Wizi, udokozi na ujambazi vimeibuka kwa kasi huku mitaani

Wizi, udokozi na ujambazi vimeibuka kwa kasi huku mitaani

devinyo1987

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2021
Posts
268
Reaction score
370
Ndugu wana JF,

Wizi na udokozi na ujambazi vimeibuka kwa kasi huku mitaani. Ndugu wananchi tuwe makini na ulinzi binafsi wa nyumbani. Sungusungu mtaani. Ikiwezekana tufanye mazoezi ya kutosha ili mwizi akiingia Chanel zako unammaliza kimya kimya kuna mzee hapa kaibiwa katoka na kitambi anahema balaaa hadi huruma.
 
Kama ni ujambazi kuukabili hadi uwe na silaha ya moto ila kama ni udokozi waweza kukabiliana nao.
 
Wameshaibiwa wangapi mpaka sasa?

Maandiko yanasena Bwana asipoilinda nyumba wailindao wafanya kazi bure!

Tufanye mazoezi kama sehemu ya afya lakini si kwa ajili ya kupambana na wezi kwakuwa hawa hawaji kwenye mchezo wa mapigano bali kuiba hivyo wana mbinu za kila aina kutegemeana na mahali wanapoenda kufanya tukio.
 
Haya haya majambazi kaeni mkao wa kula sasa hivi mtaanza kula vyuma ,Mh SSH kashatoa maagizo kwa IGP Sirro.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Mkoa nilipo Mimi kuanzia juzi na Jana tayari zimevunjwa nyumba 40 na Kuibiwa vitu vya samani nikajaribu kumshirikisha wa mkoa wa jirani nae pia ananiambia vile vile kua wizi na ukabaji umeshamiri Sana

Kuna kitu hakiko sawa

IMG-20210518-WA0032.jpg
 
Mkoa nilipo Mimi kuanzia juzi na Jana tayari zimevunjwa nyumba 40 na Kuibiwa vitu vya samani nikajaribu kumshirikisha wa mkoa wa jirani nae pia ananiambia vile vile kua wizi na ukabaji umeshamiri Sana

Kuna kitu hakiko sawa
Uongo mtupu, mbona hutaji Mkoa lengo lako ni kutaka kuleta taharuki ili ionekane Madam President kazi inamulemea - wakati hiyo si kweli hata kidogo, mkuu nakushauri tafuta shughuri nyingine ya kufanya na sio hii ya ku-manufacture UONGO.
 
Hapa kibamba juzi kuna dogo kachomwa Moto live , aliiba piki piki ya jamaa alikuwa anaswali msikitini ..... To be honest kwenye swala hili Jiwe alikuwa strong, napingana naye Tu kwenye sera zake za uchumi
 
Mkoa nilipo Mimi kuanzia juzi na Jana tayari zimevunjwa nyumba 40 na Kuibiwa vitu vya samani nikajaribu kumshirikisha wa mkoa wa jirani nae pia ananiambia vile vile kua wizi na ukabaji umeshamiri Sana

Kuna kitu hakiko sawa

Mkoa gani huo??? Na Umewashirikisha mkoa wa jirani kwani wao ndio police? Au ndio serikali yako?
 
Ujambazi na udokozi haujawa kuisha. Msitupigie kelele ndio maana kuna Jeshi la Polisi.
 
Huu uzi umekaa sawa vibaka wamerudi kwa kasi sana huko salasala na Madale ndio usisema , kimsingi Siro anasubiriaga maelekezo tu kama alivyokua anafanya mwendazake lakini kujiongeza hawezi kabisa
 
Back
Top Bottom