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Angalia vizuri, wamebadilisha tangazo, lile la awali lilikua na implication kuwa watoto wangepewa nafasi ya kuendelea na masomo, BTW hata wanaochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza ni 'opportunity', huwezi kuifunga serikali ikikunyima nafasi hiyo. Hakunaga 'shall' kwenye mambo haya.
Soma vizuri hiyo Barua yako ya kwanza, Wataendelea na masomo ktk mfumo upi?Jibu liko kwenye kamstari ka Mwisho kabisa. MKUU LUGHA INAKUSUMBUA SANA.

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Unadhani kwanini wametoa ya pili?
Hiyo ya Pili ni kujazia nyama tu lkn HIYO ya kwanza kama LUGHA inapanda huwezi sema serikali imesalim amri ya mabeberu. Sijui lkn kama LUGHA inapanda.

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Kiazi kweli wewe, katibu mkuu analazimika kutoa barua ya pili na kuifuta ile ya awali wewe unasema ziko sawa, watanzania mnashida vichwani.
Barua umepost mwenyewe na uzuri wake unayo. Unaweza kuquote wapi serikali imebadili msimamo?Hivi Lugha inapanda kweli wewe?Mimi hata bila kusoma hiyo ya Pili,ya kwanza tu HAKUNA tafsiri kama uliyoleta humu.

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Mafataki hoyeeeeee. Waliwaogopesha kuwa mtafungwa. Sasa mlango huoooooo. Kama atakuachia tu mtoto umlee shida iko wapi wakati kabla hajamaliza form two weka ingine. Mkuu si alisema; Fyatueni atawasomesha bure??
 
..kuongea au kuandika Kiingereza ni UTUMWA.
Sawa lkn mtoa mada ni miongoni mwa wanaotoaga povu humu watu wakichemka kiingilish. Hata bila Barua ya Pili, hiyo ya kwanza yenyewe iko clear tu na ni tofaut na maoni ya wasiojua lugha kuchangia kitu wasichojua.

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Hongera kwa rais wa awamu ya tano jemedari jpm na serikali.
 
Kiazi kweli wewe, katibu mkuu analazimika kutoa barua ya pili na kuifuta ile ya awali wewe unasema ziko sawa, watanzania mnashida vichwani.
Unaelewa maana yake nini Hapo?
20200309_203315.jpeg

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Sawa lkn mtoa mada ni miongoni mwa wanaotoaga povu humu watu wakichemka kiingilish. Hata bila Barua ya Pili, hiyo ya kwanza yenyewe iko clear tu na ni tofaut na maoni ya wasiojua lugha kuchangia kitu wasichojua.

Senti bai yuzingi tecno T301
Barua ya kwanza inapingana na barua ya pili we kilaza, barua ya kwanza watoto wanarudi kwenye mfumo wa kawaida(school candidate) wakati barua ya pili QT(private candidate) au Ufundi

Quote mahali hiyo barua ya kwanza imesema watoto waende QT or other system

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tunataka waendelee katika formal system ya primary, secondary etc, siyo VETA na upuuzi mwingine
Katika hili la mabint wajawazito kuendelea na masomo nalipinga kwa nguvu zote maana sasa hii nisawa na kuhalalisha watoto wakike wasihofie momba tena bali wafanye zinaa watakavyo huu ni upuuzi wa hali ya juu kabisa hakuta kuwa na nidhamu ya kiuanzafunzi huko shulen maana hakuna cha kuhofia tena .
 
Barua ya kwanza inapingana na barua ya pili we kilaza, barua ya kwanza watoto wanarudi kwenye mfumo wa kawaida(school candidate) wakati barua ya pili QT(private candidate) au Ufundi

Quote mahali hiyo barua ya kwanza imesema watoto waende QT or other system

Sent using Jamii Forums mobile app
Nioneshe hapo wanaposema atarudi ktk mfumo wa kawaida.

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Katika hili la mabint wajawazito kuendelea na masomo nalipinga kwa nguvu zote maana sasa hii nisawa na kuhalalisha watoto wakike wasihofie momba tena bali wafanye zinaa watakavyo huu ni upuuzi wa hali ya juu kabisa hakuta kuwa na nidhamu ya kiuanzafunzi huko shulen maana hakuna cha kuhofia tena .

..mbona vyuoni ngono inaruhusiwa lakini mimba ni chache?
 
Barua ya kwanza inapingana na barua ya pili we kilaza, barua ya kwanza watoto wanarudi kwenye mfumo wa kawaida(school candidate) wakati barua ya pili QT(private candidate) au Ufundi

Quote mahali hiyo barua ya kwanza imesema watoto waende QT or other system

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaelewa nini Hapo?Unaweza onesha sehem serikali iliposema watarudi ktk mfumo wa kawaida?
20200309_203315.jpeg

Senti bai yuzingi tecno T301
 
..mbona vyuoni ngono inaruhusiwa lakini mimba ni chache?
Naomba nikwambie tu huna akili wewe nisamehe kama nimekukwaza ila huna akili kabisa huwezi linganisha mtoto ambaye yupo kwenye maturity na hao walio huko vyuoni ni ufinyu mkubbwa sana wa fikra

Halafu hakuna chuo kinacho ruhusu ngono labda chuo cha kwenu huko uliko na huenda hujapita chuo wewe una story za vijiweni
 
Barua namba moja "the subject will be given the opportunity to continue with her education"(mwisho) unajua maana ya continue wewe?

Barua namba mbili imeeleza wazi "in the prescribed alternative path" unajua maana ya alternative wewe, tena prescribed alternative?

Hicho kipengele ulicho highlight hapo kinamaanisha kuna system ya kurudisha dropout shule na wala hakisemi kuhusu alternative path(rudi kwenye tasfiri ya continues)

Kama unaamini barua namba1 ina maana sawa na barua namba2 bora Meko angetumia hiyo pesa iliyo kusomesha Kenge maji wewe kusomesha hawa watoto walopata kurubuniwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hiyo system ya kurudisha dropout shule ni ipi kama sio hizo Memkwa, QT au VETA?Unafikir mtu aliyeacha shule kwa sababu yyt ile hasa za Mimba au Malazi hurudi shule kwa system ipi kama sio QT,MEMKWA au VETA?Bado barua namba moja iko sahihi na hiyo aya ya chini ina Ujumbe ila kwakua ELIMU ni Ttz ndio maana wakaamua kuja na nyingine simplified.

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Back
Top Bottom