Wizara ya Nishati apewe Waziri anayeaminika na watu wengi ili hata akisema lipo tatizo aaminike

Na mtu huyo atakayeaminiwa na wengi si mwingine bali ni Mh. Medard Kalemani, Mbunge wa Chato!!!!
 
Awesu ndio next au yule mtoto pendwa wa Magufuli Tamisem sasa mazingira
 
Unashauri atafutiwe wizara nyepesi ni laxima awe waziri?,hii serikali inakoelekea Mungu tu anajua.
 
Makosa makubwa unafanya mtoa mada. Sijui mnalenga nini. Kama vp mwandikieni Baruq mwenye mamlaka badala ya kutuchosha hunu ya haoja zenu mufilisi. Kusema ukweli ni makosa?
 
Naona mmeamua kukamia mpaka jamaa achomoke sijui ni wivu🤣
Umeme unakatika ovyo tu,maelezo ya kuongeza mwaka kwenye kontrakti ya bwawa la Nyerere ni kichekesho,jamaa hawezi,lbd hayo madili, chini hakuna umeme lkn unatumia Dola 30m kuumonita kwa satelaiti Kama siyo uhuni ni nini? tunasubiri.
 
Au hiyo wizara isiwepo kabisa au iwepo bila waziri.

Tatizo sio waziri tatizo ni ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…