Wizi, udokozi na ujambazi vimeibuka kwa kasi huku mitaani

Hapa kibamba juzi kuna dogo kachomwa Moto live , aliiba piki piki ya jamaa alikuwa anaswali msikitini ..... To be honest kwenye swala hili Jiwe alikuwa strong, napingana naye Tu kwenye sera zake za uchumi
Lini wizi uliisha kipindi Cha jiwe mtaani kwetu kulikuwa kunasafishwa mpk sungusungu ikaanzishwa baada ya kufa watu wakawa wanasafishwa

Jiwe aliweza vp kuzuia wizi mtaani?
Kuna watu mnachekesha Sana

Tumeshuhudia ukabaji uvunjaji mwingi labda Kama ulikuwa unaishi ushuani...

Kwahyo vituo vya polisi kipindi Cha jiwe kulikuwa hakuna wahalifu ,vituo si vilikuwa vinajaa wahalifu kibao Tena pomoni?

Kuna watu mnachekesha Sana asee
 
Kwani hukusikia Rais wetu Samia Suluhu akisema wizi umeanza kushamiri kwa kasi. Na yeye alisema kwa kuchekesha?
 
Kuna dogo wiki imepita kakwapua simu ya dada anapita barabarani dogo alikuwa anaendesha pikipiki bahat mbaya pikipiki imeyumba imeanguka

Wamepiga mpka jamaa akiguswa kifua anatema damu puani na mdomoni sjui wamemvunja nini ndani pikipiki yake wameichangua changua imebaki bomba

Ila dogo kafa
Safi
 
Sabaya alikuwa jambazi pia.
Hapa kibamba juzi kuna dogo kachomwa Moto live , aliiba piki piki ya jamaa alikuwa anaswali msikitini ..... To be honest kwenye swala hili Jiwe alikuwa strong, napingana naye Tu kwenye sera zake za uchumi
 
Kwani hukusikia Rais wetu Samia Suluhu akisema wizi umeanza kushamiri kwa kasi. Na yeye alisema kwa kuchekesha?
Tofautisha wizi na ujambazi man

Hakusema wizi bali ujambazi
.wavuta bangi,maskani za wahuni kibao ,vitoto havisomi kazi usela na bangi wizi utaishs haswa kizazi hiki cha singeli labda mwenzetu unaishi masaki..

Njoo buguruni halafu urudi kusimulia huko kwenu
 
Unatofautishaje wizi na ujambazi?
 
Wala usimshambulie mtoa post, maana hata mama Samia mwenyewe alikiri kuwa wizi na ujambazi imeanza kurudi kwa Kasi na akaomba Kuna polisi arudishwe maana alionekana kupambana nao vizuri
Hawa watu hawataki kusikia Magufuli akisemwa kwa jema lolote. Chuki zimewajaa hadi wanakonda.
Wanasahau kuwa hawawezi kulifanya jani la mpapai kuwa mwamvuli.
 
Mkoa nilipo Mimi kuanzia juzi na Jana tayari zimevunjwa nyumba 40 na Kuibiwa vitu vya samani nikajaribu kumshirikisha wa mkoa wa jirani nae pia ananiambia vile vile kua wizi na ukabaji umeshamiri sana.

Kuna kitu hakiko sawa
Upo sahihi last week kibaka karuka ukuta kazama kwa nyumba asijue ya mjeda, kabeba flat screen, kumbe mjeda kajibana anamchora tuu, akawapigia cm wenzie kama watatu hivi ... walimpa kipigo cha mbwa mwizi
 
Hapa kibamba juzi kuna dogo kachomwa Moto live , aliiba piki piki ya jamaa alikuwa anaswali msikitini ..... To be honest kwenye swala hili Jiwe alikuwa strong, napingana naye Tu kwenye sera zake za uchumi
Aliye weak ni nani sasa. Sema tuelewe.!!
 
Mkoa nilipo Mimi kuanzia juzi na Jana tayari zimevunjwa nyumba 40 na Kuibiwa vitu vya samani nikajaribu kumshirikisha wa mkoa wa jirani nae pia ananiambia vile vile kua wizi na ukabaji umeshamiri sana.

Kuna kitu hakiko sawa
Kama una nia ya dhati ya kupambana na huo ujambazi taja location tusaidie ulinzi shirikishi na makamanda wetu unless hizi ni propaganda
 
Mkoa nilipo Mimi kuanzia juzi na Jana tayari zimevunjwa nyumba 40 na Kuibiwa vitu vya samani nikajaribu kumshirikisha wa mkoa wa jirani nae pia ananiambia vile vile kua wizi na ukabaji umeshamiri sana.

Kuna kitu hakiko sawa
Huko palipo na wizi ni mitaa ya kuzimu?
Mbona Tanzania hakuna?
Au uko na mwendazake?
 
Mkoa nilipo Mimi kuanzia juzi na Jana tayari zimevunjwa nyumba 40 na Kuibiwa vitu vya samani nikajaribu kumshirikisha wa mkoa wa jirani nae pia ananiambia vile vile kua wizi na ukabaji umeshamiri sana.

Kuna kitu hakiko sawa
Ulikuwa kwenye tafiti mkuu? Au ulijikuta tuu unazunguka mkoa wote ulipo nyumba kwa nyumba kukagua aliyeibiwa na aliyesalimika ??
 
Polisi wekeni utaratibu wa kufanya doria za mitaa iliyo karibu na vituo vya polosi.

Jeshi letu lina magari ya kisasa lkn utaona doria zina fanyika mijini tu lkn pembezoni mwa mji hakuna doria, huu ni uzembe.
tuipende kazi zetu
 
Mkoa nilipo Mimi kuanzia juzi na Jana tayari zimevunjwa nyumba 40 na Kuibiwa vitu vya samani nikajaribu kumshirikisha wa mkoa wa jirani nae pia ananiambia vile vile kua wizi na ukabaji umeshamiri sana.

Kuna kitu hakiko sawa
Sisi huku kila siku ni milio ya bunduki masikioni mwetu.
 
Uongo mtupu, mbona hutaji Mkoa lengo lako ni kutaka kuleta taharuki ili ionekane Madam President kazi inamulemea - wakati hiyo si kweli hata kidogo, mkuu nakushauri tafuta shughuri nyingine ya kufanya na sio hii ya ku-manufacture UONGO.
Unataka kazi imuelemee mara ngap?
 
Back
Top Bottom