Wizara ya elimu yakana kuwapima mimba watoto wa kike kwa lazima, yasema wataendelea na masomo baada ya kujifungua

Naomba nikwambie tu huna akili wewe nidamehe kama nimekukwaza ila huna akili kabisa huwezi linganisha mtoto ambaye yupo kwenye maturity na hao walio huko vyuoni ni ufinyu mkubbwa sana wa fikra

Halafu hakuna chuo kinacho ruhusu ngono labda chuo cha kwenu huko uliko na huenda hujapita chuo wewe una story za vijiweni

..Nimekusamehe.

..Wala hujanikwaza.

..Chuo Kikuu ngono inaruhusiwa.

..cha msingi ni kutoa ELIMU kwa hawa wanaopitia MATURITY kuhusu madhara na changamoto za mimba za utotoni.

..VITISHO peke yake havisaidii. Pamoja na kitisho cha kuachishwa masomo bado mimba zimekuwa zikiongezeka.

..Pia mimi naamini kwamba hawa watoto wanapaswa kupewa nafasi ya kuendelea na masomo iwe ni sekondari ya kawaida, ufundi, etc etc.
 
Unaelewa nini Hapo?Unaweza onesha sehem serikali iliposema watarudi ktk mfumo wa kawaida?View attachment 1382357

Senti bai yuzingi tecno T301
Post ya juu hapo nilikuuliza kama unajua tafsiri au maana ya neno continue basi acha nikusaidie

Continue "resume after interruption"

Ushawahi pause movie yako nyumbani afu uka play tena? Kama ndio, huwa wanakuandikiaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aya ya Mwisho inasemaje?

Senti bai yuzingi tecno T301
 
..Nimekusamehe.

..Wala hujanikwaza.

..Chuo Kikuu ngono inaruhusiwa.

..cha msingi ni kutoa ELIMU kwa hawa wanaopitia MATURITY kuhusu madhara na changamoto za mimba za utotoni.

..VITISHO peke yake havisaidii. Pamoja na kitisho cha kuachishwa masomo bado mimba zimekuwa zikiongezeka.

..Pia mimi naamini kwamba hawa watoto wanapaswa kupewa nafasi ya kuendelea na masomo iwe ni sekondari ya kawaida, ufundi, etc etc.
Serikali ilisha toa nafasi hiyo na ipo taangu miaka na miaka na wapo walio nufaika nayo hadi sasa, achaneni na mtafuta ugali zitto huyo anaye taka kuuaminisha umma kwamba hakuna nafasi ya binti aliye pata mimba kuendelea na masomo
 
Nikipokua form six pale ifakara Gil's tulikua tunapimwa, unabinyezwa tunbo Hadi unakaribia kuzimia
Katika kile kinachoonekana kama kupiga hatua kwenye uelekeo sahihi, wizara ya elimu kupitia katibu mkuu wake Dr. Leonard Akwilapo imekanusha madai ya kuwa watoto wa kike waliopo mashuleni watapimwa mimba kwa lazima.

Taarifa hiyo iliyotolewa tarehe 06-03-2020 imefafanua kuwa kauli ya kuwapima mimba wanafunzi haikutoka wizara ya elimu, na pia hakuna sera wala sheria yoyote inayowaelekeza wakuu wa shule au mamlaka nyingine yeyote kuwapima mimba kwa lazima wanafunzi wa kike.

Pia kwenye taarifa hiyo, wizara imesema mwanafunzi atakaye bainika kuwa na ujauzito, atapewa muda wa kutosha kumttunza mtoto wake mchanga na baadaye katika muda sahihi ataruhusiwa kuendelea na masomo.
View attachment 1381582

Update
Naona katibu mkuu kabadili gia angani, wameifuta ile taarifa ya awali na kuweka nyingine kama inavyo onekana hapa chini. Ni hatari kwelikweli.
Kwa minajili hiyo msimamo wa serikali ni uleule, watoto wa kike wataendelea kunyimwa fursa ya elimu wakipata mimba.
SAD

View attachment 1382096
CC.
Zitto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rudi kwenye tafsiri ya neno "continue "
Sasa hiyo system ya kurudisha dropout shule ni ipi kama sio hizo Memkwa, QT au VETA?Unafikir mtu aliyeacha shule kwa sababu yyt ile hasa za Mimba au Malazi hurudi shule kwa system ipi kama sio QT,MEMKWA au VETA?Bado barua namba moja iko sahihi na hiyo aya ya chini ina Ujumbe ila kwakua ELIMU ni Ttz ndio maana wakaamua kuja na nyingine simplified.

