100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Swali unalouliza ni sawa na kuuliza kama Israel ilitawala anga la Iran na juu zilikuwepo infra red satellites za US zinazoweza kugundua sehemu ambayo walikuwa wana deploy makombora kwanini hawakuwa wakienda kushambulia hayo maeneo in real time?Kambi zipi za Israel zilipigwa wakati fighter jets zilikuwa zinaruka na kutua muda wote. Au Iran hawakuwa wanaona viwanja vikubwa na virefu kilomita kadhaa. Ila nyumba za kuishi wanaona.
kwanini Iran iliendelea kushambulia Israel hadi siku ile wana retaliate kwa kutuma makombora mengi kwenda Kuwait, Bahrain, Iraq, Qatar n.k.. kwa wakati mmoja na bado wakaishambulia Israel kwa nguvu zaidi karibu na ceasefire..
Elewa kwamba kuna sehemu ADs zilikuwa active, hizo sehemu ndege vita za Israel zilifanya stand off strike kwa kutumia guided missiles..Iran walikuwa na uwezo wa kuzuia mashambulizi?