Kwa mujibu wa mashirika ya haki za binadamu, jumla ya Watu 1024 walikufa, kati yao, Wanajeshi walikua 332. Jumla ya Makamanda 30 wa Jeshi wameuwa na Wanasayansi 12.Wizara ya afya ya Iran imesema kuwa mashambulizi ya Israel yameua watu 627.
Taarifa hizi zinatisha ukizingatia vita hii imedumu kwa muda mfupi sana. Tushukuru vita hii imedumu kwa muda mfupi sana. Kama ingedumu hata kwa miezi mitatu tu ingekuwa ni maelfu ya vifo. Ili kuondoa vifo hivi ambavyo vingeweza kuzuilika, ni vema umoja wa mataifa ungepitisha azimio la kuzuia nchi zote Duniani kumiliki, kutumia au kutengeneza silaha za nuclear.
KAMA ISRAEL ANGEAMUA KUUA HOVYO TUNGEONGEA MENGINEWizara ya afya ya Iran imesema kuwa mashambulizi ya Israel yameua watu 627.
Mazayuni ni wajinga.Sisi kama Iranians tumeshinda vita.Tumeua mazayuni 24 wao wameua mia sita.Tumeshinda.π«Έπ«·ππππWizara ya afya ya Iran imesema kuwa mashambulizi ya Israel yameua watu 627.
Taarifa hizi zinatisha ukizingatia vita hii imedumu kwa muda mfupi sana. Tushukuru vita hii imedumu kwa muda mfupi sana. Kama ingedumu hata kwa miezi mitatu tu ingekuwa ni maelfu ya vifo. Ili kuondoa vifo hivi ambavyo vingeweza kuzuilika, ni vema umoja wa mataifa ungepitisha azimio la kuzuia nchi zote Duniani kumiliki, kutumia au kutengeneza silaha za nuclear.
Ndiyo utajua zuzu hana kabila.Mbona viongozi wao pamoja na wananchi wanashangilia Kwa ushindi?
Bonyokwa tumehama.Tupo Kintinku.Njoo ule ubwabwa kuku.Watakuja Israeli wa Bonyokwa watakwambia Israeli haishambulii watu inashambulia magenerals, Viongozi na Kambi za Jeshi.
Sasa sijui watu wote hao ni Magenerals
hiyo idadi inashangaza mashambulizi yenyewe ya Israel hakulenga raia hapo alidili na wanajeshi wa IRGC na wanasayansi na manuklia yao na marada je Israel angeamua kushambulia Iran hovyo hovyo na kama Iran alivyokuwa akirusha maroketi hovyo hovyo na kupiga makazi ya wayahudi si idadi ya Iran ingekuwa 50000 waliouawaWizara ya afya ya Iran imesema kuwa mashambulizi ya Israel yameua watu 627.
Taarifa hizi zinatisha ukizingatia vita hii imedumu kwa muda mfupi sana. Tushukuru vita hii imedumu kwa muda mfupi sana. Kama ingedumu hata kwa miezi mitatu tu ingekuwa ni maelfu ya vifo. Ili kuondoa vifo hivi ambavyo vingeweza kuzuilika, ni vema umoja wa mataifa ungepitisha azimio la kuzuia nchi zote Duniani kumiliki, kutumia au kutengeneza silaha za nuclear.
Dah! nilikua nakuchukulia unafahamu mambo ya geo politics na uchambuzi wa kivita, hivi kushinda vita kumbe ni kuhesabu idadi ya waliokufa? japo nafahamu watu 24 ni data za kupikwa, anyway tufanye watu watano wameuawa Israel, elfu moja wameuawa Iran, hio ina maana Israel ameshinda?Mazayuni ni wajinga.Sisi kama Iranians tumeshinda vita.Tumeua mazayuni 24 wao wameua mia sita.Tumeshinda.π«Έπ«·ππππ
Sio angeamua, hawezi, media censorship iliyofanyika Israel imezuia msione mengi sana...hiyo idadi inashangaza mashambulizi yenyewe ya Israel hakulenga raia hapo alidili na wanajeshi wa IRGC na wanasayansi na manuklia yao na marada je Israel angeamua kushambulia Iran hovyo hovyo na kama Iran alivyokuwa akirusha maroketi hovyo hovyo na kupiga makazi ya wayahudi si idadi ya Iran ingekuwa 50000 waliouawa
Hamna kitu humo mkuu usijipe tabuDah! nilikua nakuchukulia unafahamu mambo ya geo politics na uchambuzi wa kivita, hivi kushinda vita kumbe ni kuhesabu idadi ya waliokufa? japo nafahamu watu 24 ni data za kupikwa, anyway tufanye watu watano wameuawa Israel, elfu moja wameuawa Iran, hio ina maana Israel ameshinda?
Kumbe we mweupe tu na mahaba yamekuzidi...
Shauri yako.Usiwe serious sana.Dah! nilikua nakuchukulia unafahamu mambo ya geo politics na uchambuzi wa kivita, hivi kushinda vita kumbe ni kuhesabu idadi ya waliokufa? japo nafahamu watu 24 ni data za kupikwa, anyway tufanye watu watano wameuawa Israel, elfu moja wameuawa Iran, hio ina maana Israel ameshinda?
Kumbe we mweupe tu na mahaba yamekuzidi...
Kila darasa Lina wanafunzi wa mwisho so usishangae mkuuMbona viongozi wao pamoja na wananchi wanashangilia Kwa ushindi?
Kambi zipi za Israel zilipigwa wakati fighter jets zilikuwa zinaruka na kutua muda wote. Au Iran hawakuwa wanaona viwanja vikubwa na virefu kilomita kadhaa. Ila nyumba za kuishi wanaona.Sio angeamua, hawezi, media censorship iliyofanyika Israel imezuia msione mengi sana...
Kambi za IDF zimepigwa hovyo mbaya mbovu,
Iran walikuwa na uwezo wa kuzuia mashambulizi?kumbukeni Israel walikuwa hawana uwezo wa kuzuia mashambulizi, Iran walikuwa na hypersonic, huwezi kuzuia hypersonic....
Muwe mnaweka na vyanzo vya habari zenu ama link kabisa!
BTW:Mbona Mzayuni alikuwa hata hajaanza kubonda makazi kama huko Gaza?
Hiyo idadi kubwa inatia shaka!