Wizi mpya wa Vodacom: Waziri wa Mawasiliano ingilia kati

Wizi mpya wa Vodacom: Waziri wa Mawasiliano ingilia kati

Hapa ndiyo kuna logic ya utapeli kama kujitoa kuna gharama.
Wewe ndiye mpumbavu.

Huo hauwezi kuitwa utapeli labda uitwe jina jingine labda USUMBUFU.

Mtu umeelekezwa namna ya kujitoa kama hauko-interested kabla ya makato halafu una mangamanga tu siku 3.

Halafu unakuja kutubania pua umetapeliwa!

Mnajua maana ya utapeli?

Hakuna ulaghai wowote kwenye hiyo meseji zaidi ni negligence yako.
Nilipokuambia una upumbavu nilikuwa ninamaanisha haya.

Huelewi na hujui kwamba huelewi. Unapinga hamna utapeli halafu unakubali kuna utapeli wakati mmoja.
 
Nilipokea ujumbe husika. Nikawapigia simu, kwakuwa wamezoea kuniunganisha na upuuzi kisha wanasema nilijiunga mwenyewe nikaanza kwa kuwauliza wanielekeze jinsi ya kujiunga (bahati nzuri mimi sikuwa na salio kwahiyo ujumbe ulitangulia). Wakaropoka weee, kisha nikawauliza ni lini nilijiunga kwenye hizo huduma ikiwa hata menu yenyewe lazima upite sijui mpesa. Muhudumu akaanza kujikanyagakanyaga. Nilimgombeza sana kwasababu alishindwa kujibu maswali kwa ufasaha. Nilirekodi mazungumzo yote na namna alivyonijibu.
Kijana, mimi ni wakili msomi, vipi tupeleke kesi mahakamani tudai fidia?
 
Hii nchi jinsi haya makampuni yanavyoibia watu utafikir hatuna serikali aisee yaan wanaaamua tu Leo tunakula hichi kesho kile
Bado cloud Redio, yaani hata kutangaza wameacha, kutwa kuchezesha kamari na inaonekana washindi wa michongo pesa kama wanapangwa,,
 
Mbona watu mnakuwa wagumu kuelewa?
Kama wewe mkuu una vihela mfukoni, basi naingiza mkono wangu mfukoni kwako bila wewe kujua , na nakupa tangazo ambalo linaweza kukupita kuwa nimechukua jero mfukoni kwako, ukitaka irudi niambie.
UNAEREEWA RAKINI?
Na wewe huelewi... Kwa kutumia huohuo mfano wako, suala ni kwamba sio ukitaka irudi, ni "ukitaka nisichukue nyingine niambie"
 
Ukiondoa kama una kifurushi tu na hauna salio la kawaida haiondoki walivyo wapumbavu wanataka ulipie hiyo sms ya kutuma neno ondoa.

Hii imenitokea Tigo.

View attachment 2107186
Kwahiyo utake usitake lazima wakuibie hiyo pesa, wizi mtupu! Mimi wathubutu kufanya hivyo, hiyo simu yangu nitakayopiga nahakikisha naongea na customer care kwa saa nzima, niwakomoe tu
 
Wewe ndiye mpumbavu.

Huo hauwezi kuitwa utapeli labda uitwe jina jingine labda USUMBUFU.

Mtu umeelekezwa namna ya kujitoa kama hauko-interested kabla ya makato halafu una mangamanga tu siku 3.

Halafu unakuja kutubania pua umetapeliwa!

Mnajua maana ya utapeli?

Hakuna ulaghai wowote kwenye hiyo meseji zaidi ni negligence yako.
Ili ujitoe unatakiwa uweke pesa kwa ajili ya kutuma hiyo sms, hiyo pesa wanayoichukua kwa jambo walilokuunga wao bila ridhaa ni utapeli, acha kutetea wizi!
 
Fanya hivi..hawatakusumbua tena, yaani zile namba zao wanazotumiaga kuleta matangazo yao yakipuuz ktk mesej, we piga block, na hutosumbuliwa tena, wala kuibiwa.

Uhuni wao unakuja pale unapokuwa na mazoea ya kufungua hizo mesej zao za matangazo, ndyo hapo wanakuunganisha na mahuduma yao yakipuuz bila wew kujua na kukufanya wew mtaji wao..

