Wizi mpya waibuka

Wizi mpya waibuka

John120

Senior Member
Joined
Jun 13, 2021
Posts
139
Reaction score
281
Habari za leo wakuu.

Naomba niende moja kwa moja kwenye lengo husika.

Kuna wizi mkubwa sana unaendelea kasi kubwa sana hasa kwenye mtandao wa Facebook Kuna jamaa wanatumia trick ya kupost laptop computers wakidai wanauza. Hawa jamaa wanauza computer kwa bei ndogo sana ukilinganisha na bidhaa yenyewe, na hiyo ni kumshawishi mtu ili aingie mkenge.

Mara nyingi ukiwauliza kwamba mnapatikana wapi watakutumia namba ili muwasiliane kwa WhatsApp.
Na badae watakupa number ya kufanya malipo, Mara nyingi sana wanasema wanapatikana dodoma, Barabara ya nane,Jengo la capital city mall,Floor 1,duka All Muzamill PC solutions,Flame B6.

Number za simu wanazotumia.
0676976799
0678448681
0678376783
Tuchukue tahadhari....

Naomba kuwasilisha hoja.
Palipo na mapungufu mnisamehe
 
Kuna wizi mkubwa sana unaendelea kasi kubwa sana hasa kwenye mtandao wa Facebook
Kuna jamaa wanatumia trick ya kupost laptop computers wakidai wanauza.
Hawa jamaa wanauza computer kwa bei ndogo sana ukilinganisha na bidhaa yenyewe, na hiyo ni kumshawishi mtu ili aingie mkenge.

Na badae watakupa number ya kufanya malipo,
Mara nyingi sana wanasema wanapatikana dodoma, Barabara ya nane,Jengo la capital city mall,Floor 1,duka All Muzamill PC solutions,Flame B6.
Number za simu wanazotumia.
0676976799
0678448681
0678376783
Tuchukue tahadhari....

Naomba kuwasilisha hoja.
Palipo na mapungufu mnisamehe
Upo sahihi kabisa Mkuu
Yani niliwai ingia kupatana.com nilikutana na hawa jamaa Yani laptop zao ni 420000 tuu sasa ukiomba wakutumie kwanjia ya gari wanakuwa na trick Moja ya kusema sasa si Bora uje apa ofisin kwetu sasa ili uje kuakiki mzigo wako sasa ukijichanganya tuu kuwaamini Yan apo umeliwa maana wanakutumia sample ya picha ya izo laptop then ukilipia tuu izo picha wanafuta zotee [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mbona umeweka namba yangu hapo!?
 
Usije ukalipia kitu chochote mitandaoni bila wewe kukiona, kama wanafanya delivery subiri ulipie wakati unapokea na kukagua mzigo wako ujiridhishe vinginevyo ujiandae kulia.

Kwa hizo nchi zetu utapeli mwingi sana hasa biashara za mitandaoni labda nchi zilizoendelea huko ndio wanaweza kuwa serious ila huku kwetu ujanja ujanja mwingi
 
Habari za leo wakuu.
Naomba niende moja kwa moja kwenye lengo husika.
Kuna wizi mkubwa sana unaendelea kasi kubwa sana hasa kwenye mtandao wa Facebook
Kuna jamaa wanatumia trick ya kupost laptop computers wakidai wanauza.
Hawa jamaa wanauza computer kwa bei ndogo sana ukilinganisha na bidhaa yenyewe, na hiyo ni kumshawishi mtu ili aingie mkenge.
Mara nyingi ukiwauliza kwamba mnapatikana wapi watakutumia namba ili muwasiliane kwa WhatsApp.
Na badae watakupa number ya kufanya malipo,
Mara nyingi sana wanasema wanapatikana dodoma, Barabara ya nane,Jengo la capital city mall,Floor 1,duka All Muzamill PC solutions,Flame B6.
Number za simu wanazotumia.
0676976799
0678448681
0678376783
Tuchukue tahadhari....

Naomba kuwasilisha hoja.
Palipo na mapungufu mnisamehe
Kwahiyo nimeshapigwa? [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Hao watu nawajua, kuna hp spectre x360 walikua wanauza kwa 450k, wakasema wapo dom jengo hilo hilo, kidg nitume hela, bt kuna ndugu yangu yupo jengo hilo hilo nikamuomba anichunguzie, ndo kunishtua kwamba kweli wapo kwenye jengo hilo, na hiyo pc ipo, ila ni 3.5mil, huyo jamaa anamfaham ni tapeli, ukimtumia hela tu imekula kwako...hiyo ndo ilikua pona yangu...
 
