Wizara ya Fedha, BoT na TAKUKURU imulikeni Letshego /Faidika Tanzania ni majambazi

Basi hatari. Nilikuwa nimekariri pale Manzese kulikuwaga na benki flani halafu walivyoondoka jengo hilohilo wakachukua Letshego nikajua ile benki labda imebadili tu jina.
Letshego ni benki hata Moroco wapo mkabala na yale majengo marefu mapya br ya kwenda kawe.
 
Chukua Benki statement alafu utafute Mwanasheria akufafanuliwe mkataba wa mkopo ulivyo kuna mambo utajifunza ili uchukue hatua zaidi.
 
Basi hatari. Nilikuwa nimekariri pale Manzese kulikuwaga na benki flani halafu walivyoondoka jengo hilohilo wakachukua Letshego nikajua ile benki labda imebadili tu jina.
Hapo letshego nimeenda sana hapo nilikua naenda kumwekea mtu pesa mara nyingi mno, ile ni bank mkuu
 
Ni hatari usijaribu mkuu wangu. Jinsi sheria zilivyo ni kwamba wanakuacha unafanya ujinga siku wakija wanakulambusha Money laundering. Very soon microfinance nyingi wamiliki wake watafungwa. Stay tuned mkuu, sheria zake ni kali mno! Ila watu wengi hawajui ingawa walifundishwa
Wananchi watakubishia ila mamlaka za TZ huwa zinakucheki tu siku ikifika wanakushangaza. Ni muhimu mtu ukianza haya mambo unapiga uhuni kwa muda kisha unaacha fasta na kwenda kihalali. Huwa mamlaka ziko macho sana sema zinakuwa makini tu usivuje mipaka... na wana tabia ya kukumbusha. Ukijitia jeuri unapotezwa.
 
Hii ni taasisi ya Fedha inayojihusisha na mikopo kwa wafanyakazi na wafanyabiashara
Juni 2021 mfanyakazi (sitamtaja) alikopa ths 3,500,000 kwa makato ya Tsh 126,400 kwa mwezi,

Sasa picha limeanza mwaka huu mfanyakaz akataka kuwalipa deni lao (kumbuka ameshakatwa kama miezi 20)
Toka Juni 2021,

Kwanza wakasema balance Yao mpaka uende kwenye branchi zao za mikoa na kwa kesi yake yeye ikabidi aende Morogoro mjini, Akajaza fomu kuomba kupewa deni lake Ili alipe (afute mkopo) wakamwambia balance haitoki kirahisi hivyo ni mpaka miezi mitatu! Akasema sawa akarudi zake kijijin

Tarehe 6 (alhamis) Kabla ya Pasaka wakamwambia balance yake imetoka akachukue
Kutoka siku Ile Hadi kufika Moro goro mjini ni ngumu,
Kesho yake ilikua ijumaa kuu,
Na jumatatu ikawa ni jumatatu ya Pasaka!
Akaenda jumanne akaletewa deni la 3,930,000 ( na kumbuka alishakatwa zaidi ya miezi 20 !! Makato ya 126400 ambapo ukizidisha toka Juni 2021 Hadi march (126400*21= 2,654,400) ambayo tayari ilishalipwa..

Lakini jamaa akasema potelea pote akaamua kuwalipa iyo 3.93 m!
Baada ya kusoma iyo statement wameandika pesa mwisho kulipa ni tr 14!
Kumbuka hapo wameweka siku 7 Bila kuhesabu wikiend au zile siku za pasaka!
Jamaa kajipinda kaja kulipa tar 17 (siku 3) mbele
Anapeleka risiti Letshego wanasema amechelewa kulipa na hivyo aongeze 56,000 kama faini!!

Jamaa uvumilivu ukamshinda akasema haongezi pesa!
Na wao wakasema wataendelea kumkata! Iyo 126,400 Kila mwezi kama kawaida!

Jamani huyu jamaa afanyeje hapo katika mazingira haya!