Piga block hao matapeliView attachment 2107041
Kublock namba si kutazuia tu ile meseji inayokuambia ujitoe? Kwahiyo utandelea kukatwa bila kujua, ambayo ni mbaya zaidi
 
Ili ujitoe unatakiwa uweke pesa kwa ajili ya kutuma hiyo sms, hiyo pesa wanayoichukua kwa jambo walilokuunga wao bila ridhaa ni utapeli, acha kutetea wizi!
Tafuteni pesa ndiyo tatizo lenu ninaloliona hapa wala siyo Voda.

Hapa mtu umetoka mishipa ya shingo kisa 60/= tu ya SMS moja.

Kwa Voda mtu kila ukinunua muda wa maongezi unapewa Tuzo points free ambazo unaweza nunulia bundle ikiwa pamoja na hizo SMS.

Kwa Voda ukijiunga na kifurushi chochote cha muda wa maongezi unapewa SMS 5+ free.

Nani anapiga simu bila kujiunga na bundles siku hizi.

Msipotafuta pesa kila kitu mtaona mnatapeliwa tu.

Narudia;Kwa Voda sijaona utapeli kwa hilo labda USUMBUFU na zaidi ni uzembe wenu tu.
 
Samahani, sikujua kwamba najadiliana na taahira, yaishe.
 
Nilipokuambia una upumbavu nilikuwa ninamaanisha haya.

Huelewi na hujui kwamba huelewi. Unapinga hamna utapeli halafu unakubali kuna utapeli wakati mmoja.
Tatizo unadandia tu vitu,

Huyo nilimnukuu kaweka screenshot za Tigo wakati mada hapa ni Voda.

Voda SMS moja ya kujiondoa siyo issue.

1.Ukiongeza salio unapewa Tuzo points free ambazo unaweza nunulia hizo SMS.

2.Ukinunua bundle yoyote ya muda wa maongezi unapewa SMS 5+ free.

Hoja ya gharama ya SMS kwa Voda ni nonsense!
 
Samahani, sikujua kwamba najadiliana na taahira, yaishe.
Screenshot_20220204-114732.png
Funny,😁.

Taahira kati yangu na wewe alijulikana kuanzia comment yako ya kwanza kabisa.
 
Wewe ndiye mpumbavu.

Huo hauwezi kuitwa utapeli labda uitwe jina jingine labda USUMBUFU.

Mtu umeelekezwa namna ya kujitoa kama hauko-interested kabla ya makato halafu una mangamanga tu siku 3.

Halafu unakuja kutubania pua umetapeliwa!

Mnajua maana ya utapeli?

Hakuna ulaghai wowote kwenye hiyo meseji zaidi ni negligence yako.
Kiazi wew, ndugai wew. Nk
 
SI ujitoe? Au mpaka uelekezwe na Wana jeiefu......vitu vingine ni vidogo sana havihitaji Uzi
 
Nimefanyiwa hivo mara nyingi, wakati mwingine nimeunganishwa na huduma za caller tunes ambazo wala siku request na hawa hawa Vodacome; maamuzi yangu yalikua kama ifuatavyo, actually ni mwaka almost wa 4 sasa, sinunui vocha na of course sina kumbukumbu mara ya mwisho nimenunua lini vocha kwa line zangu zote, natumia Mpesa au tiGo pesa kununua muda wa maongezi, najiunga bando za internet na airtime kwa mfumo huo, lengo ni kuzuia makato ambayo sio ya hiyari yangu cause wao huaga wanacheza na pesa ilioko huko, kwenye account ya M-pesa utokaji wake hadi uweke password labda zile huduma ambazo umejiunga automatic kama google space etc.
 
Lakini si Mtu umepewa option ya kujitoa kama hauko interested.

Wewe unang'aa sharubu 72hrs baada ya kupokea ujumbe halafu wakikufyeka unaita watu wezi.

Huo ujumbe upo toka 2021 tena mwanzoni huko.

BTW😛esa si zimerejea mtaani kwa sasa mzunguko uko fresh, hiyo 6000/mwezi nayo ya kulialia.
Mkuu wote si watoto kama wewe, ambao wako kwenye simu 24/7
 
Back
Top Bottom