Wizi, udokozi na ujambazi vimeibuka kwa kasi huku mitaani

Wizi, udokozi na ujambazi vimeibuka kwa kasi huku mitaani

Hiyo
Kuna dogo wiki imepita kakwapua simu ya dada anapita barabarani dogo alikuwa anaendesha pikipiki bahat mbaya pikipiki imeyumba imeanguka

Wamepiga mpka jamaa akiguswa kifua anatema damu puani na mdomoni sjui wamemvunja nini ndani pikipiki yake wameichangua changua imebaki bomba

Ila dogo kafa
safi
 
Polisi wekeni utaratibu wa kufanya doria za mitaa iliyo karibu na vituo vya polosi.

Jeshi letu lina magari ya kisasa lkn utaona doria zina fanyika mijini tu lkn pembezoni mwa mji hakuna doria, huu ni uzembe.
tuipende kazi zetu
Anzisheni sungusungu acheni umwinyi


Mwananyamala ndio sehemu ilikuwa na usela mavi na kila kitu karibu kutembea usiku saizi uone kila mtaa Kuna sungusungu na kumetulia

Na sio mwananyamala nenda tandale ukipita usiku unasimamishwa


Bila sungusungu mtaendelea kulizwa tu mwaka jana mtaani watu walikuwa wanasafishwa ndani watu wakaanzisha operation na watuhumiwa wakakamatwa kamanmara mbili na kichapo wakakipata..mitaa isiyokuwa na ushirikiano wa raia umwinyi ndio huongoza kuibiwa kwa tafiti zangu
 
Hujasikiliza hotuba ya Mama wewe wakati anazindua kiwanda cha ushonaji cha Polisi. Maana yeye mwenyewe analalamika halafu wewe unapinga! PUMBAVU!!
Kalalamika kuhusu ujambazi lkn mtoa post anazungumzia wizi ambao na uvunjaji ..hakuna polisi atakayekuja kulinda usiku mtaani kwako ndio maana mtaendelea kuibiwa kwa umwinyi wenu


Watoto wenu kazi kuvuta bangi na kukaa maskani na usela mavi na kuwaza kwenda South Africa endeleeni kuendekeza umwinyi anzisheni Doria
 
Miaka michache kupita kabla ya uongozi wa Magu kuna sehemu dar alikuwa anaishi ndugu yangu mmoja vibaka walikuwa wanaiba mchana kweupe wanavunja mipango wanabeba tv,,deki chochote watachokiona.

Wakikamatwa leo kesho wanatoka wanafanya tena uhalifu. Toka alipoingia Magu hakuna siku aliyowahi kuibiwa.

Si kwamba rais anayelinda watu hapana bali aliweka mfumo ambao watumishi wa serikali walikuwa wanogopa kufanya ujinga. Vibaka nao walikuwa wanajipa jeuri nikikamatwa nitatoa kidogo naachiwa.

Hali inakoenda vibaka wanaanza kupima kina Cha maji kama watazama au laaa.
 
Hizi report za wizi zina lengo moja tu la kumkosoa mama utendaji wake utadhani mama kawaambia polisi waache kufanya kazi zao.

Lakini huu wizi ulikuwepo sana tu hata kipindi mama hajachukua nchi,
Kipindi hicho nimeibiwa mara tatu,, na jirani yangu mmoja hata sihesabu ni mara ngapi maana amelalamika mara nyingi sana lakini sijawai yaleta humu jf. Na ilikuwa si story mitandaoni kama sasa,, hizi report za kila unapotokea wizi kuibuka mitandaoni kwa kasi zina lengo moja tu ,,,,legacy,,

Nasikia mu7 kaandaa kongamano la legacy huko,, wazee wa legacy please jielekezeni huko.
 
Nakumbuka kipindi kile Maghufuli kasamehe wafungwa wengi Mwanza baadhi yao walikamtwa tena kenye matukio ya wizi na wengine waliuawa na wengine nadhani walibahatika au walikamatwa baadae.
 
Mkoa nilipo Mimi kuanzia juzi na Jana tayari zimevunjwa nyumba 40 na Kuibiwa vitu vya samani nikajaribu kumshirikisha wa mkoa wa jirani nae pia ananiambia vile vile kua wizi na ukabaji umeshamiri sana.

Kuna kitu hakiko sawa
Kwa nini ushindwe kulinda nyumba yako,au wewe mwenyewe kujilinda,kwa kuchukuwa tahadhari zote,unasubiri nani akulinde kama sio wewe,mwenyewe ndio mlinzi wa kwanza wa kujilinda.
 
