Wizara ya IranYasema Mashambulizi Ya Israel Nchini Iran Yaliua Watu 627.

Hamatan

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2020
Posts
7,840
Reaction score
18,115
Wizara ya afya ya Iran imesema kuwa mashambulizi ya Israel yameua watu 627.

Taarifa hizi zinatisha ukizingatia vita hii imedumu kwa muda mfupi sana. Tushukuru vita hii imedumu kwa muda mfupi sana. Kama ingedumu hata kwa miezi mitatu tu ingekuwa ni maelfu ya vifo. Ili kuondoa vifo hivi ambavyo vingeweza kuzuilika, ni vema umoja wa mataifa ungepitisha azimio la kuzuia nchi zote Duniani kumiliki, kutumia au kutengeneza silaha za nuclear.

Habari Kamili:
CNN

Iranian president says response to Israeli strikes avoided “uncontrollable war”​

Iranian President Masoud Pezeshkian says that had Iran not responded to Israeli strikes this month, the situation could have escalated into a “full-scale and uncontrollable war in the region.”

Pezeshkian was speaking in a video message to a conference in Belarus.

He said that Israel had “killed outside of the norms of war. They targeted university students and civilians. Many civilians were killed during this war. They hit residential buildings, hospitals, and places of work.”

The Iranian health ministry has said that 627 people were killed in Iran by Israeli military action.
 
Muwe mnaweka na vyanzo vya habari zenu ama link kabisa!

BTW:Mbona Mzayuni alikuwa hata hajaanza kubonda makazi kama huko Gaza?

Hiyo idadi kubwa inatia shaka!
 
Wizara ya afya ya Iran imesema kuwa mashambulizi ya Israel yameua watu 627.

Taarifa hizi zinatisha ukizingatia vita hii imedumu kwa muda mfupi sana. Tushukuru vita hii imedumu kwa muda mfupi sana. Kama ingedumu hata kwa miezi mitatu tu ingekuwa ni maelfu ya vifo. Ili kuondoa vifo hivi ambavyo vingeweza kuzuilika, ni vema umoja wa mataifa ungepitisha azimio la kuzuia nchi zote Duniani kumiliki, kutumia au kutengeneza silaha za nuclear.
Kwa mujibu wa mashirika ya haki za binadamu, jumla ya Watu 1024 walikufa, kati yao, Wanajeshi walikua 332. Jumla ya Makamanda 30 wa Jeshi wameuwa na Wanasayansi 12.
 
Wizara ya afya ya Iran imesema kuwa mashambulizi ya Israel yameua watu 627.
KAMA ISRAEL ANGEAMUA KUUA HOVYO TUNGEONGEA MENGINE

WAO WALI DILI NA WALE KOBAZI WAJEURI PAMOJA NA WANASAYANSI NA VINU VYA NUCLEAR

☢️ ATAKUJA KOBAZI NA DATA ZAKE AKISEMA ISRAEL WAMEKUFA WENGI 😁😁😁

Hawa jamaa akili zao😁
 
Wizara ya afya ya Iran imesema kuwa mashambulizi ya Israel yameua watu 627.

Taarifa hizi zinatisha ukizingatia vita hii imedumu kwa muda mfupi sana. Tushukuru vita hii imedumu kwa muda mfupi sana. Kama ingedumu hata kwa miezi mitatu tu ingekuwa ni maelfu ya vifo. Ili kuondoa vifo hivi ambavyo vingeweza kuzuilika, ni vema umoja wa mataifa ungepitisha azimio la kuzuia nchi zote Duniani kumiliki, kutumia au kutengeneza silaha za nuclear.
Mazayuni ni wajinga.Sisi kama Iranians tumeshinda vita.Tumeua mazayuni 24 wao wameua mia sita.Tumeshinda.🫸🫷😝😝😝😝
 
hiyo idadi inashangaza mashambulizi yenyewe ya Israel hakulenga raia hapo alidili na wanajeshi wa IRGC na wanasayansi na manuklia yao na marada je Israel angeamua kushambulia Iran hovyo hovyo na kama Iran alivyokuwa akirusha maroketi hovyo hovyo na kupiga makazi ya wayahudi si idadi ya Iran ingekuwa 50000 waliouawa
 
Dah! nilikua nakuchukulia unafahamu mambo ya geo politics na uchambuzi wa kivita, hivi kushinda vita kumbe ni kuhesabu idadi ya waliokufa? japo nafahamu watu 24 ni data za kupikwa, anyway tufanye watu watano wameuawa Israel, elfu moja wameuawa Iran, hio ina maana Israel ameshinda?

Kumbe we mweupe tu na mahaba yamekuzidi...
 
Sio angeamua, hawezi, media censorship iliyofanyika Israel imezuia msione mengi sana...
Kambi za IDF zimepigwa hovyo mbaya mbovu, kumbukeni Israel walikuwa hawana uwezo wa kuzuia mashambulizi, Iran walikuwa na hypersonic, huwezi kuzuia hypersonic....
 
Halafu wanapiga kelele kuwa wameshinda,😀😀😀😀
 
Dah! nilikua nakuchukulia unafahamu mambo ya geo politics na uchambuzi wa kivita, hivi kushinda vita kumbe ni kuhesabu idadi ya waliokufa? japo nafahamu watu 24 ni data za kupikwa, anyway tufanye watu watano wameuawa Israel, elfu moja wameuawa Iran, hio ina maana Israel ameshinda?

Kumbe we mweupe tu na mahaba yamekuzidi...
Hamna kitu humo mkuu usijipe tabu
 
Na bado wakija kufanya calculations za total loss kwa Iran utakuta kapoteza Usd trillions za kutosha...!
 
Dah! nilikua nakuchukulia unafahamu mambo ya geo politics na uchambuzi wa kivita, hivi kushinda vita kumbe ni kuhesabu idadi ya waliokufa? japo nafahamu watu 24 ni data za kupikwa, anyway tufanye watu watano wameuawa Israel, elfu moja wameuawa Iran, hio ina maana Israel ameshinda?

Kumbe we mweupe tu na mahaba yamekuzidi...
Shauri yako.Usiwe serious sana.
 
Sio angeamua, hawezi, media censorship iliyofanyika Israel imezuia msione mengi sana...
Kambi za IDF zimepigwa hovyo mbaya mbovu,
Kambi zipi za Israel zilipigwa wakati fighter jets zilikuwa zinaruka na kutua muda wote. Au Iran hawakuwa wanaona viwanja vikubwa na virefu kilomita kadhaa. Ila nyumba za kuishi wanaona.
kumbukeni Israel walikuwa hawana uwezo wa kuzuia mashambulizi, Iran walikuwa na hypersonic, huwezi kuzuia hypersonic....
Iran walikuwa na uwezo wa kuzuia mashambulizi?
 
Muwe mnaweka na vyanzo vya habari zenu ama link kabisa!

BTW:Mbona Mzayuni alikuwa hata hajaanza kubonda makazi kama huko Gaza?

Hiyo idadi kubwa inatia shaka!

Nimezingatia maoni yako.

Nimeweka source, na pia nime-copy na ku-paste.
 
Back
Top Bottom