son of a teacher
JF-Expert Member
- Jul 30, 2017
- 541
- 1,449
Lini wizi uliisha kipindi Cha jiwe mtaani kwetu kulikuwa kunasafishwa mpk sungusungu ikaanzishwa baada ya kufa watu wakawa wanasafishwaHapa kibamba juzi kuna dogo kachomwa Moto live , aliiba piki piki ya jamaa alikuwa anaswali msikitini ..... To be honest kwenye swala hili Jiwe alikuwa strong, napingana naye Tu kwenye sera zake za uchumi
Jiwe aliweza vp kuzuia wizi mtaani?
Kuna watu mnachekesha Sana
Tumeshuhudia ukabaji uvunjaji mwingi labda Kama ulikuwa unaishi ushuani...
Kwahyo vituo vya polisi kipindi Cha jiwe kulikuwa hakuna wahalifu ,vituo si vilikuwa vinajaa wahalifu kibao Tena pomoni?
Kuna watu mnachekesha Sana asee