Upo sahihi kabisa Mkuu
Yani niliwai ingia kupatana.com nilikutana na hawa jamaa Yani laptop zao ni 420000 tuu sasa ukiomba wakutumie kwanjia ya gari wanakuwa na trick Moja ya kusema sasa si Bora uje apa ofisin kwetu sasa ili uje kuakiki mzigo wako sasa ukijichanganya tuu kuwaamini Yan apo umeliwa maana wanakutumia sample ya picha ya izo laptop then ukilipia tuu izo picha wanafuta zotee [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Aisee watu wa aina hii lazima wapigwe tu, unalipia picha ya laptop?
 
Awa waliniambia wapo china plaza
 
Attachments

  • Screenshot_20220726-213218.jpg
    Screenshot_20220726-213218.jpg
    75.2 KB · Views: 48
Habari za leo wakuu.

Naomba niende moja kwa moja kwenye lengo husika.

Kuna wizi mkubwa sana unaendelea kasi kubwa sana hasa kwenye mtandao wa Facebook Kuna jamaa wanatumia trick ya kupost laptop computers wakidai wanauza. Hawa jamaa wanauza computer kwa bei ndogo sana ukilinganisha na bidhaa yenyewe, na hiyo ni kumshawishi mtu ili aingie mkenge.

Mara nyingi ukiwauliza kwamba mnapatikana wapi watakutumia namba ili muwasiliane kwa WhatsApp.
Na badae watakupa number ya kufanya malipo, Mara nyingi sana wanasema wanapatikana dodoma, Barabara ya nane,Jengo la capital city mall,Floor 1,duka All Muzamill PC solutions,Flame B6.

Number za simu wanazotumia.
0676976799
0678448681
0678376783
Tuchukue tahadhari....

Naomba kuwasilisha hoja.
Palipo na mapungufu mnisamehe
Makinikeni na bei poa.. Shortcut is the longest way you were not going ...!
 
Wizi huu una zaidi ya miaka 15, sasa wizi huhuu utafika wakati utaambiwa njoo Pahala fulani. ukifika utamkuta mshkaji na mkoba, huu mkoba utadhani ndio wenye laptop au simu kumbe ana panga. Anajua umekwenda pale na hela anaweza kuwa na wenzake au peke yake na silaha. Hizi mbinu zipo nyingi sana
 
Hao watu nawajua, kuna hp spectre x360 walikua wanauza kwa 450k, wakasema wapo dom jengo hilo hilo, kidg nitume hela, bt kuna ndugu yangu yupo jengo hilo hilo nikamuomba anichunguzie, ndo kunishtua kwamba kweli wapo kwenye jengo hilo, na hiyo pc ipo, ila ni 3.5mil, huyo jamaa anamfaham ni tapeli, ukimtumia hela tu imekula kwako...hiyo ndo ilikua pona yangu...
Kuna jamaa angu kapigwa 390k
 
Habari za leo wakuu.

Naomba niende moja kwa moja kwenye lengo husika.

Kuna wizi mkubwa sana unaendelea kasi kubwa sana hasa kwenye mtandao wa Facebook Kuna jamaa wanatumia trick ya kupost laptop computers wakidai wanauza. Hawa jamaa wanauza computer kwa bei ndogo sana ukilinganisha na bidhaa yenyewe, na hiyo ni kumshawishi mtu ili aingie mkenge.

Mara nyingi ukiwauliza kwamba mnapatikana wapi watakutumia namba ili muwasiliane kwa WhatsApp.
Na badae watakupa number ya kufanya malipo, Mara nyingi sana wanasema wanapatikana dodoma, Barabara ya nane,Jengo la capital city mall,Floor 1,duka All Muzamill PC solutions,Flame B6.

Number za simu wanazotumia.
0676976799
0678448681
0678376783
Tuchukue tahadhari....

Naomba kuwasilisha hoja.
Palipo na mapungufu mnisamehe
Wanauza bei ndogo....maana yake

Wanawavuta wateja ,kwa bei ndogo

Lazima wajinga wapenda mteremko

Watanasa tu

Ova
 
Back
Top Bottom