Naomba nikwambie tu huna akili wewe nidamehe kama nimekukwaza ila huna akili kabisa huwezi linganisha mtoto ambaye yupo kwenye maturity na hao walio huko vyuoni ni ufinyu mkubbwa sana wa fikra
Halafu hakuna chuo kinacho ruhusu ngono labda chuo cha kwenu huko uliko na huenda hujapita chuo wewe una story za vijiweni
..Nimekusamehe.
..Wala hujanikwaza.
..Chuo Kikuu ngono inaruhusiwa.
..cha msingi ni kutoa ELIMU kwa hawa wanaopitia MATURITY kuhusu madhara na changamoto za mimba za utotoni.
..VITISHO peke yake havisaidii. Pamoja na kitisho cha kuachishwa masomo bado mimba zimekuwa zikiongezeka.
..Pia mimi naamini kwamba hawa watoto wanapaswa kupewa nafasi ya kuendelea na masomo iwe ni sekondari ya kawaida, ufundi, etc etc.