Wizi, udokozi na ujambazi vimeibuka kwa kasi huku mitaani

Wizi, udokozi na ujambazi vimeibuka kwa kasi huku mitaani

Siwezi kumchukia Samia hata siku moja.

Lakini yakifanyika mambo ya kijinga lazima tutalinganisha na awamu zilizopita kwamba mbona kwa wenzio hayakuwepo haya
Kipindi Cha mwendazake kila kitu kilifichwa na zikitolewa takwimu za uongo, toka akiwa waziri alitoa takwimu za samaki na vifaranga wake
 
Waziri wa mambo ya ndani ni yule yule mh George Simbachawene.

IGP ni yule yule afande Simon Sirro

Sasa haya majambazi yanapenyea wapi jamani wakati mlishayadhibiti nasi tukayasahau?

Kwa sasa hata tunapokunywa mbege kwa manka Monica huwa tunakuwa na wasiwasi juu ya usalama wetu.

Majambazi tiini sheria bila shuruti Tafadhali!
Meko mwenyewe ndie alikuwa jambazi no 1..
Asante MUNGU kwa kulifyekelea mbali hili jambazi.
 
Kwamba ulikuwa unavamiwa huko mtaani kwenu kisha hamsemi kwa kuogopa?

Acha kutufanya wote watoto bhana
Hoja yangu haikufanyi ww kuwa mtoto. Inamaana kwa maoni yako ww,ujambazi alipokuwepo John uliisha?
 
maeneo ya mbezi mwisho/kavu ukora umeongezeka kwa kasi baada ya kuahamia kwa stand ya mabus makubwa, ongezeko lam vijana limehakisi
 
Ndugu wana JF,

Wizi na udokozi na ujambazi vimeibuka kwa kasi huku mitaani. Ndugu wananchi tuwe makini na ulinzi binafsi wa nyumbani. Sungusungu mtaani. Ikiwezekana tufanye mazoezi ya kutosha ili mwizi akiingia Chanel zako unammaliza kimya kimya kuna mzee hapa kaibiwa katoka na kitambi anahema balaaa hadi huruma.
Wanajua dume la shoka limeondoka.Ngoja watambe.Nabii hapati heshima nyumbani kwao.Pumzika salama Magu,tutakukumbuka.
 
Binafsi kuna Nyumba nimehamia juzi juzi nahsi ni dalali maana walijua jinsi ya jufungua wakalamba M na Simu kadhaa
 
Back
Top Bottom