Asanteni
aanzie bot complaints desk
 
hiyo ni shida yetu wabongo, kila kitu kinajulikana kabla ya kukopa, wakati unahitaji hela akili unaweka mfukoni, hutaki kujua masharti kabisa, una saini tu
baadaye ndo unatoa akili mfukoni
kama anahisi kuna uonevu aende bot wachunguze
utakuta ana leseni ya bot na kodi ya tra analioa kimagumashi

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Hii ni taasisi ya Fedha inayojihusisha na mikopo kwa wafanyakazi na wafanyabiashara
Juni 2021 mfanyakazi (sitamtaja) alikopa ths 3,500,000 kwa makato ya Tsh 126,400 kwa mwezi,

Sasa picha limeanza mwaka huu mfanyakaz akataka kuwalipa deni lao (kumbuka ameshakatwa kama miezi 20)
Toka Juni 2021,

Kwanza wakasema balance Yao mpaka uende kwenye branchi zao za mikoa na kwa kesi yake yeye ikabidi aende Morogoro mjini, Akajaza fomu kuomba kupewa deni lake Ili alipe (afute mkopo) wakamwambia balance haitoki kirahisi hivyo ni mpaka miezi mitatu! Akasema sawa akarudi zake kijijin

Tarehe 6 (alhamis) Kabla ya Pasaka wakamwambia balance yake imetoka akachukue
Kutoka siku Ile Hadi kufika Moro goro mjini ni ngumu,
Kesho yake ilikua ijumaa kuu,
Na jumatatu ikawa ni jumatatu ya Pasaka!
Akaenda jumanne akaletewa deni la 3,930,000 ( na kumbuka alishakatwa zaidi ya miezi 20 !! Makato ya 126400 ambapo ukizidisha toka Juni 2021 Hadi march (126400*21= 2,654,400) ambayo tayari ilishalipwa..

Lakini jamaa akasema potelea pote akaamua kuwalipa iyo 3.93 m!
Baada ya kusoma iyo statement wameandika pesa mwisho kulipa ni tr 14!
Kumbuka hapo wameweka siku 7 Bila kuhesabu wikiend au zile siku za pasaka!
Jamaa kajipinda kaja kulipa tar 17 (siku 3) mbele
Anapeleka risiti Letshego wanasema amechelewa kulipa na hivyo aongeze 56,000 kama faini!!

Jamaa uvumilivu ukamshinda akasema haongezi pesa!
Na wao wakasema wataendelea kumkata! Iyo 126,400 Kila mwezi kama kawaida!

Jamani huyu jamaa afanyeje hapo katika mazingira haya!

Asanteni
Huyo jamaa yako kwanza alipaswa kujua huo mkopo wake ni wa muda gani maana mikopo ya watumishi inaenda hadi miaka 7.

Kwa mfano kama mkopo wake ulikua wa miaka 7 (126,400*12*7) ambapo utalipa 10,621,296, lakini tukienda na hesabu yako hapo juu kua ulikua umeshalipa 2,654,400 na wakakupa deni la 3,930,000 tukijumlisha inakua 6,584,400 ambayo ndio deni la msingi plus riba. Inawezekana huo mkopo wa jamaa yako ulikua wa miaka 4 na miezi kadhaa.
Pia kwenye ile fomu ya kuomba mkopo hua inakua na kiasi cha rejesho kwa mwezi na kiasi chote unachitakiwa kurejesha ndani ya muda husika, sitaki kuamini kua jamaa yako alichotilia maanani ni rejesho la mwezi tu bila kuzingatia mkopo ni wa muda gani.

Kuhusu kuzungushwa kupata statement ya mkopo wake hilo ni kweli mabenki mengi ni wasumbufu kutoa loan statement hasa kwa watumishi.
 
Na katika hiyo Hali ya kuambiwa aongeze iyo faini Hapo Hali ikoje
 
Ni hatari usijaribu mkuu wangu. Jinsi sheria zilivyo ni kwamba wanakuacha unafanya ujinga siku wakija wanakulambusha Money laundering. Very soon microfinance nyingi wamiliki wake watafungwa. Stay tuned mkuu, sheria zake ni kali mno! Ila watu wengi hawajui ingawa walifundishwa
Hizo sheria zingekuwepo huo ujinga usinge dumu,ni miaka mingi watu wanalalamika na hatua hazichukuliwi.
 
Acha kabisa utaishia pabaya mno. Kilichopo saaa hivi wanakusanya taarifa kimya kimya, kwahiyo wale wanaokeuka sheria hawajui ila info zao zote ziko BOT. Na ndiyo maana utashangaa microfinance nyingi zitakuja kufungiwa. Tatizo kubwa wengi wanaoanzisha hawataki kutumia watalaamu etc. Compliance kwa issue za bank huwa tight mno.
Acha uongo wewe chawa. Hizo taarifa zinakusanywa miaka mingap? Na watu wanaendelea kuumizwa na ushahidi upo wazi kabisa
 
Back
Top Bottom