Wizi, udokozi na ujambazi vimeibuka kwa kasi huku mitaani

Waziri wa mambo ya ndani ni yule yule mh George Simbachawene.

IGP ni yule yule afande Simon Sirro

Sasa haya majambazi yanapenyea wapi jamani wakati mlishayadhibiti nasi tukayasahau?

Kwa sasa hata tunapokunywa mbege kwa manka Monica huwa tunakuwa na wasiwasi juu ya usalama wetu.

Majambazi tiini sheria bila shuruti Tafadhali!
 
Mnaposema kuwa kipindi cha magufuli alikomesha ujambazi, je, wale tuliokuwa tunaonywesha kila siku kuwa wamefyekwa na polisi walikuwa wanamuziki?
 
Hawa majambazi waongeze juhudi tena wawe wanavamia nyumba na biashara za bavicha ili kuwakomoa mataga
 
Hizi ni hujuma zenu Sukuma gang,,

Tutawaminya makende mtaacha
 
Aliusambaratisha kwa kuwazima midomo watu wasiongee? wasiripoti matukio yanayomkera?.Lini ujambazi umeisha?.Uliishaje wakati asilimia kubwa ya vijana haina ajira,😶haukuisha uliisha kwenye masikio yenu wengine kwa sbb hayakuripotiwa deep in side ujambazi ulikithiri mwingine ukiongizwa na viongozi wake wa juu. So acheni kumchafua mama na acheni kumletea mizengwe aonekane ni dhaifu. Polisi kipindi cha magufuli walikua wanafanya kwa mihemuko walikua wanajifanya wamedhibiti uhalifu lakini ukweli ni kwamba hata waandishi wakitaka taarifa walikuwa hawapewi yani walikua wanawazimisha kimya kimya. Mama ana taka haki na uwazi ndo maana unasikia kila aina ya taarifa.
 
Siajabu na wewe ulipitishwa na mkurugenzi katika hiyo nafasi uliyonayo.
 
Mnaposema kuwa kipindi cha magufuli alikomesha ujambazi, je, wale tuliokuwa tunaonywesha kila siku kuwa wamefyekwa na polisi walikuwa wanamuziki?
Wakat daraja la kawe mlalakuwa pale uhalifu ulikuwepo na unaendelea kuwepo

Ova
 
Aliusambaratisha kwa kuwazima midomo watu wasiongee? wasiripoti matukio yanayomkera?.Lini ujambazi umeisha?.Uliishaje wakati asilimia kubwa ya vijana haina ajira,[emoji55]haukuisha uliisha kwenye masikio yenu wengine kwa sbb hayakuripotiwa deep in side ujambazi ulikithiri mwingine ukiongizwa na viongozi wake wa juu. So acheni kumchafua mama na acheni kumletea mizengwe aonekane ni dhaifu. Polisi kipindi cha magufuli walikua wanafanya kwa mihemuko walikua wanajifanya wamedhibiti uhalifu lakini ukweli ni kwamba hata waandishi wakitaka taarifa walikuwa hawapewi yani walikua wanawazimisha kimya kimya. Mama ana taka haki na uwazi ndo maana unasikia kila aina ya taarifa.
Kwamba ulikuwa unavamiwa huko mtaani kwenu kisha hamsemi kwa kuogopa?

Acha kutufanya wote watoto bhana
 
Aliusambaratisha kwa kuwazima midomo watu wasiongee? wasiripoti matukio yanayomkera?.Lini ujambazi umeisha?.Uliishaje wakati asilimia kubwa ya vijana haina ajira,😶haukuisha uliisha kwenye masikio yenu wengine kwa sbb hayakuripotiwa deep in side ujambazi ulikithiri mwingine ukiongizwa na viongozi wake wa juu. So acheni kumchafua mama na acheni kumletea mizengwe aonekane ni dhaifu. Polisi kipindi cha magufuli walikua wanafanya kwa mihemuko walikua wanajifanya wamedhibiti uhalifu lakini ukweli ni kwamba hata waandishi wakitaka taarifa walikuwa hawapewi yani walikua wanawazimisha kimya kimya. Mama ana taka haki na uwazi ndo maana unasikia kila aina ya taarifa.
Well said, kipindi cha jiwe ujambazi ulikuwepo, tena sana tu, ila waandishi wa habari walizuiwa kuripoti habari yeyote mbaya kuhusu udhaifu wa serikali yake. Nafikiri Azory alipotezwa sababu ya kufanya uchunguzi wa kile vyombo vya usalama vilikuwa vinawafanyia watu kule Kibiti.
 
Hizi ni hujuma zenu Sukuma gang,,

Tutawaminya makende mtaacha
Nashauri hawa majambazi wakazane tena ikiwezekana hata leo wakutembelee waje wakuweke kitu chenye mcha kali huko chini ili kuwakomoa hawa sukuma gang
 
Jamaa inaonesha unamchukia huyu Mama kutoka moyoni mwako kabisa, kakufanya nini?
Siwezi kumchukia Samia hata siku moja.

Lakini yakifanyika mambo ya kijinga lazima tutalinganisha na awamu zilizopita kwamba mbona kwa wenzio hayakuwepo haya
 
Back
Top Bottom