Senti bai yuzingi tecno T301

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rudi kwenye tafsiri ya neno "continue" ndio tuendelee na hiyo system ya iliyopo
Kama huna SHIDA kichwani na huko shuleni ulikua hukalili, Unaweza niambia serikali hutumia system gani kuwarudisha dropout shule?Kumbuka serikali imesema ina system na sio itaweka system na barua ya Pili hizo system zimeoridheshwa.

Senti bai yuzingi tecno T301

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rudi kwenye tafsiri ya neno "continue "

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaposoma habari usisome kamstari kamoja na kukurupuka kutoa comment. Umeambiwa ataendelea na shule ktk hiyo aya lkn hujaambiwa kwa mfumo gani.Lkn ukisoma aya ya mwisho unaambiwa serikali ina system kwa ajili ya kuwasaidia walioacha shule kutokana na sababu mbalimbali. Tumeona moja ya mifumo ambayo dropout wanatumia kuendelea na shule ni QT n QT inatambua uwepo huu na wengi hutumia mfumo huu.Kwanini huwezi kulink hizi aya mbili?Huko shule ulisomea UJINGA?Ukija barua ya Pili imerahisisha kwa kutaja hizo system lkn kwakua kichwa chako kizito unaona ya Pili inapinga ya kwanza.

Hiyo ya kwanza kama aya ya mwisho isingekuwepo bado swali lingebaki ataendelea ktk mfumo upi?Atarudi Darasa aliloacha au inakuaje?Kitu kizuri aya ya mwisho imejibu kitu ambacho kila siku ndio kinachofanyika

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Rudi kwenye tafsiri ya neno "continue" ndio tuendelee na hiyo system ya iliyopo

Sent using Jamii Forums mobile app
Na ukitaka kujadili tafsiri ya continue maana yake hata hiyo Barua ya pili maneno "in a prescribed alternative paths" Yanatakiwa yasiwepo coz kwa Tafsiri yako continue ni kuendelea pale alipoishia. Kama la tano basi aendelee palepale na logically hata hizo alternative paths ktk aya ya mwisho ilitakiwa zisiorodheshwe ili neno Continue libebe maana kama ulivyoelewa. Sijui kama unanielewa

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Katika kile kinachoonekana kama kupiga hatua kwenye uelekeo sahihi, wizara ya elimu kupitia katibu mkuu wake Dr. Leonard Akwilapo imekanusha madai ya kuwa watoto wa kike waliopo mashuleni watapimwa mimba kwa lazima.

Taarifa hiyo iliyotolewa tarehe 06-03-2020 imefafanua kuwa kauli ya kuwapima mimba wanafunzi haikutoka wizara ya elimu, na pia hakuna sera wala sheria yoyote inayowaelekeza wakuu wa shule au mamlaka nyingine yeyote kuwapima mimba kwa lazima wanafunzi wa kike.

Pia kwenye taarifa hiyo, wizara imesema mwanafunzi atakaye bainika kuwa na ujauzito, atapewa muda wa kutosha kumttunza mtoto wake mchanga na baadaye katika muda sahihi ataruhusiwa kuendelea na masomo.
View attachment 1381582

Update
Naona katibu mkuu kabadili gia angani, wameifuta ile taarifa ya awali na kuweka nyingine kama inavyo onekana hapa chini. Ni hatari kwelikweli.
Kwa minajili hiyo msimamo wa serikali ni uleule, watoto wa kike wataendelea kunyimwa fursa ya elimu wakipata mimba.
SAD

View attachment 1382096
CC.
Zitto

Hatupangiwi!
 
Unaposoma habari usisome kamstari kamoja na kukurupuka kutoa comment. Umeambiwa ataendelea na shule ktk hiyo aya lkn hujaambiwa kwa mfumo gani.Lkn ukisoma aya ya mwisho unaambiwa serikali ina system kwa ajili ya kuwasaidia walioacha shule kutokana na sababu mbalimbali. Tumeona moja ya mifumo ambayo dropout wanatumia kuendelea na shule ni QT n QT inatambua uwepo huu na wengi hutumia mfumo huu.Kwanini huwezi kulink hizi aya mbili?Huko shule ulisomea UJINGA?Ukija barua ya Pili imerahisisha kwa kutaja hizo system lkn kwakua kichwa chako kizito unaona ya Pili inapinga ya kwanza.

