Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Matukio yalikuepo sema ilikua hayaripotiwi! Ukiripoti unaitwa sio MzalendoKuna kitu hakiko sawa ndugu yangu, Muda ni mwalimu mzuri tutaona mengi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matukio yalikuepo sema ilikua hayaripotiwi! Ukiripoti unaitwa sio MzalendoKuna kitu hakiko sawa ndugu yangu, Muda ni mwalimu mzuri tutaona mengi
Mkoa nilipo Mimi kuanzia juzi na Jana tayari zimevunjwa nyumba 40 na Kuibiwa vitu vya samani nikajaribu kumshirikisha wa mkoa wa jirani nae pia ananiambia vile vile kua wizi na ukabaji umeshamiri Sana
Kuna kitu hakiko sawa
Uongo, mataga mkubwa wewe
What! kwa hiyo unataka kutuambia ni kwa sababu ya kubadilika kwa uongozi?Mkoa nilipo Mimi kuanzia juzi na Jana tayari zimevunjwa nyumba 40 na Kuibiwa vitu vya samani nikajaribu kumshirikisha wa mkoa wa jirani nae pia ananiambia vile vile kua wizi na ukabaji umeshamiri Sana
Kuna kitu hakiko sawa
hiyo ndodawa sio kulalamika sio kosa laserikali hilo malezi ngazi yafamilia ,choma moto au koroga cement litamoja mpeni anywe hatanusu litaHuku kwetu ndan ya week mbili hizi tayari vijana wanne wamechomwa moto na kupigwa mawe na raia wenye hasira kali.
Kitu gani. Jeshi la polisi lipo na lina uwezo. Chapa kazi saidia jeshi lako kutoa taarifa. Kataa uchocheziMkoa nilipo Mimi kuanzia juzi na Jana tayari zimevunjwa nyumba 40 na Kuibiwa vitu vya samani nikajaribu kumshirikisha wa mkoa wa jirani nae pia ananiambia vile vile kua wizi na ukabaji umeshamiri Sana
Kuna kitu hakiko sawa
Unahisi ni nini hakiko sawa? unataka kutuambia kwa kuwa Magufuli amefariki, nenda kafanye kazi wizi haujawahi kwisha make unachangia pato la taifa, unafikiri wizi ukiisha makampuni ya ulinzi yatafanya kazi gani? wachonga magrill wataishije? wauza cctv camera watamuizia nani? mafundi wa fence za umeme watafanya kazi gani?Mkoa nilipo Mimi kuanzia juzi na Jana tayari zimevunjwa nyumba 40 na Kuibiwa vitu vya samani nikajaribu kumshirikisha wa mkoa wa jirani nae pia ananiambia vile vile kua wizi na ukabaji umeshamiri Sana
Kuna kitu hakiko sawa
Jiwe hakuwa polisi na hakuwa kila mahali. Jeshi bado lipo na rais hajawazuia kufanya kazi zao.Hapa kibamba juzi kuna dogo kachomwa Moto live , aliiba piki piki ya jamaa alikuwa anaswali msikitini ..... To be honest kwenye swala hili Jiwe alikuwa strong, napingana naye Tu kwenye sera zake za uchumi
Kuna watu wanajarbu kuzuia mafuriko kwa mkono,eti ili ionekane Zama zile na za mwendazake zilokua sawa tu.Mkoa nilipo Mimi kuanzia juzi na Jana tayari zimevunjwa nyumba 40 na Kuibiwa vitu vya samani nikajaribu kumshirikisha wa mkoa wa jirani nae pia ananiambia vile vile kua wizi na ukabaji umeshamiri sana.
Kuna kitu hakiko sawa
Eti eeeh!Uongo mtupu, mbona hutaji Mkoa lengo lako ni kutaka kuleta taharuki ili ionekane Madam President kazi inamulemea - wakati hiyo si kweli hata kidogo, mkuu nakushauri tafuta shughuri nyingine ya kufanya na sio hii ya ku-manufacture UONGO.
Wala usimshambulie mtoa post, maana hata mama Samia mwenyewe alikiri kuwa wizi na ujambazi imeanza kurudi kwa Kasi na akaomba Kuna polisi arudishwe maana alionekana kupambana nao vizuriUongo mtupu, mbona hutaji Mkoa lengo lako ni kutaka kuleta taharuki ili ionekane Madam President kazi inamulemea - wakati hiyo si kweli hata kidogo, mkuu nakushauri tafuta shughuri nyingine ya kufanya na sio hii ya ku-manufacture UONGO.
Atakuwa tu ni Lengai Ole Sabaya huyo na genge lake.Mkoa nilipo Mimi kuanzia juzi na Jana tayari zimevunjwa nyumba 40 na Kuibiwa vitu vya samani nikajaribu kumshirikisha wa mkoa wa jirani nae pia ananiambia vile vile kua wizi na ukabaji umeshamiri sana.
Kuna kitu hakiko sawa
Sio wizi tu,hata kuuawa albino kumerudi, hii ni taswira mbaya kwa utawala huuMkoa nilipo Mimi kuanzia juzi na Jana tayari zimevunjwa nyumba 40 na Kuibiwa vitu vya samani nikajaribu kumshirikisha wa mkoa wa jirani nae pia ananiambia vile vile kua wizi na ukabaji umeshamiri sana.
Kuna kitu hakiko sawa