Hapa kibamba juzi kuna dogo kachomwa Moto live , aliiba piki piki ya jamaa alikuwa anaswali msikitini ..... To be honest kwenye swala hili Jiwe alikuwa strong, napingana naye Tu kwenye sera zake za uchumi
Ulinzi unaanza kwa wewe mwenyewe kwanza,vipi unakwenda msikitini na kuacha pikipiki ovyo,wakati hata viatu msikitini vinaibiwa.Uislamu,umesema wazi,jisaidie na Mungu,naye atakusaidia.
 
Ulinzi unaanza kwa wewe mwenyewe kwanza,vipi unakwenda msikitini na kuacha pikipiki ovyo,wakati hata viatu msikitini vinaibiwa.Uislamu,umesema wazi,jisaidie na Mungu,naye atakusaidia.
Sasa mkuu pikipiki angeingia nayo ndani msikitini boss , mbna unacomment kama umekatwa kichwa ndugu ...!!
 
Mkoa nilipo Mimi kuanzia juzi na Jana tayari zimevunjwa nyumba 40 na Kuibiwa vitu vya samani nikajaribu kumshirikisha wa mkoa wa jirani nae pia ananiambia vile vile kua wizi na ukabaji umeshamiri sana.

Kuna kitu hakiko sawa
Yaani kutaja tu mkoa wenye tatizo umeona ni siri?
Nafikiri kwa kuanzia Taja huo mkoa kwanza...
 
Hizi report za wizi zina lengo moja tu la kumkosoa mama utendaji wake utadhani mama kawaambia polisi waache kufanya kazi zao.

Lakini huu wizi ulikuwepo sana tu hata kipindi mama hajachukua nchi,
Kipindi hicho nimeibiwa mara tatu,, na jirani yangu mmoja hata sihesabu ni mara ngapi maana amelalamika mara nyingi sana lakini sijawai yaleta humu jf. Na ilikuwa si story mitandaoni kama sasa,, hizi report za kila unapotokea wizi kuibuka mitandaoni kwa kasi zina lengo moja tu ,,,,legacy,,

Nasikia mu7 kaandaa kongamano la legacy huko,, wazee wa legacy please jielekezeni huko.
Hata mama mwenyewe kakiri wizi umeongezeka,au wewe unaona anajichafua mwenyewe?
 
Mama haiwezekani Magufuli afe, halafu baada ya mwezi ujambazi uuamke kwa Kasi ya kimbunga. Sema vizuri na Vyombo vyako vya Usalama.

Tulizoea Majambazi hawakamatwi, bali utasikia walijibizana risasi na Askari Polisi na mwisho wakajeruhiwa, na bahati mbaya walipofikishwa hospital walifariki. Eti leo hii wanakamatwa.Mama unahujumiwa.

Mama usije ukawa umewakataza wasijibizane na majambazi kwa risasi bali wawakamate na kuwafikisha mahakamani, huku mtaani tutakwisha. Kaza roho waache wapambane nao, ukisikia majambazi wameuawa, ziba masikio na kama hakuna aliyefikishwa mahakamani na nchi ipo shwari Sema hewala.

Juzi kuna jamaa amekutana na Askari Polisi wapo kiraia wakiwa kwenye doria,kwa upole kabisa wakamwambia usikatize tena hapa darajani Ukiwa peke yako, iwe mchana au usiku, Ujambazi umerudi kwa Kasi.

Sasa unajiuliza Magufuli ameondoka na Vyombo vyake vya Usalama au?.Mama Kaa upya na vyombo vyako hasa Mapolisi. Fanya kama alivyowahi kufanya Magufuli aliwaita maafisa wote wa Polisi na kuna wakati aliita wadogo wakiwemo Traffic. Usipuuze hata kidogo,na hakikisha hawakosi walichokuwa wakikipata kwa Magufuli, na ikiwezekana waongezee.
 
Mama si mwanadipolomasia Mzee wa kanuni , kwenye hii angle inatakiwa avunje katiba na uwe na roho mbaya hasa, la sivyo watanzania mjiandae kisaikolojia , hapo segerea Tu mwez uliopita cashier wa bar kapigwa risasi kisa mauzo ya laki mbili tuu, na hakuna watu wabaya kama majambazi.. Yesu alisema " Mwivi huja na kuua"!
 
Usalama ni muhimu sana.

Mama achangamke. Nishazoea safari za kukatiza usiku mkoa kwa mkoa kuwahi mishemishe . Nimeshaaza kuogopa sasa.
 
Ni kweli ila shida kwenye utekelezaji maana wanaweza kuuliwa watu kwa mambo binafsi alafu kisngizio kikawa ni ujambazi so kwa mtu kama bi mkubwa kwakweli inakua ngumu
 
Back
Top Bottom