Hiyo ya kwanza kama aya ya mwisho isingekuwepo bado swali lingebaki ataendelea ktk mfumo upi?Atarudi Darasa aliloacha au inakuaje?Kitu kizuri aya ya mwisho imejibu kitu ambacho kila siku ndio kinachofanyika

Senti bai yuzingi tecno T301
Barua haijasema alternative system for dropouts imesema has a system for dropouts/to support dropouts(mwisho)

i) Tuje kwenye matumizi ya neno "has"( present ) sasahivi, sasahivi endelevu, ingelikuwa

ii) Mwandishi wa barua ametumia neno "had"(past participle) basi ungekuwa na justification ya generalization ya hizo system za QT na Ufundi.

iii) Na mwandishi angetumia "have" (past continuous tense ) basi tusingekuwa tunabishana hapa

Kama hadi hapo bado huelewi basi acha nikupuuze na niendelee na shughuli za kujenga taifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali ilisha toa nafasi hiyo na ipo taangu miaka na miaka na wapo walio nufaika nayo hadi sasa, achaneni na mtafuta ugali zitto huyo anaye taka kuuaminisha umma kwamba hakuna nafasi ya binti aliye pata mimba kuendelea na masomo

..ukiniambia serikali ilikuwa "mbioni" kutoa nafasi kwa waliopata ujauzito nitakuelewa.

..lakini hapo katikati Raisi aliingilia suala hili na kutoa " fatwa " kwamba waliopata mimba hawatasomeshwa na serikali.

..baada ya matamko ya Raisi ndiyo kumekuwa na mkanganyiko kama waliopata ujauzito watasoma au hawatasoma.

..Jambo la kuzingatia ni kwamba wengi wanaopata ujauzito wanatoka ktk familia masikini. Kwa msingi huo naona kuwatupa mkono kwa makosa yao ni kuwaadhibu kwanza wao wenyewe, watoto waliozaliwa, na hata wazazi wanaolazimika kulea wajukuu.
 
Kwa mara ya mwisho,

Neno "in alternative path" kwenye barua namba mbili ndio limekuja ku redirect hii continuation; mfano mtu anakuja kukuambia uende nyumbani ila kwa njia nyingine tofauti na unayoitumia siku zote "alternative way"

Mwisho.

Na ukitaka kujadili tafsiri ya continue maana yake hata hiyo Barua ya pili maneno "in a prescribed alternative paths" Yanatakiwa yasiwepo coz kwa Tafsiri yako continue ni kuendelea pale alipoishia. Kama la tano basi aendelee palepale na logically hata hizo alternative paths ktk aya ya mwisho ilitakiwa zisiorodheshwe ili neno Continue libebe maana kama ulivyoelewa. Sijui kama unanielewa

Senti bai yuzingi tecno T301

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mara ya mwisho,

Neno "in alternative path" kwenye barua namba mbili ndio limekuja ku redirect hii continuation; mfano mtu anakuja kukuambia uende nyumbani ila kwa njia nyingine tofauti na unayoitumia siku zote "alternative way"

Mwisho.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri waliona barua ya kwanza namna taarifa yao ilivyokuwa haijakamilika, wakatoa ya pili kuweka sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu ni wajinga wa kuzaliwa mkuu.

Kama haoni tofauti ya hizo barua acha aendelee na ujinga wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni ukilaza... Barua namba mbili imeongeza nyama kidogo tu ambayo haibadili chochote kwa barua ya kwanza....

Ni sawa na kusema ' nitakula chakula cha mchana'....

Alafu tena nikaongeza " nitakula chakula cha mchana , wali nyama mchicha,nk."

Hakuna tofauti. Ujumbe mkuu ni kula chakula cha mchana.
Barua zote hizo
Serikali inajitoa lawama kwamba haijawahi weka ulazima wa watoto kupimwa mimba. Na zote zinaeleza kwamba wanafunzi wanaopata mimba upo mfumo wa kuwaendeleza.

Wengi humu nimegundua hamkuwa na Walimu wazuri wa English.. Na Swali la comprehension and summary litakua liliwanyuka sana.
 
Back
Top Bottom